Lema: Waziri Kalemani alimpigia simu mkewe akimtaka kuwapa Polisi ushirikiano wa kuondoa kamera

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Lema kupitia space anasema

"Waziri Kalemani, alimpigia mke wake simu kwamba polisi wanakuja hapo kuondoa kamera wape ushirikiano, hii ni baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi.." —; Godbless Lema

Natamani kusikia hii Taarifa siyo kweli, natamani kusikia kutoka kwa Mhe. Kalemani. Kama mke aliambiwa atoe ushirikiano means waliomba ushirikiano kwa Kalemani wanafahamika na yeye anawafahamu.

Tunafanya haya kwa sababu yakutafuta Nini hapa Duniani? Vyeo tu au Kuna mengine. Inaumiza Sana pale mapadre, maaskofu na wachungaji wanapojua kwamba waumini wetu wanatembea na dhambi vifuani mwao. Pls natamani niskie full story ya huu ushahidi wa Lema.
 
Simply aliyemfanyia haya Lissu cha moto anakiona maana walioenda ilikua nikutekeleza order tu, mtoa order aliumwa kimya kimya wakaficha kama walivyowaficha washambuliaji wa Lissu, aliumwa mpaka akafa bila hata dua njema, hii inadhiirisha Mungu yupo na kila jema na baya tunalofanya litahesabiwa na kutunukiwa au kuadhibiwa chaguo ni letu.
 
Kwa hiyo kila kifo ni adhabu.?
 
Kwa wale mnaopenda kujua uzima wangu Namshukuru muumba nipo mzima wa afya,uzee tu unasumbua na kwa maisha yalivyo usipotambua Duniani tunapita utaomba wengine wafe ila wakifa hautokaa uishi maisha yao. Leo JPM hayupo, hakuna anayeishi maisha yake. Na wengine walioondoka hakuna Leo mtu anayeishi maisha ya yule aliyeondoka, utaishia kuishi maisha yako tu.

Chamsingi tujiandae tuwe na mwisho mwema.
 
Lema kupitia space anasema

"Waziri Kalemani, alimpigia mke wake simu kwamba polisi wanakuja hapo kuondoa kamera wape ushirikiano, hii ni baada ya @TunduALissu kupigwa risasi.." —; @godbless_lema

Natamani kusikia hii Taarifa siyo kweli, natamani kusikia kutoka kwa Mhe. Kalemani. Kama mke aliambiwa atoe ushirikiano means waliomba ushirikiano kwa Kalemani wanafahamika na yeye anawafahamu.

Tunafanya haya kwa sababu yakutafuta Nini hapa Duniani? Vyeo tu au Kuna mengine. Inaumiza Sana pale mapadre, maaskofu na wachungaji wanapojua kwamba waumini wetu wanatembea na dhambi vifuani mwao. Pls natamani niskie full story ya huu ushahidi wa Lema.

"
Oooh nafurahi uko salama
 
Kwa wale mnaopenda kujua uzima wangu Namshukuru muumba nipo mzima wa afya,uzee tu unasumbua na kwa maisha yalivyo usipotambua Duniani tunapita utaomba wengine wafe ila wakifa hautokaa uishi maisha yao. Leo JPM hayupo, hakuna anayeishi maisha yake. Na wengine walioondoka hakuna Leo mtu anayeishi maisha ya yule aliyeondoka, utaishia kuishi maisha yako tu.

Chamsingi tujiandae tuwe na mwisho mwema.
Sasa mkuu sababu ya kutuaga wanaJF ilikuwa nini? And nini kimekurudisha humu?
 
Lema kupitia space anasema

"Waziri Kalemani, alimpigia mke wake simu kwamba polisi wanakuja hapo kuondoa kamera wape ushirikiano, hii ni baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi.." —; Godbless Lema

Natamani kusikia hii Taarifa siyo kweli, natamani kusikia kutoka kwa Mhe. Kalemani. Kama mke aliambiwa atoe ushirikiano means waliomba ushirikiano kwa Kalemani wanafahamika na yeye anawafahamu.

Tunafanya haya kwa sababu yakutafuta Nini hapa Duniani? Vyeo tu au Kuna mengine. Inaumiza Sana pale mapadre, maaskofu na wachungaji wanapojua kwamba waumini wetu wanatembea na dhambi vifuani mwao. Pls natamani niskie full story ya huu ushahidi wa Lema.

"
Akili ya kawaida tu ya mambo ya plottting yoyote ya assassination, waziri ampigie simu mke wa mbunge kumtaka afanye kitu fulani ili kuwezesha kitu fulani? Hapa nionacho ni lema ni dumb zaidi ya nilivyodhan
 
Lema kupitia space anasema

"Waziri Kalemani, alimpigia mke wake simu kwamba polisi wanakuja hapo kuondoa kamera wape ushirikiano, hii ni baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi.." —; Godbless Lema

Natamani kusikia hii Taarifa siyo kweli, natamani kusikia kutoka kwa Mhe. Kalemani. Kama mke aliambiwa atoe ushirikiano means waliomba ushirikiano kwa Kalemani wanafahamika na yeye anawafahamu.

Tunafanya haya kwa sababu yakutafuta Nini hapa Duniani? Vyeo tu au Kuna mengine. Inaumiza Sana pale mapadre, maaskofu na wachungaji wanapojua kwamba waumini wetu wanatembea na dhambi vifuani mwao. Pls natamani niskie full story ya huu ushahidi wa Lema.

"
Hivi kwa nini lema ni nunda sana? Hivi kweli unaandika kabisa huu upumbavu na unaona una point? Dah
 
Simply aliyemfanyia haya Lissu cha moto anakiona maana walioenda ilikua nikutekeleza order tu, mtoa order aliumwa kimya kimya wakaficha kama walivyowaficha washambuliaji wa Lissu, aliumwa mpaka akafa bila hata dua njema, hii inadhiirisha Mungu yupo na kila jema na baya tunalofanya litahesabiwa na kutunukiwa au kuadhibiwa chaguo ni letu.
Samia ameshakengeuka ataishia pabaya tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom