nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,929
Inanishangaza sana hii serikali ya sisim!
Ukienda Uganda,Congo,Zambia na Rwanda bei ya nishati hiyo IPO chini ukilinganisha na bei ya hapa nchini.
Nchi hizi nilizotaja mafuta yao yanapita hapa kwenye bandari yetu wanayalipia ushuru na gharama zingine.
Lakani sisi bandari ni yetu kama haitoshi yakifika hapa hakuna gharama zingine za kuyasafirisha.
Serikali ya ccm ni jini subiani linalonyonya damu ya watanzania kwa kufanyia ugumu was maisha.
Sasa kwenye vyombo vya usafirisha,mabasi,malori,bodaboda na vyombo vingine kila serikali ikipandisha bei ya mafuta nanyi iungeni mkono kwa kupandisha gharama za usafirishaji.
1.Ili mpate japo faida kidogo
2. Ccm itachukiwa na kuondolewa2025 kwakuwa maisha yatapanda
3. Kwakufanya hivyo watanzania watarudiwa na akili ambazo ccm imezipora.
Hii ni sirsiraha mojawapo ccm itaondoka