Amos Makalla katika harakati za kukomesha biashara ya ukahaba Dar es Salam

Molleli

Senior Member
Aug 29, 2020
178
160
Wakuu nimeona nipite na hii sababu naona kama viongozi wetu sometimes wanakua wamekosa kazi za kufanya na kuanza kuyasakama mambo ambayo yapo toka enzi na hata wao pia ni wateja wazuri wa ao watu wanao wahita makahaba.

Kwanza kabisa biashara ya ukahaba kwa jiji la Dar ni biashara ya Muda mrefu na wengi wamejaribu kuivunja bila mafanikio sababu hata ao wanaujiuza ni watanzania wenzetu waliokosa ajira katika nyanja mbali mbali na wengine pia wana Familia zinazowategemea Sasa binti anaona kwenye ukahaba kunalipa na Familia inapata mahitaji anaamua kujiuza kwa njia mbali mbali ilimradi apate pesa ya kujikimu katika maisha.

Mimi ningependa kumshauri mkuu wa mkoa wa dar angekomalia swala lingine lakini sio hili la kutaka kukomesha biashara ya ukahaba kwa kweli ni vigumu Sana Wana Dar es Salam wanapitia changamoto nyingi zinazohitaji nguvu zaidi kutoka serikalini kuzidi hata hii ya makahaba.

Asanteni Sana na muhimu kupata kura zenu wakuu.
 
Sijaelewa wewe unatetea biashara ya ukahaba au unaipinga biashara?

Unampinga mkuu wa mkoa au unapinga njia anayotumia kupinga biashara?

Huwezi kutumia njia inayooneka harangue kwa kujustify kwa matokeo mazuri ya kutunza familia

Wenyewe wanasema 'What is wrong is wrong regardless who does it"
 
Wanaojipanga maeneo hayo ni wale ambao hawana magrup ya whatsapp Na telegram pamoja na twitter akaunti au?
Maana siku hizi kuna mara BADOO,Hi5,Hitwe n.k sijui inakuaje hao wanaojipanga?
 
Back
Top Bottom