Akiongea na kituo cha Taifa cha Utangazaji(TBC),Mbunge wa Bumbuli na Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano,Ndugu January Makamba,amesema katika uchaguzi wa mwaka 2015 CCM ilikuwa inaondoka...
Mheshimiwa January Makamba, Mbunge wa Bumbuli, leo amekumbwa na kitu ambacho hakukitarajia katika maisha yake baada ya kukutana na hasira za wananchi wake jimboni.
Mbunge huyo ambaye sasa yuko...
Asalaam Alekuum waungwana!
Kuna mwanasiasa mmoja Tanzania ambaye ni bingwa wa kutumia ''rupia'' alizozikwapua kwa njia ya ufisadi anaofanya kwa kisiri siri kuhonga ili jina lake ''lipaishwe''...
Mh:- January Makamba leo yuko Manispaa ya Mtwara Mikindani kwaajili ya kusaka wadhamini katika mbio zake za kuwainia nafasi ya kupeperusha bendera ya ccm 25 October 2015.
Mh:- Alikuwa katika...
Wakati CCM inajiandaa kushiriki kampeni za urais tumepata taarifa kuwa lipo shinikizo kutoka kwa mkulu wa kaya ili January Makamba apewe kampeni meneja wa Mhe John Magufuli.
Kwa ufahamu wangu...
Wadau salaamu mimi sina mengi sana zaidi ya kuomba waheshimiwa hawa wa J. Makamba, Prof Makame na Tcra, kwa kweli waongeze nguvu katika kusimamia hii mitandao ya simu hasa mabadiliko...
Huyu mtia nia ambaye pia ni Naibu waziri wa wizara ya mawasiliano na Mtu aliyekuwa mstari wa mbele katika kushadadia kupitisha sheria za kuzuia uharifu mtandaoni na moja ya Sheria zilizopitishwa...
Nakuheshimu na nakutakia kila la kheri katika harakati zako lakina kuwa naibua waziri wa wizara ya mawasiliano isiwe sababu ya kusumbua watu wasi hata mashabiki wa chama chako.
Acha mara moja...
Niseme kuwa katika wagombea wa CCM angalau January katoa 'picha' atakuwa Rais wa namna gani akiweza kufika.....wengine wengi hatujui misimamo yao ya mambo mengi.
Sasa leo katika hotuba yake ya...
Sasa ndio polisi wanatafuta balaa, hivi hamna mnaowafundisha kuchunguza ,polisi kupata habari wanategemea eti wananchi wawapelekee habari, mkiambiwa jeshi lipanguliwe mnapiga makelele ,jeshi letu...
January Makamba azomewa na mamia ya wanafunzi katika uchaguzi wa viongozi wa shirikisho hilo kwenye ukumbi wa Karimjee...
Kama imefikia hatua ya kuzomewa na wanafunzi ni muda mwafaka wa...
January Makamba yupo nyuma ya MB 8
Ni mpango ulio sukwa nginganginga ili kuwafungia vijana (wanafunzi wa secondary na vyuo) kufanya mawasiliano ya kupashana na kubadirishana mawazo juu ya...
Baada ya mjadala mkali jana kwenye mtandao wa twitter, leo dada yake na Januari amemrukia Dr Kigwangalla na kumuita 'irrelevant'. Dada huyu, ambaye aliwahi kuripotiwa kumtafuti Januari dola...
Pamoja na kujitangaza sana katika media (magazeti, tv na radio) na kwenye mitandao ya kijamii, January Makamba bado ameshindwa kuonyesha mvuto wake katika utendaji, kijana huyu anayejiona MSOMI wa...
Kuelekea miezi ya uchaguzi mengi yameendelea kujitokeza na wenye kutamani kufika pale alipo JK wameendelea kutafuta mbinu mbalimbali za kuweza kushawishi wapiga kula wao.
Asubuhi napita...
Wabunge wa kuteuliwa na Rais walioko bungeni mpaka sasa ni
1.Bashiru Ally
2.Humphrey Polepole
3.Leonard Chamuriho
4.Dorothy Gwajima
5.Liberata Mulamula
6.Stergomena Tax
Kwa orodha hii sio rahisi...
Najua kama tulivyo Wanadamu wote Mimi na Wewe (Nyie) hatukosi Kasoro kwa Sisi siyo Malaika na hatujakamilika.
Kama kuna Kitu ambacho huenda ndiyo huwa kinamfanya Profesa Mbarawa asieleweke ni...
Habari wanajukwaa!!
Naona kuna vuguvugu (fukuto) la aina yake hapa Nchini la Madai ya KATIBA MPYA likiongozwa zaidi na kundi la Chama cha Siasa (CHADEMA).
Mimi pia ni muumini wa kuunga mkono...
"Niliitwa na Kamati ya Maadili ya Bunge wiki iliyopita nilipotoka wengi mliniuliza kimejiri nini na nikasema sitosema hadi Kamati iseme kwanza na kwasababu Kamati imeshaongea acha nami nizungumze”...
Mbunge wa Chato, Mh Medard Kalemani ndio mbunge pekee katika awamu ya tano kuwa na kasi kubwa ya maendeleo jimboni kwake kuliko Mbunge mwingine yoyote.
Ni takribani miaka miwili toka achaguliwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.