Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mujibu wa kanuni za bunge ni marufuku kuzungumza kitu usichokuwa na uhakika nacho bungeni Ndugai amepotosha makusudi hata tusipozingatia hicho anachokisema yeye aliponyokwa lakini hata kwenye...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Ni takribani miezi miwili na nusu tangu Bunge letu tukufu la Jamhuri ya Muungano liliopotisha Bajeti kuu ya Serikali ya mwaka 2021/2022 ambapo na mambo mengine lilipisha watendaji wa kata...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
CUF na CHADEMA ni vyama viwili vya upinzani nchini vyenye uhai kias chake.. Kuondoka kwa Maalim Seif na Prof lipumba automatically CUF itakufa Natural Death.., But on the contrary kwa CHADEMA...
5 Reactions
66 Replies
5K Views
Umekuwa mtindo wa kudumu ukisikiliza Bunge unaishia kuambiwa Biblia inasema hivi, Kuruani inasema hivi. Hakuna maneno ya watu mashuhuri au hoja zenye mashiko kisiasa. Hii ni dalili ya kuwa na...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Thrd hizi tunajaribu kudadavua kwa nini Silaa alisema Wabunge hawalipi kodi. Ofisi ya Bunge inasema Wabunge wanalipa kodi, ikimaanisha PAYE. Upande wa pili, Spika akitumia nguvu nyingi sana kumtia...
26 Reactions
32 Replies
4K Views
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Rais Samia Suluhu Hassan amepunguza tozo za miamala ya simu ili zisiwaathiri vijana wengi waliojiajiri kwenye huduma za fedha kwa njia ya simu...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi ndivyo ilivyojiri kikaoni (bungeni) tarehe 31 Agosti 2021 (sio rasmi) Mwenyekiti wa Kamati: (Baada ya kuwasilisha taarifa ya kamati) Mheshimiwa Spika, Natoa Hoja wabunge hao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu Wabunge Josephat Gwajima (CCM, Kawe) na Jerry Silaa (CCM, Ukonga) ambao ni wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge wameondolewa kwenye kamati hiyo hadi...
3 Reactions
59 Replies
9K Views
Kwa nchi za wengine tena hata nyingi tu za majirani😂 raia kukaa mtandaoni na kuanza kuinanga Serikali, kuisema na kuibagaza kwa jambo fulani basi angeshikwa au hata Serikali ingeleta jeuri na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
|MASWALI KUMI KWA POLEPOLE Na. Emmanuel Allute Jr, 1. Kwanza nakupa tano kwakuwa umekiri Corona ipo na inaua,Kwataarifa tu duniani,zaidi ya watu 217M wamepatwa na Corona na kati yao watu...
9 Reactions
59 Replies
7K Views
Mmefuga magaidi kwa miaka 4 mnajishauri tu bila kuchukua maamuzi ya kijeshi. Rwanda wamefanya uamuzi ndani ya wiki 3 wamekomboa miji kadhaa na msako unaendelea huko misituni. Tanzania tuliwafuga...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Uliwadharau Watanzania na ukatoa kauli za kebehi kuwa hii ni sheria ya bunge hivyo kila mtanzania anatakiwa kulipa tozo za kizalendo ili kujenga shule, zahanati na vituo vya afya. Watanzania...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Kuwa CCM Ni Kazi Ngumu Sana Ndugu Zangu, ila tunabadilika haraka kuliko mnavyotuchukulia, kwa mfano: Mwaka Juzi Tulishangilia Watumishi Walio Na Vyeti Feki Kufukuzwa, Leo Wamerudishwa Kazini...
14 Reactions
12 Replies
1K Views
Mbunge Elibariki Kingu amesema kwa mujibu wa Uchambuzi wake, Askofu Josephat Gwajima alidhamiria kuichonganisha Serikali na Wananchi ili watu wakose imani nayo. "Kitendo cha Gwajima kujitokea...
7 Reactions
45 Replies
5K Views
Kipindi kile mwaka 2015 ulizua taharuki kubwa baada ya kuvunja sheria na kuagiza wasaidizi wako wakuletee bastola yako ukiwa hospitali. Sasa hivi ni wazi kabisa kwa msimamo wako dhidi ya chanjo...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Suleiman Kova, kamanda wa polisi aliyewahi kutamba kwa kuzuia uhalifu akiwa RPC kwenye mikoa mbalimbali ameongelea hoja ya Gwajima kuomba mabadiliko ya mic na kiti. Amesema kwa uzoefu wake ndani...
17 Reactions
117 Replies
11K Views
Wakati kina Zitto, Sarungi, kina Lissu n.k wakiendelea kusambaza uongo juu ya nchi yao na hali ya kisiasa nchini, kule kwa wenzetu Ulaya, Amerika na sehemu zingine zilizostarabika na kuheshimiana...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa wajuvi na wafuatiliaji wa Mambo mtanikubalia kuwa Gwajima hutumika kuwa Kama neutralizer wa mambo mbalimbali kwa mfano sasa hivi leo kuna mambo hayajajadiliwa kabisa na jamii ya Watanzania na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi kesho Jumatano Septemba 1, 2021 itaamua pingamizi la Mbowe na wenzake kama mahakama hiyo ina mamlaka ya kusikiliza kesi yao ama la...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ile pingamizi la JMT kuhusiana na kesi ya mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe linatolewa maamuzi leo. Kama itadhihirika mahakama ya Mafisadi haina uwezo wa kusikiliza kesi za Magaidi basi kesi...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom