Leo ninaanza na hoja ya upinzani katika siasa Tanzania.
Sitaweza asilani kuzungumzia somo lote la historia ya upinzani wala kina cha ukombozi wa Afrika. Lakini katika kuhawilisha somo...
Kesi ya Mbowe inaendelea kuumbua watu na hasa jinsi tunavyopata proceedings sahihi na kwa wakati.
Tumeona jinsi maafisa polisi wanavyoumbuka kwenye maswali ya akina Kibatala na wenzake.
Hapo...
Mda mwingine unaeza kulaum kwanini Mungu kafanya hivi lakini ndio kazi yake haina makosa RIP Magufuli
Anyway nipo hapa naangalia eti mapokezi ya Rais yan kiukweli nimebaki naumia sana yaani...
NOTE:
å Nadhani hii ndiyo imefanya jamhuri kuanzisha fujo leo mahakamani ili tu kuzuia usikilizwaji wa kesi inayomkabili m/kiti wa CHADEMA (taifa) ndugu Freeman Mbowe ushindwe kuendelea...
å...
Je, IGP bado anamtafuta Kigogo2014 ?
Je, IGP bado anamtafuta Mange Kimambi?
Je IGP bado ana kesi na Manji?
Tunaamini Polisi ya Tanzania inapambana na wahalifu au inapambana na watu wenye mtizamo...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mara, imeshindwa kumpa dhamana Mfanyabiashara Peter Zakaria, kwa kuwa haina uwezo kusikiliza kesi za uhujumu uchumi.
Pia soma...
>Tarime, Mara: Mmiliki wa mabasi ya...
Mfanyabiashara maarufu mikoa ya Kanda ya Ziwa, Peter Zakaria aliyekuwa akisota mahabusu tangu Julai 5, 2018 ameachiwa kwa dhamana.
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Biswalo Mganga amethibitisha...
Muda mfupi baada ya mfanyabiashara Peter Zakaria kufikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka ya kujaribu kuua, Jeshi la Polisi limewasilisha na kupata kibali cha kwenda kufanya upekuzi nyumbani...
Mfanyabiashara maarufu na Mmiliki ya Mabasi ya Zakaria, Peter Zakaria amepandishwa kizimbani na kusomewa mashtaka mawili ya kujaribu kuua, amenyimwa dhamana hadi Julai 10 Mahakama itakapotoa...
RAIS SAMIA HAJAJIKWEZA, AMEWASHUKURU WATANZANIA
Na Mwandishi Wetu.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, wakati akiwasili nchini Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ametoa shukrani za dhati...
Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda siku ya Septemba 23, 2021 amezindua kifaa cha kisasa cha upimaji wa ardhi kiitwacho DGPS S86 RTK chenye uwezo wa kutembea Km 30...
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa anazindua Vituo vya Huduma Pamoja vya Shirika la Posta, Jijini Dar es Salaam.
Vidokezo:
1. Tutaanza na vituo 10 nchi nzima. Tumeanza na Dsm na Dodoma...
Mkuu wa jeshi la polisi ndio msimamzi mkuu wa shughuli za Jeshi hilo kwa kila namna, kuanzia utendaji, nidhamu na hata kufanya kazi kwa misingi ya haki.
Kila kona sasa hivi inaonekana wananchi...
Jana nilikuwepo Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi. Sikwenda pale kwa minajiri ya kuhudhuria kesi ya akina Mbowe. Nilikwenda kufuatilia mambo ya mwanangu anayesoma pale Law School of...
Kama sheria inaruhusu, na kama mzee huyu ana sifa na vigezo vinavyotakiwa, basi stashangaa kuona akiteuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi wa mojawapo ya taasisi zetu hapa nchini.
Lakini kwakuwa hata...
Napenda nitumie nukuu ya leo akihutubia katika mkutano wa hadhara huko Singida
........"Tumetatua changamoto ya madawati nchi nzima, sasa hivi hata watoto wa Tundu Lissu wanakalia madawati" JPM...
Huu ni ushauri wangu mfupi tu kwako IGP, huyu bwana atakuharibia kazi yako. Kama kweli inavyotajwa na Mashahidi alichukua shilingi 260,000 za mtuhumiwa Adamoo, ingawa huu ni ushahidi lakini tayari...
Tangu uchaguzi wa mwaka 2015 upite huu ni mwaka wa 6 sasa, wagombea wa nafasi ya urais walikuwa ni JP. Magufuli na E.Lowassa,
Swali langu je kama ingetokea Lowasa akashinda uchaguzi sera yake...
TAARIFA KWA UMMA.
Tumepata taarifa kupitia vyombo vya habari kuwa kikao cha Jeshi la Polisi na Vyama vya Siasa kilichoitishwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kimepangwa kufanyika tarehe 21...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.