Suala la Rais kusema anawakaribisha wawekezaji wakenya kwenye kuwekeza katika Madin yetu. Ili suala halipo maana Kenya sasa hivi wanalia njaa vibaya nchi ambayo haina mamilionea wa kutosha tena...
Mbunge wa Simanjiro, Ole Sendeka ametoa Ombi kwa waziri Mkuu alipokuwa mkoa wa Manyara kuzindua kituo cha Tanzanite Magufuli, kwanza ameomba ukaguzi wa Staha kwa watu wake bila kuathiri mapato ya...
Mwenyekiti wa kamati ya maadili na madaraka ya Bunge ipo live kusoma ripoti kuhusu mahojiano ya Mbunge Jerry Slaa na Dr.Gwajima.
....
"Mheshimiwa Spika kauli zilizotolewa na Mheshimiwa Gwajima...
Hivi inakuwaje Speaker Ndugai unakubari vipi kukaa kusikiliza na kutumia pesa za watanzania na mda wa watanzania kujadili kauli za gwajima kanisani kwake?
Huku wananchi wanalia Maisha magumu...
Mbunge wa Kigoma Mjini, Kirumbe Genda amesema wabunge wengi wanajua Josephat Gwajima amekosea ila wanashindwa kusema
Kirumbe amesema wabunge wanaogopa kuwa wataenda kusemwa kwenye madhabahu...
Kwa heshima kubwa Mheshimiwa Rais SSH nawasilisha kwako ombi maalum kwamba, kwa mamlaka uliyo nayo na kwa kutumia ofisi zilizopo kikatiba mwachie huru Ndg. Freeman Aikael Mbowe.
Hoja yangu...
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema Jerry Silaa lazima aombe radhi kwa umma kwa kosa alilofanya
Jerry Silaa ambaye ni mbunge wa Ukonga alikutwa na hatia ya kuongea uongo kuhusu...
Wakati Mhe. Rais yuko busy Zanzibar kurekodi matangazo ya kuvutia watalii. Wenye watalii wao wako busy Kisutu kuhudhuria Kesi ya Mhe. Freeman Mbowe ili kuona Haki inatendeka.
Leo wakati Mhe...
Nianze na suala la kukamatwa kwa kiongozi wa upinzani bw. Freeman Aikael mbowe
kukamatwa kwa kiongozi huyo wa upinzani kwa tafsiri ya kisiasa inaweza kuonekana ni agizo kutoka juu ili kudhoofisha...
Katika kikao kinachoendelea Bungeni leo agosti 31, Kamati ya maadili iliyowahoji Askofu Josephat Gwajima na mbunge Jerry Slaa imetoa ripoti yake na mapendekezo ya adhabu.
Kwa upande wa...
Jerry Silaa
KAMATI ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, imemkuta na hatia Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa, katika tuhuma za kudharau mhimili huo na kupendekeza asimamishwe kuhudhuria...
WanaJF,
Kutokana na kauli ya msemaji ww serikali aliyoitoa juzi, Leo ndo siku ya tamko rasmi juu ya mustakabali wa tozo za miamala.
Je, mpaka muda huu, kunaueyote ambaye amepata update ya tamko...
Mimi nashangaa kidogo jinsi mambo yanavyokwenda dhidi ya mashtaka ya wabunge Mch. Gwajima (Kawe - CCM) na Jerry Silaa (Ukonga - CCM) ambapo mjadala unaendelea hata sasa niandikapo hoja hii...
Jamani tuache unafiki wa kusema eti tutamkubuka Magufuli kutokona na tozo hizi za awamu ya sita kwani huu ni muendelezo tu wa sera za CCM kukamua wananchi bila huruma.
Wote ni mashahid wa makato...
Nakumbuka mwaka 2020 baadhi ya wanunge wa CHADEMA wakiongozwa na Freeman Mbowe walipojitenga kuzuia maambukizi ya virusi vya UVIKO-19.
Ndugai pamoja na wabunge wenzake wa CCM waliwakebehi kwa...
Tuliwahi kusema humu katika mistake ambayo Gwajima aliifanya katika maisha yake ni kujiunga na CCM kisha kuhongwa ubunge!
Uchaguzi wa 2020 ulimuondolea credibility yote ambayo aliijenga katika...
Rais Samia na Mwenyekiti Taifa CCM endelea tu Kumlea Askofu Gwajima ( Manara wa Kisiasa ) ili awachafue na awavurugeni vizuri.
Na nikusaidie tu Rais Samia kuwa Askofu Gwajima Wala hakupendi na...
James Lembeli achukuwa fomu kuomba kuteuliwa na @ccm_tanzania kugombea Ubunge Jimbo la Ushetu Mkoani Shinyanga kufuatia jimbo hilo kuwa wazi baada ya kufariki aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo...
Ningeomba Spika Ndugai amtake mbunge wa viti maalumu mh Ditopi!e aliyedai Askofu Gwajima ni Mhaini, afute kauli yake
Uhaini ni kutaka kupindua serikali.
Mnamo tarehe 29/08/2020 Askofu Josephat Gwajima aliwaeleza waumini wake kuwa ana ‘kitu’ ndani yake kilichomuambia asikalie kiti na kutumia kipaza sauti alichokuwa amepangiwa na mwenyekiti wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.