Huu ndio utabiri wangu kuwa,Lissu akishinda uraisi na kutangazwa mshindi kwa mbinde au vinginevyo, nchi wahisani na wadau wengine wa maendeleo wataongeza misaada na mikopo yao kwa nchi yetu na...
Ludigija ni mzaliwa wa Chato, pale Chato ndio kwao na nduguye Leah Ludigija ni maarufu kwa biashara ya magodoro.
Rais na Waziri Mkuu wametoa agizo machinga wasibomolewe bila utaratibu, Mkuu huyu...
Kilicho tokea kwa wenzenu kinakuja kwenu hakuna atakaye jali
•umekopa shilingi ngapi
•una bidhaa nzuri kiasi gani
•bidhaa ulizo nazo mmiliki wake ni nani
•umedumu hapo kwa muda gani
•wala una...
Ndugu Watanzania
Dunia imeshangazwa, imekubali na kufurahishwa na uwezo mkubwa aliouonyesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani kupitia hotuba yake kwenye...
Hii nchi mbona tumekuwa watu wa ajabu sana? Kwanini waliopewa mamlaka ya kiuongozi wamekuwa wajinga kiasi hiki?
Hivi kweli hili nalo ni tukio la muhimu kiasi hicho? Rais kurejea nchini ni tukio...
Wanabodi, bila shaka tunafahamu kauli za mtangulizi wa Wizara ya Nishati kuhusu malipo ya gharama za kuunganishiwa umeme ya TZS 27,000.
Nafikiri tuliowengi tuliunga mkono tamko hilo kwa mantiki...
Kwa ufupi sana:
Kama nyie ndio wasimamizi wa jeshi letu la polisi:
Je:
1. Inaruhusiwa kwa muhusika wa uhalifu kuteswa ili akiri makosa?
Mumuvue nguo, Mumning'inize kama popo, mchukue hela zake...
Dodoma.
The World Bank’s Regional Vice President for Eastern and Southern Africa, Mr. Hafez Ghanem, will visit Tanzania next week: a few days after President Samia Suluhu Hassan discussed...
Ni kweli kwa sasa Wanawake wanaweza wao wenyewe bila kuwezeshwa kwa sababu wizara zote wanazoongoza so far zinafanya vizuri.
Mulamula yuko vizuri, Ndalichako anasonga mbele, Ummy anatuvusha na...
Hii ndio Halisi kwa sasa , huku Taarifa zikionyesha kwamba Wazungu wengi wanaosoma mabango hayo ambao wanafahamu kwamba Mh Mbowe ni tunu ya amani ya nchi WANASIKITISHWA SANA NA HALI YA UONEVU...
Wakuu Hii Ni Taarifa Ya Uteuzi Wa Bodi Ya NDC.
.
Wajumbe Wa Bodi Hyo Wametuliwa na Waziri Wa Viwanda Na Biashara Mwl. Prof. Kitila Mkumbo.
Weki Iendelee.
Wakurugenzi tumieni Utu kuwapanga Wamachinga
Wakurugenzi wa halmashauri nchini wametakiwa kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kuwapanga wamachinga kutekelezwa bila kutumia mabavu...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Tanzania ingependa Umoja wa Mataifa uwasaidie ili waweze kujenga yanayotakiwa na wananchi ikiwemo Elimu, Afya, Maji, Umeme na Pembejeo za Kilimo...
Walitunga sheria ya uhujumu uchumi kwa shangwe ikaja kuwaweka ndani Tena bila Haki yakusikilizwa wakaporwa fedha na kunyamazishwa kisiasa.
Wakatunga POTA wakiamini inalenga magaidi kumbe inaweza...
Leo napenda kuwauliza Wizara ya Maliasili ya Utalii;
1. Kumekuwa na kupungua Wanyama Mbuga za Mikumi na Saadani kwa kiwango cha kutisha! Leo hii ukienda Hifadhi ya Saadani unaweza tembea saa zima...
Ndugu wanajamvi mbona Kama siwaelewi vizuri Tanesco. 29 Aug nilinunua Luku wakakata hela ya tozo sh 2000 ambayo katika maelezo Yao inasema Ni kwa ajili ya mwezi wa July sh 1000 na August sh 1000...
Japokuwa ilikuwa na nachungu kwa watuhumiwa lakini kwa wafuataliaji wa mambo muhimu kama yale yalikuwa yapanua akili kiuelewa na yalikuwa yanatia raha.
Hasa mahojiano Mahakamani.
Nawakumbuka...
Miaka mitano yote akiwa madarakani tuliwakilishwa na mawaziri wa nje. Na hakuna mtanzania aliyeona labda tumepungukiwa kiuchumi. Zaidi ya kuona maendeleo kwenye sekta za afya, miundo mbinu na...
Namna ya kubadili Wajumbe kuwa watu wazuri
===
UJUMBE MUHIMU KWENDA KWA WATANZANIA.
Kubadili wajumbe kuwa watu wazuri kupitia uchaguzo 2022 na 2027
Kama ambavyo Yohana aliyaandikia Makanisa saba...
Kama taifa tukifikia pabaya sana, yalijitokeza makundi awamu ya 5 yanaongeza hivyo hovyo bila kujali utu wala heshima na utii kwa waliowazidi umri. Ilikua ni kutukana na kuwatisha wazee wa watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.