SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) LIMEFANYA ZOEZI LA UKAGUZI WA UBORA WA BIDHAA MBALIMBALI WILAYANI KASULU-KIGOMA
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea na mpango wa ukaguzi wa kushtukiza...
Ni Mbunge wa Muheza, Hamisi Mwinjuma ambaye ni mkazi wa Upanga Dar es Salaam.
Inasemekana yuko katika hali nzuri
=====
MBUNGE wa Muheza, Hamis Mwijuma maarufu kwa jina la Mwana FA (CCM) amepata...
Baada ya Rais Samia kutupunguzia Tozo za miamala na kusimamisha ongezeko la bei ya petrol binafsi nampongeza sana.
Nichukue fursa hii kumuomba asituchoke kwa sababu hatuna kimbilio lingine zaidi...
Mtangazaji wa kipindi cha Agenda kinachorushwa na Star tv Aloyce Nyanda amesema Muongoza filamu ya Royal Tour nchini ni muisrael na ameshawahi kufanya kazi na Rais Paul Kagame wa Rwanda na...
Nguvu ya raia ni nini?
Nguvu ya raia ni uwezo wa raia kutekeleza majukumu yake ya kila siku. Nguvu hii inamuwezesha raia kutoingiliwa na raia wengine na hata serikali. Serikali ina kazi ya...
Katika mambo ambayo mataifa mengi yanapigana nayo kwa sasa ni kunusuru uchumi wao na kuachana na matumizi yasiyo ya lazima. Uchumi wa mataifa mengi umeathiriwa na mlipuko wa COVID 19 hali...
Nijambo la kushangaza sana ,wananchi wanahuzuni kubwa kutokana na maisha kupanda kiasi hiki, lita ya petrol 2500, mafuta ya kula 6000 lita, makato ya simu kuongezeka,
KUNA NINI NYUMA YA PAZIA...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kusitishwa kwa bei mpya za mafuta zilizotangazwa jana ambazo zilipaswa kuanza kutumika leo tarehe 1 Septemba.
Serikali...
MATAGA waliojulikana kama ‘Praise Team’ enzi hizo walikuwa mstari wa mbele kusifia chochote alichofanya Magufuli hata kama kilikuwa kibovu.
Leo mama Samia kaachwa peke yake akijitetea mwenyewe...
Juzi, Rais Samia alifanya mabadiliko madogo katika baraza la mawaziri kwa kutengua uteuzi wa mawaziri watatu akiwamo Ndugulile na kuteua wapya wanne ambao ni Dk Ashatu Kijaji, Dk Stergomena Tax...
Waziri mkuu mstaafu mh Sumaye amewaasa CCM kujiandaa kisaikolojia kwani siku zinakuja ambapo Watanzania " Wataichoka" tu na kuweka chama kingine madarakani.
Sumaye anasema ndio maana yeye, mzee...
Sheikh Issa Ponda amesema Maimamu wa Dar es salaam wamekutana kujadili tamko la IGP Sirro kwamba polisi watakagua mafundisho yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada ikiwa ni Madrasa na Sunday...
Kitendo cha kumteta mkuu wa nchi kilichofanywa na wana CCM Nape na January kitapelekea kutoaminika tena katika nafasi yeyote za kiuteuzi kama nafasi ya madaraka ya kuwa Waziri,utumishi wa umma na...
Wakati Tanzania tunakabiliwa na changamoto nyingi mno za kijamii, imezoweleka Sasa kuona Serikali ikifanya mikutano, warsha, na sherehe mbalimbali ambazo gharama zake ni zaidi ya umuhimu wake...
Tuliyasema haya wakati akiwa hai na tutayasema wakati huu ambao hatunaye.
Kwanza Wamachinga hawakuzi uchumi wa nchi hii kwa kiwango kikubwa bali wanaukuza uchumi wa China, India na Thailand maana...
Sijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.
Tunaomba wizara ifanye yafatayo
1. Itoe ratiba nzuri na itoe orodha ya vituo vya kutolea huduma maeneo ya vijijini.
2. Wizara ituambie J&J iliyoingia nchini inamaliza lini mda wake wa matumizi...
Kipindi cha nyuma nilikua nampenda na namkubali JPM kwa utendaji wake kazi lakini kwa sasa naona kama vile nikisikia hata jina lake napata kichefuchefu sasa maana imekua too much
katika hali...
NINACHOKIONA NI VITA BARIDI BAINA YA MASIKINI NA MATAJIRI HAPA TANZANIA
Na, Robert Heriel
Nimejikuta sipendi kuzungumzia siasa za nchi hii. Hii ni baada ya kugundua kuwa siasa za nchi hii ni...
Watu wanasema, lile genge linaloitwa huko mitandaoni "Suk.... gyeng"
Walijimilikisha hii nchi na yule mwendazake.
Waziri Kalemani atumia kivuli cha ‘maagizo kutoka juu’Jamhuri August 18, 2021...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.