Naibu Waziri Patrobas Katambi acha Uongo bado hujafikia huku unakojimwambafai nako na una mengi tu ya Kujifunza

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,734
"Nazijua Siasa za ndani na nje ya Tanzania pengine kuliko Wanasiasa wengi nchini na nimezipractise in black and white nje ndani hivyo hakuna wa Kunidanganya"

Chanzo: Radio One Promo ya Kipindi cha dakika 45 cha Jumatatu ya tarehe 6 Septemba 2021.

Tafadhali kama Patrobas Katambi yupo ( ni JF Member ) hapa naomba ajitokeze kwani nina Maswali yangu Kabambe Kwake ili nithibitishe hizi Sifa zake na huku Kujimwambafai Kwake.

Vijana kumbe Vyeo huwa Vinawalevya mpaka kufikia Kujiona mnaijua vyema Tanzania na Mataifa mengine wakati wengine mnajulikana kuwa hamna Exposure yoyote ile sana sana Madaraka mliyonayo ni ya kupewa tu Zawadi au Kubebwa kutokana na ama Ukabila au Ushirikina wenu wa Kutoa Makafara.

Kujimwambafai huku ningekusikia kutoka kwa Watu kama akina January Makamba na Nape Nnauye au Mwigulu Nchemba au Zitto Kabwe nisingeshangaa au Kuhoji ila nikiyasikia kutoka kwa Mshamba ( Mlugaluga ) fulani tu lazima nitajua kuna ulakini na sitoamini / sitomuamini.
 
picha yake tuone,
mana wengine hatumfaham mlugaluga huyu..
images (2) (11).jpeg
images (2) (12).jpeg
 
Katambi anaongea utadhani wanaomsikiliza ni wapori-pori wenzake tu.
Eti kanasema kanajua Siasa za ndani na nje ya Tanzania. Huko nje ya Tanzania amewahi kukaa / kwenda nchi gani?

Yaani kuwa Mbobezi wa Kutwa Kusikiliza Amka na BBC na Dira ya Dunia ya BBC jioni ndiyo kuzijua vyema na kuliko Siasa za ndani na nje ya Tanzania?

Hopeless kabisa tu haka ka Waziri kenu.
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom