Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tangu awamu ya sita ilipo ingia madarakani wafanyakazi tulishuhudia baadhi yao wakianza kulipwa malimbikizo yao ya muda mrefu Sana,lakini baada ya muda mfupi tena Ni kama zoezi hili limekwama tena...
1 Reactions
1 Replies
879 Views
Ni yule aliyekuwa Katibu Mkuu wa SADC.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Rais Samia: Jingine ni lile la asilimia kumi, Dodoma wamesema vizuri hapa, hongera mstahiki meya na mkuu wa mkoa. Wamesema vizuri kwamba wanajipanga sasa kwa ajili ya kutoa visenti vichache kwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ktk kufufua Shirika la Umeme tumeona wakiondolewa viongozi wababaishaji na sasa tunasubiri safu mpya yenye kutatua matatizo ya wateja. Ni ktk kipindi cha miaka mitatu nssf kumekua na huduma mbovu...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
TAARIFA KWA UMMA. Tumepata taarifa kupitia vyombo vya habari kuwa kikao cha Jeshi la Polisi na Vyama vya Siasa kilichoitishwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kimepangwa kufanyika tarehe 21...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na Wenzake watatu inaendelea tena leo , ambapo Shahidi wa tatu ambaye anajulikana kama Konstebo Msemwa ataendelea kutoa Ushahidi wake , Tukumbuke kwamba...
47 Reactions
334 Replies
44K Views
Wakuu bwana hawe nanyi: Kiukweli Rais Samia hangeruhusu mchakato wa katiba mpya ufanyike, kwa Hali tuliyopitia kipindi Cha Rais aliyepita, ilikuwa ni kutokana na madhaifu ya katiba iliyopo na...
1 Reactions
2 Replies
581 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ametangaza kuanza utoaji wa chanjo ya Uviko 19 nyumba kwa nyumba, kitanda kwa kitanda na katika nyumba za ibada kuazia kesho Jumamosi Septemba 25, 2021...
13 Reactions
104 Replies
8K Views
Shughuli za uwakili nchini Tanzania hufanywa kwa mujibu wa Sheria ya Mawakili (The Advocates Act) ambayo kimsingi, inatoa masharti, ikiwemo kuhudhuria shule ya sheria (Law School) na kisha...
9 Reactions
45 Replies
6K Views
Baadhi ya viongozi wa vijiji katika wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wameiomba Serikali kukamilisha miradi ya umeme iliyotelekezwa na REA Naye msemaji wa REA kanda ya kaskazini amesema miradi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari ndugu, Napenda kuongea na mkuruguzi wa Mwanza kupitia Uzi huu. Ndugu muheshimiwa mkurugezi napenda kukupa Rai juu ya kosa unalotaka kufanya kuhusu kuwaamisha wamachinga especial wa...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
KATIBU MKUU WA UVCCM AENDESHA HARAMBEE YA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI KATIKA KATA YA UPINZANI. Mh Rais Samia Suluhu Hassan na serikali yake ya awamu ya sita mbali na kuendelea kutoa elimu...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Karibu mdau wa nguvu tulijadili hili Ambapo sisi ni taifa huru lenye katiba zilizowekwa, tunayo haki ya kutetea na kuongelea uhuru wetu pia sisi kama wananchi tunayo misingi yetu itakayotukomboa...
0 Reactions
0 Replies
458 Views
IMF raises red flag over Tanzania’s bleak economic outlook SATURDAY SEPTEMBER 25 2021 A vendor sells green pepper on Mabibo Street, Dar es salaam. The country faces an urgent balance of payment...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Nakumbuka CUF iliwai kuwa cha kikuu cha upinzani na mara tu kilipopoteza wingi wa uwakilishi bungeni hawakujiita tena chama kikuu cha upinzani walikoma. Napata tabu kukielewa chama hiki cha...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Samia Suluhu Hassan amerejea nchini na kupokelewa na...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Kama tunataka nchi yetu iendeshwe kitaalamu, kwa weledi na muelekeo sahihi unaoleweka mawaziri wa wizara, wakurugenzi wa wizara, wakuu wa idara lazima wawe watu wa taaluma husika na uzoefu husika...
0 Reactions
1 Replies
729 Views
Mwana Taaluma Profesa Issa Shivji anashangazwa na mabadiliko haya kwa yale yaliyofundishwa zamani na sasa. Jee tumepotea njia? Kama tumepotea tunarudije njia kuu?
13 Reactions
60 Replies
9K Views
wakuu sana. hizi taarifa za treni zinazotumia njia ya TAZARA kuacha njia zimekuwa nyingi mno. nadhani kila mwezi kuna taarifa moja au mbili za treni kuacha njia ama upande wa Tanzania au ule wa...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Hivi sasa polisi wanalaumiwa Kila sehemu, Hivi sasa polisi wanadharaulika kika sehemu, Wanaonekana kwamba kumbe hata wao huwa hawafuati Sheria kwenye ukamataji,lakini wao humtaka raia atii Sheria...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom