Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Samia Suluhu Hassan amesema janga la COVID19 limeathiri ukuaji wa uchumi wa Tanzania kutoka 7% hadi 4.7%. Huku akitaja sekta ya utalii, usafiri na usafirishaji kuwa sekta zilizoathirika zaidi...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa mfano... Rais atapo tua nchini tokea huko alikoenda na Royal Tour. Wananchi tunatarajia maswali haya toka kwa vyombo vya habari... 1. Je, Mh. Rais unafikiri safari hii (Royal Tour) uloifanya...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Ni shauri wangu Kwanza linavuka bahari, ni ishara ya kuvuka awamu moja kwenda nyingine, pili in ishara ya upatanisho kati ya upande mmoja na mwingine, kisiasa, kiuchumi, kijamii, anapatanisha...
4 Reactions
48 Replies
4K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tuling'aa Sana kimataifa, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka...
94 Reactions
205 Replies
14K Views
Hii hotuba kwa kweli imegusia maswala ya msingi sana na ambayo marais wengine wameogopa kuyaongelea kwa kuwaogopa donor countries. Mojawapo ya hayo mambo ni kama yafuatayo: 1. Afrika inatakiwa...
8 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama tulivyosema kuna watu wanajaribu kumwaribia Raisbkwa kuweka hizi kesi za kijinga. Ubalozi wa German ndiyo Lissu alikimbilia baada ya kutaka kutekwa baada ya uchaguzi na walimpeleka mpaka...
35 Reactions
92 Replies
8K Views
Siku moja nilimsikia mheshimiwa sana waziri wangu wa Afya akisema watu wanajitokeza kwa wingi kudungwa kuliko walivyo tarajia, siku nyingine nikamsikia mheshimiwa sana Rais Samia Suluhu akisema...
15 Reactions
126 Replies
9K Views
Wanaukumbi. Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN. Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni...
11 Reactions
98 Replies
8K Views
Akichangia hoja kwenye sakata la kuwapanga wamachinga, Meya Songoro Mnyonge amedai kwamba wafanyabiashara elfu 45 wa Manispaa hiyo waliacha maduka yao na kugeuka wamachinga katika muda mfupi wa...
24 Reactions
67 Replies
8K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itaendelea kuhakikisha kunakuwepo Usawa wa Kijinsia licha ya vikwazo vinavyojitokeza‬ ‪‪Amesema hayo akishiriki Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi na...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Hali imebadilika mahakamani baada ya Kibatala kuomba Mashahidi wanne wasitajwe mahakamani kwa Usalama wao. Hali hii imepelekea Mawakili wa Jamhuri kuomba kesi iarishwe au la sivyo isikilizwe bila...
15 Reactions
142 Replies
15K Views
Kiukweli akina mama lishe, wakaanga chips, wauza mboga mboga, wauza supu za utumbo, wachoma vitumbua nk hawa siyo wamachinga bali ni wajasiliamali wadogo wanaotambuliwa na Ilani ya CCM na hata ile...
3 Reactions
4 Replies
842 Views
Leo Sept. 23, 2021 saa nane kamili mchana, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam itatoa uamuzi mdogo juu ya mapingamizi ya Serikali katika Kesi ya Kikatiba namba 21/2021 iliyofunguliwa na Mwenyekiti...
7 Reactions
76 Replies
11K Views
RAIS SAMIA MWANZO MZURI ANGA ZA KIMATAIFA Na Malya Ngumu Charles Ilisemwa huko zamani na wahenga na wahenguzi kwamba, “It’s not how you are, but what people thinks how you are that counts”. Kwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni ukweli usiopingika hali ya maisha ya watu yamebadilika na imezidi kuwa mbaya zaidi, hali ya uchumi imeporoka sana wala hakuna pa kupumulia, na ni kweli vitu vimepanda bei kuliko mwanzo na...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimekuwa nafuatili Sana kesi zilizofunguliwa Kisutu, Mahakama Kuu na Mahakama ya Mafisadi. Mara nyingi Mawakili wa serikali uongozwa na wakili ambaye utambulika Kama "Senior state attorney", kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Utashangaa viongozi waliopatikana kwa njia za kidemokrasia, wizi wa kura, mapinduzi na ving'ang'anizi madarakani eti wote wanajiita marais waliostahili kutumia kodi za mataifa yao kuhudhuria...
17 Reactions
38 Replies
3K Views
Najua mfumo tulionao umewaumiza Sana na kuwatupa nje ya keki ya taifa. Hivyo hawaumii tu Kama sisi raia wa kawaida Ila wao uumia Mara mbili. Shida wapinzani wanaamua Mambo kwa hasira na...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Dhana ya kughushi vyeti kama ilivyotumika kwenye zoezi la kuwaondoa watumishi ni kwamba; ama walifanya udanganyifu kwa kughushi vyeti n'a kunufaika navyo kwa kujipatia ajira au kupanda vyeo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Demokrasia siyo tu kufanya mikutano na maandamano kama Chadema wanabyoamini bali demokrasia ina maana pana. Kitendo cha Tundu Lisu kuruhusiwa kuja kugombea urais wa JMT akitokea nchini Ubelgiji...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom