Wana bodi,
NI jambo la kujiuliza kama kweli wananchi ndio wanaodai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi au ni wanasiasa wanao tumia mbinu tofauti tofauti ku tekeleza wanacho hitaji. Vile vile ni...
Kwa masaa kadhaa nimetafakari uwezo mkubwa na busara alizonazo Mama yetu, Rais wetu, Mama wa Vitendo, Mhe Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania alipokuwa akiwaapisha viongozi mbalimbali leo.
Rais...
Kiukweli, sikuwasikiliza kichele na mbogo sababu ni waongo waongo, hawa wawili walichangia sana kuharibu uendeshaji wa serikali kwa kufuata misingi ya utawala bora, wanatia kichefu chefu sana...
Wakuu Wamachinga wa soko la Samunge maarufu kama NMC jijini Arusha wameieleza kilio chao kwa mbunge Mrisho Gambo cha kulipa ushuru wa shilingi 50 kila siku huku wanaowatoza wakiambiwa kuwa...
"Baada ya kushinda kesi ya Mh Freeman Mbowe na wenzake, mjadala sasa ni juu ya matumizi ya 350M, hatujadili uhai wa Akwilina. Nani alimuua? Nani anawajibika? Mkurugenzi wa Kinondoni anawajibikaje...
"Nazijua Siasa za ndani na nje ya Tanzania pengine kuliko Wanasiasa wengi nchini na nimezipractise in black and white nje ndani hivyo hakuna wa Kunidanganya"
Chanzo: Radio One Promo ya Kipindi...
Katiba ya JMT ibara ya 109 (2) inampa Rais mamlaka ya kuteua Jaji Kiongozi na Majaji wengine wa Mahakama kuu, Muhimili huu wa utoaji haki unatakiwa kuwa huru katika kutekeleza shughuli zake hiyo...
Kijiji cha malkia HANGAYA SULUHU
Hupewa mfano wa kijiji kilichotawaliwa na wageni ambacho kilikuwa na amani na utulivu
Watu wake hupata chakula chao kutoka katika rasilimali zilizopo ndani yake...
Kalemani akiwa Waziri wa Nishati kapambana sana chini ya hayati Magufuli kukomesha mgao wa umeme ,kadhalika kusambaza umeme vijijini kwa bei nafuu kabisa.
Usimamizi mzuri wa JNHP huko rufiji...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani leo Septemba 11, 2021 amekutana kwa mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu Wa UN Bi Amina J. Mohamed
Mazungumzo hayo muhimu ya...
Mahakama kuu Kanda ya Arusha masjala ndogo ya Kazi imemwamuru dalali wa mahakama wa Kampuni ya Nutmeg Actioneers Property ya jijini hapa kuhakikisha ifikapo oktoba 15 mwaka huu awe ameuza Mali za...
Lema kupitia space anasema
"Waziri Kalemani, alimpigia mke wake simu kwamba polisi wanakuja hapo kuondoa kamera wape ushirikiano, hii ni baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi.." —; Godbless Lema...
Wajumbe wa Halmashauri ya CCM Kata ya Endiamtu Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wamemchagua Ernest Lukumay kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi wa Kata hiyo ili kuziba nafasi ya Kalinga Ally...
Hii taarifa imetolewa Leo, nashindwa kuiatach hapa ila hints ni Hizi.
1.Bomoa bomoa itaendelea baada ya mwaka mpya.
2. Wote waliojenga kwenye eneo lisiloloruhusiwa basi ahame kuanzia sasa...
Tanzania hakuna haki,wenye haki ni waliopo CCM na serikali yake ambao hawazidi hata 5 million,ndio maana tunataka mabadiliko,CCM na mfumo wake ifutwe!
CCM na dola yake inaendesha nchi kwa...
Misamaha ya kodi mara zote huwa ni kwa jili ya wawekezaji ambao misamaha hiyo husababisha mapato mengi kupotea na kwenda kumkaba asiye na kitu, ambaye ni mwananchi wa chini kutoa tozo, ushuru, ada...
* UMOJA WA VIJANA UVCCM WAMTAKA JANUARY MAKAMBA AJISAFISHE HARAKA IWEZEKANAVYO...
* UMOJA HUO KUANDAA MAANDAMANO MAKUBWA SANA KWENDA IKULU, KUMUOMBA RAIS MAGUFULI AMFUKUZE KAZI
Umoja wa Vijana...
Hapa leo tuelewane, maana hata kwenye kupinga hua tunakua pamoja.
Tunahitaji Rais Akae Miaka 20 ili tuweze kupiga hatua ya kweli.
Miradi yenyewe ni kumalizia miundomsingi na miundombinu yote...
Rais akiongea na viongozi wa juu wa jeshi la polisi ameeleza jinsi serikali ilivyoshindwa kesi ya samaki. Eti makosa yalikuwa 19, cha ajabu DPP alipeleka moja tuu. Magufuli akalalamika kwa...
Siku za nyuma aliyekuwa Meya wa Jiji, Dr Didas Masaburi aliwahi kutamka hadhrani kwamba baadhi ya makada wa CCM hufikiri kwa kutumia kiungo fulani cha mwili (jina limehifadhiwa). Juzi kati January...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.