chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 11,980
- 20,627
Huu ulaghai wa hali ya juu unaofanywa na Polepole, alikuwa anapinga katiba mpya enzi ya mwendazake, alitumia muda mwingi kukata viuno akicheza mabolingo huku akijirekodi katika camera, alishuhudia na akawa sehemu ya tawala ya hovyo kabisa katika historia ya nchi hii,alikuwa sehemu ya tawala katili ya kiuwaji isiyojali demokrasia wala haki. Eti leo anahubiri shule ya uongozi.
Anatembea na jina la Rais wake mfukoni akiwa hana imani na Samia, anatembea huku nakule akishawishi wana CCM wamkubali mtu wake kisa alifanya kazi na JPM, na HPP alikuwa sehemu ya walioshinikiza SSH asichukue mamlaka, Mwenzie wa Kemondo katulia,yeye bado anaipima mamlaka ya nyumba kubwa, mamlaka ijibu mapigo kwa ukali wote
Namshauri huyo anayejazwa upepo na HPP asijiingize mkenge,ataisoma namba