Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,898
THISDAY CORRESPONDENT
Musoma
THE former Minister for Defence and National Service, Prof. Philemon Sarungi, has denied any personal involvement or criminal wrongdoing in the controversial dealings surrounding the Buhemba gold mine in Mara Region.

Sarungi recently came under sharp criticism from some residents of Buhemba over the handling of the mine, which was previously under the control of the Tanzania People’s Defence Forces (TPDF).

He explained that during his two-year spell as defence minister, he never went against government decisions nor ever received any monetary gain from the mine.
The ex-minister said he retired from government a ’’poor man,’’ with an outstanding 8m/- debt for the purchase of a government house in Dar es Salaam.

’’I am being turned into a scapegoat? I was merely implementing government decisions,’’ he said, adding: ’’I am not corrupt?I am a clean man who has always been diligently executing decisions made by the government.’’

Sarungi said after the Buhemba mine experienced a huge financial crisis, the TPDF handed it over to the Ministry of Energy and Minerals.

Recently, residents of Buhemba, in a meeting with the Musoma Rural Member of Parliament, Nimrod Mkono, asked the government’s mining sector review committee chaired by former attorney general Mark Bomani to question ex-president Benjamin Mkapa and former prime minister Edward Lowassa about the Buhemba mine, which has now been closed down.

The villagers sought answers from the government on who currently owns the mine and why the Bank of Tanzania (BoT) has been pouring billions of shillings into the project.

Under the stewardship of disgraced ex-governor Daudi Ballali, the BoT paid into a foreign bank account over $118m (approx. 150bn/-) to liquidate a loan issued to the now-defunct Meremeta Gold Mine company, which was running the mine.

The money was dished out as part of the process of liquidating the Meremeta company, which nevertheless was in fact a joint venture project owned on a 50-50 basis by the Tanzanian government and a private South African firm going by the name of Trinnex (Pty) Limited.

After the mine went bankrupt, all assets and liabilities of the Meremeta company - including the Buhemba Gold mine ? were transferred to TANGOLD Limited, a new company supposedly wholly-owned by the Tanzanian government.

The BoT subsequently made a highly-questionable $13.34m (approx. 17bn/-) payment to the TANGOLD company.

Investigations by THISDAY have already established that TANGOLD Limited was registered as an offshore company in Port Louis, Mauritius in April 2005, with at least five top government functionaries listed as directors.

They included Ballali; the long-serving permanent secretary in the Ministry of Finance, Gray Mgonja; the then attorney general Andrew Chenge; the then permanent secretary in the Ministry of Energy and Minerals, Patrick Rutabanzibwa; and the then permanent secretary in the Ministry of Livestock Development, Vincent Mrisho.

A company listed at London and Nasdaq stock exchanges, RANDGOLD Resources - incorporated in the Channel Islands - announced in August 2005 that it had signed a joint venture agreement with the Tanzanian government to develop new mineral deposits in the same Buhemba area.

According to the company’s media statement at the time, the deal was known as the ’’Tangold agreement’’ and related to a specific area of interest, this being ’’the Kiabakari Maji, which covers 2,692 square kilometres around the Buhemba mine but not the mine itself.’’
 
Poor Prof ni miongoni mwa wasafi walio litumikia Taifa utumishi uliotukuka
 
Mtu akivamia fani isiyokuwa ya kwake haya ndio humtokea. Inauma sana kwa kweli. Huyu Prof nasikia ni bingwa wa upasuaji ambaye ubingwa wake katika fani ya mifupa ni wa kutukuka, hakuna mfanowe. Lakini alipoingia siasa wakaanza kumvuruga hovyohovyo, mara waziri wa elimu (akakaribishwa na mgomo wa walimu nchi nzima!), mara waziri wa mawasiliano (waongoza ndege wakagoma airport zote, ikabidi jeshi liingilie kati),kisha mkuu wa mkoa Pwani na Kilimanjaro! Halafu akawa waziri wa ulinzi na sasa senior "backbencher"! Hivi hapo bado Profesa Sarungi ni yuleyule? Hakika siye tena, huku hayuko na huko hayuko....!(wanamaliziaje tena hapo?) Kwenye uprofesa keshafubaa, na kwenye siasa ndio hivyo tena, sasa sijui yuko wapi?
 
Poor Prof ni miongoni mwa wasafi walio litumikia Taifa utumishi uliotukuka

Masatu
This man anaweza kuwa alitukuka akiwa kwenye mifupa lakini tangia aliingia kwenye siasa Sarungi is no longer clean.
Uchaguzi wa mwisho ambao sasa kabakia kuwa Mbunge pekee alitumia nguvu za kijeshi na rushwa kubwa kurudi madarakani .Kampuni ya diamond motors ta Dar ambayo imekuwa inatumiwa sana na akina Karume, Mahita na wengine waliamua last minutes kumsaidia kulipa gharamam jimboni kwake kufyatua njia zipitike ili achaguliwe na aliamini kwamba atakuwa tena waziri wa Ulinzi na tender ya kununua magari ya kijeshi ingalifanywa na Diamond motors wakati Wasira aliingia pale an kufoka na kudai wampe pesa zake baada ya kuchelewa ku deliver gari na akawaambia wakae chonjo maana baada ya uchaguzi angali uvaa Uwaziri na wahindi wale watamtambua.

Nasema huyu Sarungi si msafi hapa .Muulize mpiga kampeni wake alivyo toswa na kupokonywa tender jeshini .Sarungi hata jimboni kwake hafiki na akifika anaishia nyumbani kwake pekee .

je bado unadai kwamba Sarungi ni msafi ?
 
jamani msitete mtu msiyemjua, huyu prof ni moja wa mafisadi katika serikali ya ben, ngoja niwaeleze kidogo mimi nafanya kazi hapa JKN international airport nakumbuka wakati prof alikua waziri wa ulinzi ilikua haipiti wiki bila kuja airport kwenye vile viduka vya wahindi ili kuja kuchukua mshiko kidogo yaani lilikua linajizalilisha kweli kwa maana karibia watu wote tulikua tunajua ila hili li-professor lilifikiri sisi hatuoni. na sababu za kuja kuchukua huto tubahasha ni kwa vile hao wahindi ndio walikua na tender ya ku-supply mahitaji ya jeshi kama misosi, vinywaji na walikua na maduka yao katika makambi ya jeshi, si unajua tena jeshini mambo kama haya hakuna kodi.HII NI AIBU KWELI KAMA ANASOMA JF ANAJUA KWAMBA HUU NI UKWELI, fisadi mkubwa kafie mbele huko sisi tuna hasira sana na watu kama wewe professor fisadi.
 
JF,

Na hata Sarungi tena!!!!!

Sasa ni yupi msafi?

Nimeshawahi kusikia hata fisadi Mkapa na aliyekuwa akimpigia deba la Urais 2005 Abdallah Kigoda nao wana mgodi wao wa dhahabu. Sijui waliupataje mgodi huo au ndio yale yale ya KCM, kuchukua mgodi wa Watanzania bila hata kulipa senti moja.
 
Haya mabillioni ya Tsh. naona sasa tutayaona kama sio pesa tena:
Hapa billioni 133
Huku billioni 150
Na pale billioni 17

Inakuwa kama ni chenji ndogo tu. Mpaka uanze kukisia ni hudumu zipi ambazo zingeweza kutolewa kuwaondolea wananchi kero ndio utatambua uzito wa haya mabillioni.

Billioni 17 zingeweza kununua nyembe ngapi za kuwasaidia mama wajawazito pale Mwananyamala hospitali kuondokana na adha ya kuamrishwa walete nyembe wakati wakifika hapo kujifungua?

Kwani mtu kama Sarungi haya hayaelewi? Si aliwahi kuwa waziri wa Afya huyu?
 
hodihodi jamani, twaingia! nimejisomea ripoti na maoni yaliyotolewa naona hapa jamboforums wengi wazushi. kama nikisoma vizuri habari hii ya thisday imejaribu kumhusisha professor na tangold na imeshindikana. hii haikuwa dili lake wala hakuhusika, hebu chekini vizuri alichosema: alikuwa anafuata maagizo ya serikali! sasa mwulizeni nani alikuagiza? ndipo mtapata jibu.

