Zipo taarifa nimesoma kwenye group moja la WhatsApp kwamba baadhi ya wakuu wa Wilaya wamepata mchongo mpya na wameomba waruhusiwe kwenda kuimarisha carrier zao japo majibu hayajatoka. Rafiki wa...
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania Jaji Francis Mutungi amesema kauli yake aliyoitoa wali katika mkutano wake na waandishi wa habari Dodoma ilipotoshwa
Amesema hajazuia mikutano ya ndani...
Kwanza nipende kukuombe Kwa Mwenyezi Mungu akupatie Umri mrefu wenye mafanikio na hitaji la Moyo wako.
Hakika Wanawake ni Nguzo kuu kwenye kila Hatua kwenye Dunia hii!!.
Mama Samia napenda...
Kwa mtazamo wangu,tunahitaji Serikali ya mseto,pengine wanasiasa hususani wa Tanganyika tumezidiwa kwa kiasi kikubwa na upande wa Zanzibar, wao wako mbele na wanazidi kutunyonya watanganyika...
Si kila lisemwalo lazima liwe ila kila liwalo lazima lilisemwa!
Unamfikiria vipi mtu senior kama Makamba kupata nafasi ya Uwaziri Mkuu?
Sifa zake kuu ni zipi? Umahiri na udhaifu wake kwa Nafasi...
Fanyeni yote ila msiturudishe kwenye
Mgao wa umeme.
Ujenzi wa bandari bagamoyo
Kukwamisha mradi wa umeme wa maji.
Kupanda kwa gesi.
Kupanda kwa mafuta.
Kupanda kwa bundle.
Kurudisha karo shuleni...
Katika video iliyoko You tube, Humphrey Polepole anaongelea hatari ya kutokea kikundi cha watu wanaongoza serikali kwa mlango wa nyuma na anaonya kikundi hicho ndio kinaweza kuwa kinaamua kila...
Kwanza, wakati Mama Samia anatangaza kifo cha Hayati JPM, alitangaza siku 14 za maombolezo ilihali kwenye katiba zinatajwa siku 21. Baadae Katibu Mwenezi CCM ndg Polepole akatangaza siku 21 kwa...
Mwenyekiti wa Chadema Mbeya Mjini , Mh John Mwambigija alikuwa miongoni mwa wanachama wa Chadema waliosafiri hadi gereza la Ukonga kumuona Mwamba Freeman Mbowe anayeshikiliwa kwenye gereza hilo...
Umofia kwenu wadau wa JF siasa.
Tetesi zipo japo mnaweza kubisha ila mtanikumbuka 2025, kuwa wagombea urais ndani ya CCM watakaotikisa ni Dr Medard Kalemani waziri wa Nishati, RC Makonda na Dr...
Uteuzi wa Dk Stergomena Tax kuwa mbunge, unaibua hisia kama ni mwanzo wa Rais Samia Suluhu Hassan kupangua Baraza la Mawaziri.
Dk Stergomena, mwanamke mwenye heshima kubwa kwenye uga wa...
Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.
Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya...
Uzalendo ni hali ya kuwa tayari kufia masilahi ya wengi kuliko kutanguliza masilahi binafsi katika maisha yetu ya hapa duniani. Dhana hii inaweza kuwa na zaidi ya mtizamo wangu hasa katika maisha...
Leo taarifa nilizopokea zinadai kuwa Dk. Kigwangala ametinga katika ofisi za CCM mkoa wa Mwanza (Jumuiya ya Wazazi) na kuchukua fomu kuwania Uenyekiti wa Jumuiya hiyo Taifa, huku akidai anaamini...
Mwanasheria Mkuu mpya wa serikali ya Tanzania Ndugu Kilangi alijaribu kumfurahisha aliyemteua kwa kuvunja utaratibu halali wa TLS ambao wanachama wake wamekubaliana kuuzingatia namna ya kupata...
Kampeni ya kutokomeza mifuko ya plastiki iliyoongozwa na Waziri wa Mazingira Mhe. January Makamba kwangu naiona kama kampeni iliyofanikiwa zaidi Tanzania katika miaka ya hivi karibuni.
Kampeni...
Wengi tunajiuliza hivi ni nani hasa anayeandaa miswada ya namna hii, anaanzaje kuiandaa, anashauriwa na nani, au anaamua mwenyewe tu, yeye ni nani hasa na huwa anatokea wizara gani , au anatokea...
Kwa miaka yote tumeona Mwanasheria Mkuu akiwa ndio ofisa wa Kwanza kuteuliwa , na baadaye ndiyo baraza la mawaziri hufuatia , sijafahamu sheria za nchi zinataka AG ateuliwe baada ya muda gani...
Malisa amewahi Kuandika uwepo wa ombwe la uongozi Polisi, alisema wazi kwamba kwa miaka mitano viongozi wa Polisi awajapandishwa vyeo hasa wale ambao mamlaka ya upandishaji vyeo ni Rais. Alipotoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.