TAARIFA KWA UMMA.
Tumepata taarifa kupitia vyombo vya habari kuwa kikao cha Jeshi la Polisi na Vyama vya Siasa kilichoitishwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kimepangwa kufanyika tarehe 21...
Wanabodi,
Rais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania mama Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Tanzania akitokea jijini Newyork ambapo ali tuwakilisha na kuhutubia baraza la umoja wa mataifa. Ni...
Askofu Bagonza ametweet kwakusema Kama unachefuliwa na wanaodai katiba mpya watakapokuja watakaomdai Ben Rabiu Saanane si ndio utatapika?
Nini maoni yako.
Napitia pitia teuzi za hivi karibuni.
Ndiposa nauliza yuko wapi yule mwanasiasa kijana machachari Paul Makonda aka Baba Keegan?
Mungu ni mwema wakati wote!
Huu ulaghai wa hali ya juu unaofanywa na Polepole, alikuwa anapinga katiba mpya enzi ya mwendazake, alitumia muda mwingi kukata viuno akicheza mabolingo huku akijirekodi katika camera, alishuhudia...
Hii ndio Demokrasia ya Tanzania🇹🇿. Ushindi wa CCM ni aailimia 99.9 upinzani umeshatoswa baharini.
Bunge liapishwe, katiba ibadilishwe, Magufuli awe rais wa maisha Kama yule wa China.
Tuvunje...
Wakuu nimeona nipite na hii sababu naona kama viongozi wetu sometimes wanakua wamekosa kazi za kufanya na kuanza kuyasakama mambo ambayo yapo toka enzi na hata wao pia ni wateja wazuri wa ao watu...
Jengo la TANESCO Chato, wilaya yenye mji wa wakazi 28,000 tu, ni kubwa kubwa kupitiliza.
Wilaya ya Temeke ina wakazi milioni moja na nusu, lakini hakuna jengo la kutisha na huduma inaendelea...
Ubora wa chanjo unaendana na kufuatilia taratibu za uhifadhi. Kama chanjo imeelekezwa kutumika kwa kipindi flani lazima iwe hivyo, Kama imeelekezwa kutunzwa kwenye joto la ngazi flan lazima iwe...
Ukiangalia kila kitu tumeiga kutoka ulaya Sasa kuthamini vya kwetu inatoka wapi jamani?
Tujitume katika kazi watanzania wenzangu vya kwetu vishapita vimebaki vya mungu na mzungu hii kauli ya...
TCRA walituambia baada ya usajiri wa alama za vidole utapeli wa tuma fedha kwenye namba hii utaisha kwani watu hao itakuwa rahisi kuwatambua.
Kitu za kushangaza hili suala bado linaendelea, TCRA...
Wakuu hili swali nimeliuliza sehemu nkashindwa kupata majibu nimeona nililete hapa.
Nini kitatokea endapo serikali itapandisha vigezo vya kusoma elimu ya juu? Je kutakuwa na athari gani ktk jamii...
Amani iwe nanyi wadau;
Kwanza kabisa napenda kumpongeza kwa dhati sana ndugu John Pombe Magufuli kwa uongozi wake makini sana tangu alipochukua uongozi wa nchi hadi sasa ambapo anatimiza mwaka...
Nashauri itengenezwa hela yenye picha ya Rais Samia, sababu itachukua miaka mingine hata 50 kuja kutokea Tena kuongozwa na Rais mwanamke kwenye Taifa letu, hii Ni bahati kubwa Sana Sana...
Nikiwa siendeshwi na mihemko, wala umimi wala ukanda wala udini wala ushabiki usio na maono na wala fedha na maslahi binafsi.Nikiwa pia nimeamua kuitendea haki akili yangu niliyopewa na Mungu...
Amani iwe nanyi wadau,
Nikiwa sijaonekana kwenye jukwaa hili kwa kipindi sasa huku nikiwa sijapost kitu humu kwa muda mrefu sasa, napenda kuwasalimu wote na kuwaambia kuwa tuko pamoja kwenye...
THISDAY CORRESPONDENT
Musoma
THE former Minister for Defence and National Service, Prof. Philemon Sarungi, has denied any personal involvement or criminal wrongdoing in the controversial...
Madaktari wameishauri Serikali chanjo ya Corona iwe lazima. Si jambo baya na wapo sahihi kwa kuwa wao ni wataalamu.
Serikali haipaswi kukataa ushauri wowote wa wataalamu kwa maana mambo yakienda...
Habari!
Kwa unyenyekevu mkubwa Rais ninakuomba utuletee boss mpya TEMESA.
Hii taasisi ni mhimili muhimu sana wa serikali hii kwani ina majukumu mengi ikiwemo
- Kusimamia magari yote ya Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.