Washitakiwa namba 1,2,3 katika kesi ya Uhujumu uchumi namba 16/2021 inayomkabili Freeman Mbowe wamekubali Kuwa walikuwa waajiriwa wa JWTZ na waliwahi kufanya Kazi kama makomando na baadae...
Nimesikiliza kwenye taarifa ya habari ya dw kuhusu mwanasiasa mkongwe wa siasa za upinzani nchini Uganda ambapo wamesema huenda wazo la kuunganisha vyama kumi vya kisiasa nchini uganda na kuunda...
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Wananchi wa Tarafa ya Mihambwe wachangamkia ujenzi kituo cha Afya cha Tarafa ya Mihambwe huku wakimshukuru sana Rais wa Jamahuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Samia...
MFUKO WA MAWASILIANO KWA WOTE KUFIKISHA HUDUMA ZA MAWASILIANO VIJIJINI.
Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa wote Bi Justina Mashiba ametoa taarifa fupi ya kazi za Mfuko wa Mawasiliano kwa...
" Tumeshirikiana na wenzetu wa Posta kupeleka vifaa vya TEHAMA kwa watoto walio Vijijini ili kuwawezesha kupata taarifa mbalimbali kama vile matokeo ya mitihani yao na kupata habari mbalimbali...
Amani iwe nanyi wadau,
Huko soko la dunia hapatoshi! Bei ya Mafuta na Gesi inazidi kupanda kwa Kiwango cha kutisha.
Haya yanatokea huku Ulaya na Marekani kukiwa na uhaba wa bidhaa hii adhimu...
NUKUU: BAADHI YA NUKUU ZA KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI CCM SHAKA HAMDU SHAKA-KAMPENI USHETU.
"Wananchi ninazo taarifa juu ya vitendo viovu vya kupambikiziwa kesi za kukamatwa na bangi vijana...
Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa wote Bi Justina Mashiba ametoa taarifa fupi ya kazi za Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote katika semina kwa watoa huduma za Mawasiliano.
Semina hiyo...
Hapo jana, Serikali ya Uingereza kupitia ubalozi wake hapa nchini ulieleza kuwa Tanzania ni miongoni mwa mataifa yaliyoondolewa katika orodha ya Mataifa hatari kwa maambukizi ya Corona ambapo...
Ibara ya 144(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya 1977 iliyo fanyiwa marejeo 2005 "CAG aweza to kuondolewa katika madaraka ya kazi yake kwa sababu ya kushindwa kutekeleza kazi zake au kwa sababu...
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Afisa Mipango wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale Bw.Omary Chingwile ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za ujenzi wa...
Chama cha Mapinduzi ni chama kilichoanzishwa katikati ya miaka ya sabini, viongozi walioanzisha chama hicho mpaka leo hawajafa japo wapo ambao miili yao ilizikwa lakini watoto na wajukuu wao bado...
Inanishangaza sana hii serikali ya sisim!
Ukienda Uganda,Congo,Zambia na Rwanda bei ya nishati hiyo IPO chini ukilinganisha na bei ya hapa nchini.
Nchi hizi nilizotaja mafuta yao yanapita hapa...
SHAKA: TUTEGE MASIKIO TAREHE 09 RAIS ANA JAMBO KWA WATANZANIA.
Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka amesema mpaka kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 Ilani ya Uchaguzi ya 2020/25...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa rai kwa Vijana kuchangamkia fursa za kiuchumi zilizopo kupitia sekta mbalimbali zikiwemo Kilimo, Maliasili, Utalii, Ujenzi, Uchukuzi, Mawasiliano, Nishati...
1. Hii serikali ni ya ajabu sana. Inasema uongo mchana kweupe.
2. Yaani kiongozi anatoka anasema tumepunguza tozo hii na ile ili kupunguza bei za nishati ya mafuta ya petrol, diesel na ya taa...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi Milioni 2 za Sinopharm kutoka Nchini China. Kwenye chanjo hiyo, mtu atapokea dozi mbili tofauti na Johnson &...
Waziri mkuu mh Majaliwa amegoma kufungua barabara yenye urefu wa km 1.5 Liwale mkoani Lindi kwa sababu haina taa.
Mh Majaliwa amesema ramani inaonesha barabara ikikamilika itakuwa na taa hivyo...
Wakuu guys Mh. Aweso anajitahidi sana, Japo tatizo la maji ni kubwa ila jinsi anavyokomaa huku na kule binafsi ananifurahisha sana.
Nimekuwa nikimfuatilia katika ukurasa wake FB, Leo yuko huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.