wengine hapa wanaleta umbea eti yule mzee alikuwa anapokea vibahasha airport, hii ni vichekesho! yaani mtumzima kama yule aende airport kila wiki akijua eti hamtamwona? huu ni utoto mlioandika... mweee ngonga hata mimi ni mwenyeji kiasi hapo airport lakini hii sijawahi kuona ulichosema, unaleta uzushi tu. profesor anapita VIP anapokuja airport na hatoki nje alikuwa anatuma wahudumu na hajawahi kupita njia ya kawaida. kama ni mfanyakazi wa airport unajua hata kule duty free shops alikuwa hafiki. acha umbea, mtoto wa kiume! Kama vibahasha siangepokea nyumbani? jamani wengine mnaandika bila kufikiria. alafu wengine mnadandia mkidhani hiyo ndiyo proof ya kuwa si msafi. tukikaa sisi vikao akina mama mnasema ni umbea mkija kwenye vichati vya intaneti mnasema eti mnajadili, ni umbea tu!
huyu mzee mnatafuta kumchafua lakini yatawashinda. mlianza na masuala ya rorya mkaja hapa.. mtafuteni mchawi mwingine maana kama ni tangold, tuna data wengine lakini hatuzimwagi hapa tunasubiri waandishi wazifanyie kazi kwanza. lakini wenye shida na hizi data wanitumie meseji... kama ni umbea na kuchafuliana majina endeleni tuje kuwaumbua!

ngoja niangalie kama kuna umbea mwingine thread nyingine.
 
Rafiki yangu hebu kuwa sirias kidogo! Unaonekana wewe umetumwa na huyo prof. na hapa unajitahidi kutumia maneno makali ili kuifanya hii thread ionekane inamtafuta ubaya prof Sarungi.
Kama wewe uko so protective kwa Sarungi kiasi hicho ebu toa maelezo ya jinsi gani alifanikisha kampeni yake ya kuutafuta Ubunge kule Rorya? Huyu jamaa ni fisadi kama mafisadi wengine na hawezi kusema ati yeye alikuwa akifanya yale aliyoambiwa na Serikali>>> kwa nini HAKUHOJI??? Je hata kama mambo yenyewe hayakuwa na manufaa kwa taifa yeye aliyatekeleza tu kwa sababu aliagizwa?? Aaache kuudhalilisha uprofesa wake kwa kuongea mambo ambayo hayaeleweki.

Prof Sarungi ni fisadi mpaka atakapoproove otherwise!

Asilete mambo ya Bangusilo hapa
 
we dmussa! kutmwa, nikuulize we umetumwa na nani? Hakuna aliyetumwa hapa, mwanaume acha kunitafuta!
mnataka kuchanganya mambo hapa. hii ripoti ya thisday imezungumzia suala la tangold, basi tuongee tangold.
eti mnasema ye fisadi mpaka atakapopruv? si hivyo ndugu yangu ni vinginevyo, anayesema ni fisadi apruv kwamba mzee alifaidika na tangold.
haya mambo ya kusema eti aeleze kampeni yake alishinda vipi, mi si mpambe wake katafute umbea huo kwingine.
kama ni masuala ya eti ayapoti kapokea hela za wahindi mi ndo nasema ni uzushi na fitna tu. tubaki kwenye mada yenyewe!

nimesema narudia tena hiyo ya tangold ni ishu ambayo iko juu ya huyo mzee, wengine kazi zetu hazituruhusu kusema lakini tunawapa vipointi. mwulizeni aliyekuwa waziri wakati huo ilipoanzishwa meremeta ambaye alikuwa kabla ya profesa. huko ndiko kuna ufisadi na uchafu wote... endeleeni kuchokonoa mtafute lakini si kuleta umbea. mi nawapongeza waandishi maana wameanza kuzuri lakini wasiishie hapo... data zipo wazitafute
lakini sasa je mnatafuta ukweli au umbea? kama ukweli kazi mliyoanza ndo baadoo.
 
He explained that during his two-year spell as defence minister, he never went against government decisions nor ever received any monetary gain from the mine. The ex-minister said he retired from government a ’’poor man,’’ with an outstanding 8m/- debt for the purchase of a government house in Dar es Salaam.

’’I am being turned into a scapegoat? I was merely implementing government decisions,’’ he said, adding: ’’I am not corrupt?I am a clean man who has always been diligently executing decisions made by the government.’’

