Rushwa ya ngono vyuo vikuu

Volatility

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
3,906
7,456
Kiukweli, sikuwasikiliza kichele na mbogo sababu ni waongo waongo, hawa wawili walichangia sana kuharibu uendeshaji wa serikali kwa kufuata misingi ya utawala bora, wanatia kichefu chefu sana.

Sasa sielewi kati yao ni nani aliyewasilisha taarifa ya rushwa ya ngono vyuo vikuu mbele ya Bi. Samia asubuhi ya leo. Lakini namshukuru Mwenyezi Mungu kwa busara aliyompatia Rais, Mama Yangu, Bi Samia Suruhu Hassan Rais wa Kweli wa awamu ya tano na kutoa majibu mujarabu kabisa.

Kwamba pale chuoni wote ni watu wazima.

Sasa nichangie hoja.
Huyo aliyewasilisha taarifa hiyo, LEO, siku ya kwanza kabisa ambayo Bi Samia ameitumia katika utekelezaji wa majukumu yake mbele ya Uma wa watanzania kwenye vyombo vya habari alikuwa na nia OVU na ya Kishenzi, alikuwa na nia ya kutaka kumuelekeza Muheshimiwa Rais kufanya maamuzi ya kiisia za kijinsia ili kuvuruga stability yake ya kuweza kufanya kazi ya uongozi, na hasa kuongoza kundi kuubwa la manaume WITH AN IMPARTIAL MIND SET.

Na pili nimpongeze Mama Yangu, Bi Samia kwa uimara aliouonyesha katikati ya changamoto hiyo ya kishenzi kabisa na kuwa focused kwenye maswala ya msingi hata kutoa maelekezo ya kiuongozi ambayo kiukweli hatukuwa nayo kwa takribani kipindi cha muongo mmoja na nusu iliyopita.

Kwa kifupi Mheshimiwa Rais amenifurahisha sana kwa maelekezo haya ya kiuongozi aliyoyatoa.
1. Kumfire Mkurugenzi wa TPA, Kampa maelekezo majaliwa majiliwa kwamba Yeye Kama waziri mkuu alipaswa kufanya maamuzi makubwa kwa kudeal na mtu mkubwa na sio pet officers waliosimamishwa kazi baada ya yeye kuunda kamati ya uchunguzi hapo TPA. I hope Mr. Black amejifunza kitu.

2. Marufuku kwa TAKUKURU kujihusisha na mambo yasiyo core objectives zao, hahahahaha nadhani yule mwanajeshi alidhani mama atafurahishwa na akili za hovyo alizowapandikizia Magufuli za kuhangaika na vipesa vidogo vidogo huku misingi ya kazi na utu wa watu ukisiginwa. Kawaeleza mambo ya kukusanya madeni au kusaidia sijui hela kurudi hataki kuzisikia, kawaelekeza wajikite kwenye core objective yao ya kupambana na rushwa.

3. Lakini zaidi leo mama kawarudishia watendaji wa serikali bongo zao ambazo magufuli aliwanyang'anganya kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita. kawapa marufuku wote wanaohusika na usimamiaji wa sheria kuhakikisha wanafungulia watu mashtaka baada ya kuwa wameandaa ushahidi wa kutosha na kuhakikisha mashahidi wanalindwa lakini zaidi kawaambia hataki kupewa taarifa za mashikataka baseless.

4. Mama, katikati ya hotuba yake,leo, Mama ametoa muongozo kwamba sasa serikali itaheshimu muhimili wa Bunge, amewaambia akina kichere na wenzake by this time walipaswa wawe wamekwishaandaa mipango yao ya mwaka mmoja, miwili hata mitano, tayari KUIPELEKA BUNGENI IKAJADILIWE, tofauti na walivyozoezwa kuambiwa unconstitutionaly kumpelekea mtu fulani mipango yao AWAPE HELA, sio iboreshwe, AWAPE HELA.

5. NK, mfano, harmonization ya mifumo ya ukusanyaji mapato. na Kwamba sasa UCHUNGUZI UTAANZA KUFANYIKA KWENYE UJENZI WA BARABARA SABABU NAKO KUNA SHIDA.
 
Inaonekana hao wanafunzi unawafanyia mambo sio poa ndio maana hutaki hilo liangaliwe.

Vyuo vikuu kuna wanafunzi wanaojiweza kwa hali ya juu, na kuna ambao
wanasuasua ila wakati fulani wanajitahidi kwa uwezo wao sasa hao ndo wenye shida ya kufelishwa kwa makusudi
Je hilo ni sawa?
Kufelishwa kwa makusudi sio haki na hiyo ni dhuruma kubwa kwa mzazi na mwanafunzi kwa kupoteza muda wake.
 
Inaonekana hao wanafunzi unawafanyia mambo sio poa ndi maana hutaki hila liangaliwe.

Vyuo vikuu kuna wanafunzi wanaojiweza kwa halibya juu, na kuna ambao
wanasuasua ila wakati fulani wanajitahidi kwa uwezo wao sasa hao ndo wenye shida ya kufelishwa kwa makusudi
Je hilo ni sawa?
Kufelishwa kwa makusudi sio haki na hiyo ni dhuruma kubwa kwa mzazi na mwanafunzi kwa kupoteza muda wake.
Vyuoni pia kuna hili la watu kuvujishiwa mitihani na hili ni baya kwa Taifa, tujikite huko pia.
 
Na hata wewe Leo hii ukipewa kuongoza, utakuwa na dira yako, lakini yote Kwa yote tufike tnakokukusudia kama nchi

Ubovu wetu kama nchi, hatuna mwongozo wa kitaifa, kwamba Kila Raisi atakayeingia anapaswa afuate mwongozo huo, na ndiyo maana kila Raisi anayeingia anaenda kufanyia kazi mawazo yake na sio dira ya nchi
 
Na hata wewe Leo hii ukipewa kuongoza, utakuwa na dira yako, lakini yote Kwa yote tufike tnakokukusudia kama nchi

Ubovu wetu kama nchi, hatuna mwongozo wa kitaifa, kwamba Kila Raisi atakayeingia anapaswa afuate mwongozo huo, na ndiyo maana kila Raisi anayeingia anaenda kufanyia kazi mawazo yake na sio dira ya nchi
Na hakuna anayefikiria kuweka dira.
 
Kuna binti kaniomba ushauri .lecture wa chuo flani ana wasumbua wanafunzi wa kike .kabla matokeo ayaja toka na kuwaambia kwamba wana Sup hili awa saidie inabidi wampe rushwa ya ngono.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom