Nikiangalia rekodi za Askofu Gwajima napata mashaka kuamini hichi anachokizungumza leo

ngebe

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
1,789
5,105

kusema ukweli Askofu Gwajima amekua na tabia ya kuzikana kauli zake anazozungumza, hii inanipa shida sana kuamini kama hiki anachokisimamia leo hatakikana,
hebu tufuatilie kidogo hizi clips fupi fupi sana


hapa askofu alizungumza wazi wazi mbele ya waumini wake na kutuhumu dini za watu lakini baadae aliyakana maneno yake


hapa aliwahaidi wananchi wa kawe kwenda jimbo la Birmingham marekani na wananchi wa Birmingham kuja kawe





sina hakika kama huyu mtu anaweza kuaminiwa,
 
Haka kamjamaa kamefikia hatua kanawageuza CCM kama vile mkaanga samaki...

Hawana jeuri ya kukagusa...
 
Wivu tu...

Wakati nyie mnapanga foleni kwenda kichwanja, wenzenu wana-Kawe Jtano tunapanga foleni kupata uteuzi wa kwenda Japan kujifunza mambo ya uvuvi!!

Hapa chini, ni kisa cha mtoto Joyce!!

Joyce kapewa kazi darasani, hakufanya vizuri! Mwalimu akamwambia arudie. Wakati akiwa peke yake Joyce akaanza kurudia ile kazi, lakini alipoinama wakati anaandika... Joyce akafa 😭😭😭 !!!

Mama wa Joyce haku-panic wala nini!!! Una-panic vipi wakati Daslam tuna Mtumishi wa Bwana mwenye uwezo wa kufufua wafu!!!

Ilipofika Jpili, mama huyoooo kwa Mtumishi akiwa na mwili mfu wa Joyce!! Wacha Mtumishi wetu afurahie kuletewa maiti! Ni lipi basi lililo bora kwa Mtumishi kuzidi hili la kumfufua binti mdogo?!

Kwa jina la Bwana Aliye Hai, Mtumishi akanena kwa lugha, mara hee... Joyce huyoo! Kafufuka!!




Semeni ALLELUJAH... Bwana Alitoa! Bwana Akatwaa! Bwana Akarejesha!!!
 
Achana na askofu. Gwajima. Atakukata ngebe bure.
Hahhaha, huyu jamaa naona baada ya kukosa ajira za mheshimiwa za ualimu na afya ameamua kusapoti akitegemea atapewa nafasi!

Baada ya kukosa ajira aliwahi kulalamika humu JF na kuikosoa vikali serikali sasahv kila siku anaweka nyuzi za kupinga wanaopinga chanjo!!
 
Hahhaha, huyu jamaa naona baada ya kukosa ajira za mheshimiwa za ualimu na afya ameamua kusapoti akitegemea atapewa nafasi!

Baada ya kukosa ajira aliwahi kulalamika humu JF na kuikosoa vikali serikali sasahv kila siku anaweka nyuzi za kupinga wanaopinga chanjo!!
kukosa ajira nayo ni ajenda😀, ushamba ni mzigo mbona ni vitu vya kawaida hivyo
 
kukosa ajira nayo ni ajenda, ushamba ni mzigo mbona ni vitu vya kawaida hivyo
Sasa umasikini utakukata ngebe!
.
Maana wewe badala ya uzunguke utafute hata za saidia fundi, wewe kutwa uko humu
 
Back
Top Bottom