Waziri mkuu mh Majaliwa amegoma kufungua barabara yenye urefu wa km 1.5 Liwale mkoani Lindi kwa sababu haina taa.
Mh Majaliwa amesema ramani inaonesha barabara ikikamilika itakuwa na taa hivyo...
Wakuu guys Mh. Aweso anajitahidi sana, Japo tatizo la maji ni kubwa ila jinsi anavyokomaa huku na kule binafsi ananifurahisha sana.
Nimekuwa nikimfuatilia katika ukurasa wake FB, Leo yuko huku...
Msemaji mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa ametoa wito kwa wananchi wote kuwa watulivu wakati serikali inawasiliana na makampuni ya WhatsApp, Facebook na Instagram kuhusu changamoto ya kukosekana...
Kumbuka.
"Man without God can not, and God without man will not"
"Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe"
Kama kuna nyakati Mungu alishawahi kuzungumuza na watanzania kwa namna isiyoyakawaida...
Tanzania ni miongoni mwa mataifa yaliyoondolewa katika orodha ya Mataifa hatari kwa maambukizi ya Corona. Serikali imesema orodha hiyo imepungua kutoka Nchi 54 hadi 7
Waziri wa Usafirishaji...
KATIBU MKUU UMOJA WA POSTA AFRIKA (PAPU) AWASILI JIJINI DODOMA
Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU),Bwana Sifundo Chief Moyo amewasili jijini Dodoma akiambatana na msaidizi wake Bi Jessica...
Pole sana Professa Assad.
Mimi binafsi nilisikitika sana kwa uonevu uliofanyiwa kwa kustaafishwa bado ukiwa hujatimiza umri wako wa kustaafu. Ulisimamia ukweli, ulikuwa mwadilifu na mkweli kwa...
Taarifa zinaeleza kwamba Amesomewa mashitaka mawili ya Uchochezi (Kuchapisha taarifa za uongo na kuzisambaza kwenye mtandao wa Yu Tube ) , huku dhamana ikiwa wazi na amedhaminiwa .
Hiki chama ni kundi tu la watu wanaotaka madaraka. Ukiangalia ugomvi wao wote na dola, kelele zao zote karibu asilimia 90 vinahusu wao kuingia madarakani.
Huwezi kuta CHADEMA wanaingia matatani...
Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Rais Samia ametoa Sh700 milioni kwa ajili ya ujenzi wa skimu ya Usense na kuboresha uzalishaji wa zao la mpunga linalolimwa katika skimu hiyo iliyopo...
Kuna wakati Nape Nnauye akiwa Katibu wa uenezi wa CCM aliwahi kutoa siri kwa kusema Katibu mkuu wa Chadema wakati ule Dr Slaa alikuwa bado anamiliki kadi ya CCM na yeye Nape akamlipia Ada ya...
Chama cha Mapinduzi chini uongozi wa Rais Samia kitaendelea kusimamia demokrasia ya kweli na kwa vitendo, tuko tayari kupokea matokeo yoyote ya uchaguzi katika jimbo la Ushetu Kahama, Konde Pemba...
Nitoe pongezi za dhati kabisa kwa mamlaka ya mapato kwa kufanikiwa kukusanya kiasi hicho cha fedha ktk muda huo maoni yangu. Pamoja na mafanikio hayo lkn bado tra inauwezo wa kukusanya zaidi km...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambaye kwa sasa ni mwanasiasa enzi zetu alikuwa ni kimbilio la vijana waliopenda kuijua dunia kupitia muziki.
Freeman Mbowe ndiye aliyemuingiza bungeni...
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Pamoja na yote lakini Edward Lowassa alijitahidi kuipambania CHADEMA kwenye uchguzi mkuu wa 2015 ingawaje alishindwa kuipigania baada ya uchaguzi kupita. Lakini...
The question of dual citizenship remains a thorny subject in Tanzania, with the official stand remaining that it is not allowed in the country.
During an exclusive interview with Mwananchi...
"POSTAL CODE" NI SULUHISHO LA UTOAJI HUDUMA KWA WANANCHI
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imefanya semina kwa watoa huduma za Posta leo oktoba 7, Jijini Dodoma katika kuelekea maadhimisho...
CCM ikiwa na bahati ya kukuza na kutumia magwiji ya mikakati ya ushindi wa kisiasa hali hiyo imekuwa kinyume kwa vyama vya upinzani ambavyo havina hazina hiyo na matokeo yake kujiua vyenyewe...
DC MWENDA AAGIZA WALIMU WANAODAI FEDHA ZA UHAMISHO NA MADAI MBALIMBALI KULIPWA STAHIKI ZAO.
Na Mwandishi wetu:
Mkuu wa wilaya ya Iramba, Mhe. Suleiman Yusuph Mwenda amewaagiza maafisa Elimu...
CCM Ina Wanachama Zaidi Ya Millions 9 Lakini Bado Kwenye Uchaguzi Wanaiba Kura; Hii Inaniambia Na Kunipa Maana Ya Kwamba Mioyoni Mwa Hao Wanachama Huenda Wapo Nao Physically But Mentally Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.