Ile pingamizi la JMT kuhusiana na kesi ya mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe linatolewa maamuzi leo.
Kama itadhihirika mahakama ya Mafisadi haina uwezo wa kusikiliza kesi za Magaidi basi kesi...
Kumekuwa na kelele nyingi kuhusu serikali inayoitwa ya umoja wa kitaifa
Serikali ya umoja wa kitaifa ni ile inayohusisha watu wa makundi yote mfano wahindi,wazungu ,waafrika nk walioko ndani ya...
Nimekuwa nikijiuliza maswali kadhaa
1. Watanzania tuna matatizo gani, pesa zinazoitwa za serikali in zetu siyo za viongozi kwanini wanazitumia hovyo alafu sisi tupo kimya?
2. Wabunge ambao...
Sijaelewa embu nielimishwe
Askofu Gwajima alianza kutilia shaka chanjo hii akiwa bungeni. Akiwa kanisani ameendelea kutia shaka. unajua tutofautishe kutia shaka na kupinga.
Sasa kwa sababu...
Hii inasomeka hivyo kwenye twitter account ya Joseph Mbilinyi a.k.a Mr Sugu
Je hii ni kweli au kulikuwa na confusion ya tarehe na muda aliotakiwa kufika mbele ya kamati...?
Inasemekana pia...
Mawakili wa Freeman Mbowe ambaye ni Mwamba wa siasa za Tanzania, anayeshitakiwa na serikali ya Tanzania kwa makosa ya Ugaidi wa thamani ya hela za madafu shilingi laki 6, Wameiwekea pingamizi kesi...
Hakika nichukue nafasi hii kukupongeza kwa hatua mbalimbali ulizochukua na unazochukua kurekebisha mambo ya nchi yetu.
Kubwa nililotaka kukushauri ni hili la wabunge 19 waliofukuzwa na Chadema...
Upinzani katika mfumo wa vyama vingi ni kioo kwa chama kinachotawala. Maana wapinzani huwa wanakosoa pale mtawala anapokosea.
Tangu mama aanze vyema kwa kuupiga mwingi mpaka wapinzani wakaanza...
kama utapiga mahesabu na kujua ni kiasi gani wabunge wanatek home hela,basi utaona kwa nini serikali inaingia kwenye ufukara kiasi ya kuleta na kujaza kero kwa mwananchi asie hata na kazi ya maana...
Hebu kila mtu ajaribu kufikiri na kutafakari haya;
1. Leo tarehe 28/8/2021 NCCR MAGEUZI kilikuwa na kikao cha ndani cha kamati kuu yao yenye wajumbe 30 tu katika ukumbi wa Msimbazi Centre, DSM...
Mkoa wa Dsm mfano Mabwepande kuna sehemu bomba zimepita miaka miwili sasa maji hayajaruhusiwa, huku sio kupoteza tu mapato kwa msambazaji ambaye ni Serikali lakini pia haki ya kupata maji kwa...
Bunge zima wamejaa wana CCM, Wanajadili tabia za watu badala ya kujadili hoja aliyoongea mtu, Je? hii ndio kazi tuliwatuma Bungeni?
Hoja ya Jerry Silaa anasema wabunge hatulipi kodi, tuanze...
Tumewasikia hao mawakili wa Serikali wakikata rufaa kwenye kesi ya Mbowe, iliyopo Mahakama Kuu, wakidai kuwa hao mawakili wa upande wa utetezi, eti hawakufuata utaratibu Katika kufungua maombi...
Katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii na kwenye spaces za Twitter zinazoendelea sasahivi za wanaharakati na wanasiasa wa vyama vya upinzani, nimeshtushwa sana na namna viongozi na...
Wanabodi,
Hii ni thread elimishi ya kuwapiga darasa wana jf kuhusu tofauti ya kitu kinachoitwa kusema uongo, lying na kuteleza ulimi, kwa lugha ya Kiingereza, a slip of a tongue, na kuwajulisha...
kwenye zile biti zake za kanisani Gwajiboy huwa anawadanganya waumini wake kwamba yoyote atakayeinua kichwa atamponda ponda
Pia akahaidi hata wasaidizi wa Rais anasubiri ajinue mmoja atamshushia...
BUNGE LANUKA DHIDI YA GWAJIMA NA SILAA
WAKATI nchi ikisubiri kwa hamu na ghamu hatima ya tozo za mihamala ya simu, Bunge limewahukumu Wabunge Josephat Gwajima wa Kawe na Jerry Silaa wa Ukonga...
Mwenyekiti wa kamati ya haki, maadili na madaraka ya bunge amesema kosa alilotenda askofu Gwajima adhabu yake ni kuzuiwa kuhudhuria mikutano ya bunge isiyopungua miwili na isiyozidi mitatu...
Nafurahi ninapoona mihimili inakinzana na hii inaonesha kweli Kuna separation of power.
Nimeshangaa Leo Spika anamlaumu Siro kwa kutokumkamata Gwajima, na ametishia kuwaleta maadili Siro Waziri...
CHADEMA YAANZA RASMI KUIVURUGA TANZANIA, TUWE MACHO.
Baada ya kugonga mwamba kwa mpango chama cha CHADEMA wa kuanzisha vurugu kupitia kongamano la Katiba Mpya lililopangwa kufanyika Jijini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.