Mawazo yangu: Waziri wa Maji ndiye kiongozi anayehangaika sana awamu hii

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,484
15,026
Wakuu guys Mh. Aweso anajitahidi sana, Japo tatizo la maji ni kubwa ila jinsi anavyokomaa huku na kule binafsi ananifurahisha sana.

Nimekuwa nikimfuatilia katika ukurasa wake FB, Leo yuko huku kesho kule hatulii sehemu moja kuhakikisha angalau mambo ya maji yanapiga hatua.

Wote wangekuwa active hivi hii nchi ingepiga hatua Japo Kwa kuchechemea.
 
Sio yeye pekee hata naibu wake Yuko site mida mingi mnyonge mnyongeni haki yake mpeni...JPM Aliona mbali kumuweka huyu baba kwenye hii wizara.tumeona kazi za ruwasa wilayani huko na pia department ya water resources inafanya vzr Sana mkurugenzi wake Ni mtu mfuatiliaji sana...taasisi ya DDCA kuhamishiwa ruwasa nayo imezaa matunda Sana tulio site tunaona kwa kweli jinsi kazi zinavyochapwa...pongezi kwao maboss wangu hao bila kusahau katib mkuu na watumishi wote wa wizara ya maji
 
Waziri mwizi kama nini! Alipiga madili akiwa naibu waziri, sasa anajifanya mchapakazi sana! Tunazo taarifa za kudakishwa pesa na marafiki zake ndani ya wizara hadi sasa.
Siku zote tangu yuko naibu maisha yake ni site sio maneno.

Kuhusu tuhuma peleka kwa wahusika kamakweli. Ila binafsi natambua juhudi zake, maana kila kiongozi huwa anatuhuma sasa Hata kama unatuhuma isikuzuie kutenda.
 
Siku zote tangu yuko naibu maisha yake ni site sio maneno.

Kuhusu tuhuma please kwa wahusika kamakweli. Ila binafsi natambua juhudi zake, maana kila kiongozi huwa anatuhuma sasa Hata kama unatuhuma isikuzuie kutenda.
true yule dogo anapiga kazi bana acheni utani sasa utamfananisha na lile minyama ya uzembe sijui naibu la ujenzi ,kwanza hata kutembea haliwezi,jamaa utakuta mara yuko visimani mara anahangaika na mabomba sijui nini, hata naibu wake anapiga kazi tuache utani sema tatizo tu wenye chama chao wakiona mtu ana shine wanaanzaga nongwa kama hizi zako za kula rushwa
 
Kijana yuko vizuri. Na panga siku moja nikampongeze ofisini Kwake.

Hatuwezi kuwa tunalalamika tu bila kutambua juhudi za watu. Huo ni uchadema au uccm wa kijima kama sio kijinga
 
Wakuu guys Mh. Aweso anajitahidi sana, Japo tatizo la maji ni kubwa ila jinsi anavyokomaa huku na kule binafsi ananifurahisha sana.

Nimekuwa nikimfuatilia katika ukurasa wake FB, Leo yuko huku kesho kule hatulii sehemu moja kuhakikisha angalau mambo ya maji yanapiga hatua.

Wote wangekuwa active hivi hii nchi ingepiga hatua Japo Kwa kuchechemea.

Nimesikia Waziri wa maji ni MJOMBA wako, unampigia chapuo,🤣
 
Yeah ni kweli anahangaika sana badala ya kutumia muda mwingi kurekebisha sera za maji zilizopitwa na wakati.

Na mimi nasema hivi ahangaike tu kwa kuwa haina namna
 
Wakuu guys Mh. Aweso anajitahidi sana, Japo tatizo la maji ni kubwa ila jinsi anavyokomaa huku na kule binafsi ananifurahisha sana.

Nimekuwa nikimfuatilia katika ukurasa wake FB, Leo yuko huku kesho kule hatulii sehemu moja kuhakikisha angalau mambo ya maji yanapiga hatua.

Wote wangekuwa active hivi hii nchi ingepiga hatua Japo Kwa kuchechemea.
Majukumu yake ni makubwa na yanamtaka ahangaike nchi nzima.
 
Wakuu guys Mh. Aweso anajitahidi sana, Japo tatizo la maji ni kubwa ila jinsi anavyokomaa huku na kule binafsi ananifurahisha sana.

Nimekuwa nikimfuatilia katika ukurasa wake FB, Leo yuko huku kesho kule hatulii sehemu moja kuhakikisha angalau mambo ya maji yanapiga hatua.

Wote wangekuwa active hivi hii nchi ingepiga hatua Japo Kwa kuchechemea.
Labda mpaka tujifunze kuwa maji ya visima ni kubahatisha.Utakuta miradi inakuwa kuchimba visima 100 na vyote vinachimbwa na vya kutoa maji labada 30. Kwa mfano mkoa wa lindi hizo fedha za visima vya kubahatisha kila mwaka wachimbe mtaro au bomba toka mto rufiji. KILA MWAKA WATAONGEZA UREFU MPAKA WAFIKE MTWARA kwa hizo bajeti ya visma. Ushauri kama wa kutoa victoria kwenda tabora. Haya ya visima tutagombana na wahandisi bure wakati ukipima maji yakiwa ni hewa au machache huwezi kujua mpaka uchimbe
 
Back
Top Bottom