Kwa tulipo sasa katiba no muhimu sana kwa Tanzania. Magufuli anatakiwa kupongezwa kwa kuongeza uelewa juu ya umuhimu Wa katiba mpya.Naamini wananchi wanaweza kushiriki vyema kukusanya maoni ya...
Kupitia kauli zako za kuwania wananchi wa Wilaya ya Ikungi kua una Majeshi, Polisi na Mabomu kwamba inaweza kumlipua mtu wakati wowote, ni kauli za hovyo na za kijinga kwa kiuongozi ambaye umepewa...
Ama kweli dunia tambara bovu.
Prof Makame Mbarawa siyo siri, ni adui mkubwa wa Makandarasi katika sekta zote za Ujenzi na hata hapo mwisho Maji.
Mbarawa ni kama mtu wa kisirani na mara nyingi...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha Mawaziri wateule wanne na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma
Mawaziri ni Dkt. Stergomena Tax Waziri wa Ulinzi na Jeshi la...
HII NCHI NGUMU SANA|WATU WANAPINGA TOZO ZA HIARI WANATAMANI ENZI ZA TRA NA MITUTU YA BUNDUKI,
_________________________________
Kazi iendelee|Tozo ziendelee
Sikilizeni, Mfano, kutoka...
BEI YA PAMBA JUU,TOKA TZS 810 FY2020|21 HADI TZS 1,800 FY2021|22,KILA KONA YA NCHI NI SAMIA SAMIA|SAMIA,NASISI TLP TUNAUNGANA NA WATU HAWA,
Ndg Wananchi,
Bei ya Pamba Tanzania imepanda kutoka...
Ndugu Wananchi wenzetu,
Mpaka Rais Samia anaingia madarakani zaidi ya watoto wa masikini elfu 10 hawakupewa mikopo,
Leo tayari ameongeza Tshs 106BL sawa na 23% yaani kutoka Tshs 464BL FY2020/21...
NAPE NA NDUGU ZAKO MSIACHE KUMSHUKURU MUNGU KWAAJILI YA MAMA SAMIA | MBAAZI IMEPAA TOKA TZS 50 FY2017|2020-TZS 1,600 FY2021|22 KWA KILO
Bei ya mbaazi Tanzania chini ya Rais Samia imeongezeka...
Ukitaka kujua ujangiri wa hawa jamaa ulizia askari wa RUAHA NATIONAL PARK.Serikali baada ya kuona hawa majangiri wanamaliza malihai kwenye mbunga za Ruaha na hasa tembo,na kwassb majangiri hawa...
"Wamiliki wa nyumba wasihamishie huo mzigo [kodi ya majengo] kwa wapangaji. Mmiliki atakayefanya kiburi na kutaka kuhamishia kwa wapangaji, atakuwa anakiuka sheria. Atakayefanyiwa hivi, aje anione...
Kwa namna vijana wa mwendazake walikatiziwa ulaji ghafla kufuatia kifo cha mpendwa wetu, ni dhahiri hawa wa sasa hawatarudia makosa.
Ukiwaangalia akina Polepole ni kama vile wanataka kupata...
Spika Ndugai amesema January Makamba ana uzoefu wa kutosha katika sekta ya nishati hivyo anategemea atahakikisha petrol haipandi pandi bei ovyo.
Pia, mikataba mingi ilisharekebishwa hivyo...
WAKATI Serikali ikiwa imetenga Sh1.5 bilioni kwa ajili ya ununuzi wa ndege mpya ya Kituo cha Taifa cha Kilimoanga, pamoja na kusomesha rubani mmoja, imebainika kuwa ndege tatu za kituo hicho...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Justine Peter Mwandu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bima la Taifa (NIC).
Taarifa iliyotolewa leo...
Wizara hii imesababisa waziri mkuu E. Lowassa kujiuzulu, Karamagi na wengine wengi wakati huo hoja kuu ikiwa ni Richmond. Hivi majuzi Katibu mkuu amefukuzwa kazi Bwana Jairo kwa ajili ya rushwa...
Baada ya wakulima kuilalamikia serikali na mbunge wa viti maalumu wa CHADEMA kuibua hoja bungeni (hatuwataji covid19 kumbe bado wana msaada kwa wananchi wabunge wa CCM waliunyuti kama haiwausu)...
Awamu ya 5 tuliambiwa upatikanaji wa dawa kwenye maeneo hayo umefikia hadi 94% hii likuwa 2018 , lakini watu walewale kwenye awamu ya 6 mwaka 2021 tunaambiwa upatikanaji wa dawa kwenye Zahanati...
Rais Samia Anaweza kuwa Rais Bora kabisa kutokea nchini Tanzania. Ila kinachotokea Sasa ni kama kila mtu anataka kuandika anachokiamini kwenye kitabu chake.
Sasa kuna mnyukano mkubwa, CCM na...
Nikiri mwanzoni kabisa mwa andiko langu kwamba sifurahii na Wala siuzuniki Kwa mabadiliko chanya au hasi ya baraza la mawaziri au chochote katika nchi hii.
Na sababu ni kwamba Mimi ni muumini wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.