Nini kitatokea endapo serikali itapandisha vigezo vya kusoma elimu ya juu? Je, kutakuwa na athari gani ktk jamii kiuchumi?

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
3,626
9,173
Wakuu hili swali nimeliuliza sehemu nkashindwa kupata majibu nimeona nililete hapa.

Nini kitatokea endapo serikali itapandisha vigezo vya kusoma elimu ya juu? Je kutakuwa na athari gani ktk jamii kiuchumi?

Mfano alama za kujiunga chuo ziwe atleast BBB
 
Weupe wanaongeza jitihada ili wengi waelimike vya kutosha huku tunaongeza jitihada watakaoelimika wawe kidogo na hatufundishani namna ya kufanya kazi
Umeelewa swali? Hicho ndicho nilichouliza?
Kama hujui kaa kimya mkuu
 
Umeelewa swali? Hicho ndicho nilichouliza?
Kama hujui kaa kimya mkuu
Unataka jibu la namna gani? Hii ndo shida ya elimu yetu, unataka wapandishe alama za ufaulu kwenda elimu ya juu ili iweje? Nimezungumzia kuongeza idadi ya watakaoelimika usichokielewa nini?
 
Viwango vya ufaulu vikipandishwa na idadi ya vyuo itapungua, maana ni vyuo vichache sana utakuta vina dahili watu wenye ufaulu wa kuanzia BBB kwenye program nzima
 
Unataka jibu la namna gani? Hii ndo shida ya elimu yetu, unataka wapandishe alama za ufaulu kwenda elimu ya juu ili iweje? Nimezungumzia kuongeza idadi ya watakaoelimika usichokielewa nini?
Wewe ndio nikushangae unailaumu elimu wakati hujaelewa hata kilichoulizwa, unajibu ambavyo sijakuuliza
 
Viwango vya ufaulu vikipandishwa na idadi ya vyuo itapungua, maana ni vyuo vichache sana utakuta vina dahili watu wenye ufaulu wa kuanzia BBB kwenye program nzima
Ahsante mkuu kwa jibu lako zuri wengi wanajibu vitu ambavyo sijawauliza big up mkuu,

Je kuna athari gani za kiuchumi zitatokea?
 
Wewe ndio nikushangae unailaumu elimu wakati hujaelewa hata kilichoulizwa, unajibu ambavyo sijakuuliza
Tatizo lako kuna majibu unayoyataka wewe, hatupo kwenye hisabati kwamba kila utakayemuuliza 2+2=4, tegemea maswali, na hoja kinzani kutoka kwenye swali lako na ukiweza kuelewa maelezo ya wote hapo tutakuita muerevu
 
Hahahaaa elimu ya bongo iyo mtu akifanikiw ataki wenzak wafanikiwe yan unakut wazili alipit kwa ufaulu wa E mbili alaf anakuj yeye anawek D mbil akija ndugu yetu apo atawek B mbili
Mnaiita elimu ya bongo mbovu ni kweli ni mbovu maana umeshindwa kuelewa swali dogo kama hili
 
Back
Top Bottom