Watendaji wa TCRA na makampuni ya simu yanashirikiana na matapeli kutuibia wananchi?

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,487
2,344
TCRA walituambia baada ya usajiri wa alama za vidole utapeli wa tuma fedha kwenye namba hii utaisha kwani watu hao itakuwa rahisi kuwatambua.

Kitu za kushangaza hili suala bado linaendelea, TCRA na makampuni ya simu yanashindwa nini kuzifunga hizi line ikiwa ni pamoja na kuwakamata hawa jamaa, au kuna namna wanapokea watendaji wao wanapokea mgao kutoka kwao?

Waziri mwenye dhamana pls ingilia kati suala hili.​

Screenshot_20210926-073606.png
 
KAMPUNI YA SIMU YA HALOTEL TANZANIA IMEWEKA MINARA YAO KWENYE MAENEO YA SHULE NA TAASISI ZA SERIKALI HUKO TANZANIA KODI KWA MWAKA TSH 240,000.

TCRA WANALIJUA HILO ILA WANAPIGA KIMYA. Serikali ya Tanzania ina habari hiyo?

Pia minara mingine ya kampuni hiyo hiyo imesimikwa kwenye maeneo ya taasisi za serikali na hailipi kodi ya pango hata senti tano,TCRA inalijua hilo?
 
Bila shaka kuna mikataba mlisaini

Sasa kama mlisaini kimangungo mangungo kazi ipo hapo
 
Back
Top Bottom