Hapa leo tuelewane, maana hata kwenye kupinga hua tunakua pamoja.
Tunahitaji Rais Akae Miaka 20 ili tuweze kupiga hatua ya kweli.
Miradi yenyewe ni kumalizia miundomsingi na miundombinu yote kama reli ya kisasa SGR, Miradi mikubwa ya barabara inayoendelea nchi nzima, Bwawa hilo kubwa la kuzalisha umeme.
Akikaa na Akatulia Akamaliza kila kitu Alichoanzisha Basi nchi itakua imefika mbali na tutaziacha nchi nyingi za Afrika kimaendeleo.
Wasi Wasi wangu akiingia Rais mwingine ataharibu trend ya Miradi na tutajikuta kila alichoanzisha Rais Magufuli kinasimama na tutaishia hapo hivo tumuunge mkono akae Miaka hiyo 20 ili amalize kila kitu ndio astafu hapo itakua safi tu.