Haya ni maneno yaliyotoka kwenye mdomo wa PROFESA.... ETI yeye ni Bangusilo!

Gus,
This is not personal...ila napenda kujua ni kwa nini unatumia nguvu zako zote, akili zako zote na hata kudiriki kuita watu wambea.... cammon u can do better than that Gus!
Ebu fikiria kama mtu anaweza kutekeleza maamuzi ya serikali bila kuhoji hata kidogo au na yeye analeta zile za Zakhia Meghji za ugeni kwenye wizara???
Yela mashimo, kuhamshwa kwa Kambi ya jeshi Buhemba kwenda Ikoma ili kuupisha mgodi unafikiri ni maamuzi ya kizalendo au kifisadi?? Na je unaelewa kwamba ile kambi iliwekwa kwenye ile Gold reserve makusudi na J. K. Nyerere(RIP) ili kusubiria waTz wawe na uwezo wa kuchimba na kutumia Gold reserve zetu beneficially?

Mi napenda kama una hoja uilete kama hoja sio kwa kebehi.
Sina mengi...
 
Huyu jamaa mzushi tu wala sina haja ya kumtaja hata jina lake .Watu wa aina tunao hapa wanawasema wenzao sana lakini wat wakiguswa wako tayari hata kufa .Wote mnasoma na mnajua .Mimi nasema kama anakataa ya airport je Diamond motors na kampeni zake Rorya je ? Waziri akija na uwanjani na kuingia huko ndani akiwa na shida zake kuna mtu wa kumwambia lazima apitie VIP? Hata kama kaja kumpokea mgeni wake ambaye hatatokea VIP bado anaenda VIP ? Je kama alikuwa anakuja pale uwanjani kama Sarungi na si waziri ? Huu ni uongo wa kuzima hoja .Nani ambaye hajui kwamba Sarungi ni mtu hongo hadi mwisho ? Nenda Rorya jionee mwenyewe.Anawanunua masikin baadaye anahamia Dar hadi baadaye tena . Ufisadi hadi ufikie level gani ndipo ujulikane kwa kiwango cha Ufisadi ?

Kama una data zimwage Kazi yako haikuruhusu kusema ila inakuruhusu kuja kukataa kwamba si Fisadi ?
 
Mzee huyu hela anaijua.....Imechukua muda watu kumshtukia

Nilishawahi kusema hapa kwamba shetani akizeeka hujifanya malaika,tunamashetani wazee wwengi tu hapa,mafisadi wazoefu,walioikula nchi hii,sasa wanajifanya wema na wasafi,hao ni malaika waliokua mashetani wazee!
 
sasa mnataka kuleta ligi? haya leteni, lakini mjue mi niliingia kwenye huu mjadala najua labda mna data za maana, na niliingia kwa moyo mweupe nikijua kwamba naweza kuongeza na mi data zangu lakini mmebaki kuongea majungu.

kaka lunyungu, nakuona ni mtu mzima sitaki kukuvunjia heshima kwa niyo narudia, majungu tuweke pembeni tuendelee na kile kilichotuleta hapa, ambayo ni suala la meremeta. na hii ni ishu kubwa inayohusu mustakabali wa taifa na si suala la kukisia. ilikuweza kuweka ukweli hadharani inahitaji wote tuwe jasiri maana si ishu ndogo, lakini mtakapochanganya na majungu hata sisi tukiweka hapa data za kuaminika tutaonekana tunaleta majungu na fitna. naomba tuwe imara katika kuhakikisha data zote zinakaa vizuri na zinaamnika.

dmussa, kaka nimekuelewa, na kumradhi kama nimekuwa mkali kwako. wewe unatafuta data au siyo?
kinachogomba hapa ni umbea na fitna na kukosekana kwa dira.

turudi kwenye meremeta na tangold. naomba mjibu maswali haya, na kama mmekosa jibu mkiri kwamba huko mlikokuwa mnaenda siyo, alafu tuwekane sawa;

- meremeta iliundwa lini na nani? wizara? mtu?
- iliundwa kwa lengo gani?
- kampuni ya afrika kusini ilikuwa inapewa majukumu gani?
- kwa nini serikali ya tanzania iliingia ubia na kampuni hii na imeonekana kuwa imebarikiwa na wahusika wote? kumbukeni mradi huu si wa mwaka mmoja tu na haikuanza leo bali tokea zamani.
- kwa nini ubia ulisitishwa?
- pesa za meremeta ziko wapi? hiyo kampuni ya afrika kusini imetokomea wapi?

kwanza naomba majibu alafu tuendelee ili nione kama hapa jamboforums kuna wasomi au la. hoja hujibiwa kwa hoja na si kwa umbea au siyo?
 
Gus
Umeanza vyemanakumalizia vibaya kwa tusi .
Anyway wacha niseme haya .Mada hii ina mambo mengi na si meremeta pekee .Wakati mimi nikiw sina data za Sarungi na Meremeta nina data zake za mambo mengine .Sasa wewe msomi na mwenye data na tena mwana JF ukiona watu wanasema uongo you correct them kwa kunyanyambua maswali yako na kutumwagia ukweli ili kama pana umbea utaisha badala ya kuendelea kuleta mgogoro.Sema what you know na hili ndilo hasa jambo kuu la JF na wala si kusema uongo nk .
 
ee kaka lunyungu, kama unaona nimekutusi kumradhi!
mi mgeni hapa lakini sifa nilizopewa za jamboforums na yale niliyoyakuta yako tofauti. katika pitapita zangu nimeona na kusikia mengi nikajua ndipo mahala wanapokuja wale wenye data za kuaminika na kuzimwaga.
sasa labda sijakuelewa vizuri, kaka lunyungu, hii ishu ya meremeta ndo ishu yenyewe au ni za sarungi na mambo yake mengine? kama meremeta na umekiri kuwa hufahamu basi naomba nafasi tuendelee na mada husika.
kama nilivyosema data siwezi kuweka hovyo lazima nijue je salama na panaaminika?
lakini naomba nianze kwanza kukurudisha kwenye habari walizokuwa wameandika thisday. naomba niwapongeze sana waandishi wa gazeti hilo maana walianza vizuri na waliweka data zote muhimu.
trinnex pty ya afrika kusini hivi sasa ukiitafuta hutaipata. wakurugenzi wa makampuni ya trinnex ni wasauzi. kwa kupitia deep green utaweza kubaini ya kuwa kuna benki kubwa ya kimataifa iliyohusika yaani ile ya nedbank.
sasa mjiulize biashara kati ya tanzania na wasauzi itakuwa ni biashara gani? kufuatia sheria za money landering ya pesa haramu, benki kubwa inayoheshimika kama nedbank imewezaje kujihusisha? ni biashara gani inayofanywa ya kuuza bidhaa na kulipwa na dhahabu?
ndiyo maana nawaeleza sarungi hii ishu aliikuta na inahusu usalama wa taifa na hana uwezo wa kutoa taarifa. hizi ni dili za governemnt. je mnajua viktor bout ni nani? mnafahamu biashara yake?
naomba kwa sasa niishie hapa kwanza nitaendelea baadaye nione kama data mnazipata au la?
 
GUS
Kwanza naomba upunguze jazba kidogo dada yangu,
ngoja nijibu baadhi ya tuhuma zako kwangu,

KUHUSU VIP LOUNGE
Unaelekea uelewi hata utaratibu wakutumia VIP lounge, ninachosema ni kwamba prof alikua anakuja airport siyo kusafiri au kupokea wageni maana katika hali hiyo tu ndio anaweza kwenda VIP lounge ila angeweza kutumia vip lounge kama angetaka maana bongo wakubwa wanafanya wanavyotaka, yeye alikua anaishia kwenye vile viduka vya wahindi nje ya jengo la uwanja wala siyo duty free shops.

WAHUDUMU
Okay lets imagine kwamba alikua vip lounge na wahudumu wake, je unaelewa mambo aliyokua anayafanya haiwezekani atumie wahudumu ni lazima asonge front mwenyewe.

KAMA VIBAHASHA SIANGEPOKEA NYUMBANI?
We ushangai kwanini mkapa alianzisha kampuni yake ANBEM akiwa ikulu? this is just ushujaa wa kifisad.
 
Back
Top Bottom