Rais Samia Suluhu Hassan tafadhali tunaomba utuletee boss mpya TEMESA.

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,701
36,121
Habari!
Kwa unyenyekevu mkubwa Rais ninakuomba utuletee boss mpya TEMESA.
Hii taasisi ni mhimili muhimu sana wa serikali hii kwani ina majukumu mengi ikiwemo
- Kusimamia magari yote ya Serikali.
-Kukagua na kuyafanyia service magari yote ya serikali.
- Kutengeneza magari ya serikali.
-Kukagua mitambo yote ya serikali pamoja na kuifanyia service na matangazo.
-Kuendesha na kusimamia vivuko vyote.
-Kufanya consultancy ya miundombinu ya umeme kwenye majengo ya serikali pamoja na nyumba za viongozi.
-Kutengeneza umeme na kuweka viyoyozi kwenye majengo yote ya serikali.
N.k.
Kiongozi tuliyenaye Mhandisi Masele amezeeka, ni mchapa kazi mzuri ila umri nao ushamuacha. Hivyo anajikaza tu.
Tunataka damu mbichi, tena itoke nje ya ofisi.
Mheshimiwa Rais najua kuwa kwa mujibu wa sheria za uwakala jukumu la kumteua MTENDAJI MKUU (CHIEF EXECUTIVE ) ni la Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi ila wewe unaweza ukamteua yeyote kwa nafasi yoyote ile ndani ya serikali hii.
Uliwapelekea boss TANROADS , Nasi tunaomba boss mpya.
Ahsante
-
 
Ngoja tuone...

Ila hiyo Taasisi imepoa sana wakati shughuli zake ni nyeti sana...

Mpaka Kuna kipindi ikapewa mamlaka ya kukagua daladala...
 
huko hakuna mslahi ya maana kwani tukifanya hivyo gurage zetu zitakoswa pesa,, so idara yenu hatutaipa kipaumbele,, kwa sasa tunaangalia kwenye fedha yaani tanesco , TPDC, ujenzi na uchukuzi kwani huko tunapeleka matrillion na lazima tupate hera za uchaguzi na hera za kutusaidia tuanpoelekea kustaff
 
Habari!
Kwa unyenyekevu mkubwa Rais ninakuomba utuletee boss mpya TEMESA.
Hii taasisi ni mhimili muhimu sana wa serikali hii kwani ina majukumu mengi ikiwemo
- Kusimamia magari yote ya Serikali.
-Kukagua na kuyafanyia service magari yote ya serikali.
- Kutengeneza magari ya serikali.
-Kukagua mitambo yote ya serikali pamoja na kuifanyia service na matangazo.
-Kuendesha na kusimamia vivuko vyote.
-Kufanya consultancy ya miundombinu ya umeme kwenye majengo ya serikali pamoja na nyumba za viongozi.
-Kutengeneza umeme na kuweka viyoyozi kwenye majengo yote ya serikali.
N.k.
Kiongozi tuliyenaye Mhandisi Masele amezeeka, ni mchapa kazi mzuri ila umri nao ushamuacha. Hivyo anajikaza tu.
Tunataka damu mbichi, tena itoke nje ya ofisi.
Mheshimiwa Rais najua kuwa kwa mujibu wa sheria za uwakala jukumu la kumteua MTENDAJI MKUU (CHIEF EXECUTIVE ) ni la Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi ila wewe unaweza ukamteua yeyote kwa nafasi yoyote ile ndani ya serikali hii.
Uliwapelekea boss TANROADS , Nasi tunaomba boss mpya.
Ahsante
-
Hizo changamoto zenu nyingi huko TEMESA wala hazitokani na uzee wa Eng. Masele.
 
Back
Top Bottom