Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,400
* UMOJA WA VIJANA UVCCM WAMTAKA JANUARY MAKAMBA AJISAFISHE HARAKA IWEZEKANAVYO...
* UMOJA HUO KUANDAA MAANDAMANO MAKUBWA SANA KWENDA IKULU, KUMUOMBA RAIS MAGUFULI AMFUKUZE KAZI
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi kimemtaka waziri ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano kutoka hadharani na kujisafisha kwa tuhuma za kulifanyia udalali rasilimali za nchi
Tamko lililotolewa na ofisi ya Katibu Mkuu likiwa ni maazimio ya kamati ya utekelezaji limemtaka Makamba kujisafisha mwenyewe kabla ya kuandaa maandamano kwenda Ikulu kumuomba Rais Magufuli amfukuze kazi
"Awamu ya tano imebeba viongozi safi, na kwa wale wasio wasafi lazima tumsaidie Rais kutumbua majipu. Ndio mana katika hili lazima tumsaidie Rais, na kukisaidia chama chetu CCM ili wapinzani wasipate agenda"...
Hivyo tunatoa siku 4 awe amejisafisha kwa njia yoyote ile. Kinyume na hilo basi UVCCM itaandaa maandamano makubwa ya kwenda kumuomba Rais Magufuli alifanyie kazi suala hilo ikiwa ni pamoja na kumfukuza kazi...
Vile vile tunampongeza sana sana Rais Magufuli kwa kazi nzuri anayoendelea kufanya mpaka sasa. Wananchi wengi wanakubali kazi yake, na amekuwa kinara wa kuongoza mabadiliko ya kweli.... Umoja wetu utasimama na yeye daima... Na pia jumuiya hiyo imempongeza Rais Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa jumuiya ya Africa Mashariki...