Yuko wapi mwanasiasa machachari Paul Makonda?

Napitia pitia teuzi za hivi karibuni.

Ndiposa nauliza yuko wapi yule mwanasiasa kijana machachari Paul Makonda aka Baba Keegan?

Mungu ni mwema wakati wote!
Makonda hakuwahi kuwa mwanasiasa bali mteuliwa tu wa rais. Hakuna pahala amepigana na siasa binafsi iwe za jimbo ama ndani ya chama.

Anyway kukujibu tu yuko Igoma anaendesha mambo yake na kujipiga piga kumalizia mjengo wake carpi point

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Napitia pitia teuzi za hivi karibuni.

Ndiposa nauliza yuko wapi yule mwanasiasa kijana machachari Paul Makonda aka Baba Keegan?

Mungu ni mwema wakati wote!
Zama za washamba wa madaraka zilishaisha!Mtu uko tayari kuua wenzako (Mike Pompeo) ili kumfurahisha binadamu ambaye pia Mwenyezi Mungu alikuwa na maamuzi juu yake(Alishamchukua)!
Makonda alikuwa na jeuri na kiburi cha kijinga sana wakati wa Magufuli! Huyu lazima ajifiche kwani Mwenyezi Mungu kamuumbua sana!
Kina January Makamba aliokuwa akiwatusi kupitia zwazwa Cyprian Musiba leo wamerudi kwenye game!
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema atukuzwe daima!
Napitia pitia teuzi za hivi karibuni.

Ndiposa nauliza yuko wapi yule mwanasiasa kijana machachari Paul Makonda aka Baba Keegan?

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Back
Top Bottom