Mtu anaejiamini anamfukuza mwizi kimyakimya bila kupiga kelele, hata wanyama wanaojiamini habweki sana wakiona adui yao.
Kuna wakati Watanzania walitaka kuaminishwa kuwa makelele mengi hadharani...
Imefikia wakati muafaka kwa serikali kutunga sheria maalum itakayozuia uvaaji wa mavazi na vitu vyovyote vile ambavyo vinaashiria udini katika taasisi pamoja na ofisi zote za serikali.
Hiii...
Wanabodi,
Ni jambo la kawaida sana kwa wana CHADEMA "Kukiuka" utaratibu ulipo kwa kufanya shughuli mbalimbali za siasa. Mara nyingi huwa wanalalamika sana na kusema kwamba wana haki ya kufanya...
Ukurasa wa 218 na 219 wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977, unataja Mambo ya Muungano ambayo ni:-.
01. Katiba ya Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Muungano
02. Mambo ya nje
03...
Walimu wenzangu, tujipongeze kwa kuelimisha Taifa leo tunaposherehekea Siku ya Walimu.
Ndugu zangu, tuko na madonda mengi, mengi yakihusiana na Serikali yetu. Nani hajui kuhusu madeni tunayodai...
Hii kamata kamata ya viongozi wa upinzani nchini inasaidiaje kuondoa umaskini? Je wanapopelekwa mahabusu wanatumika katika kufanya uzalishaji au wanakaa tu wakisubiri wapate dhamana au wahukumiwe...
KASSIM MAJALIWA: SERIKALI IMEDHAMIRIA KUTEKELEZA DHANA YA UCHUMI JUMUISHI KWA VITENDO
WAZIRI MKUU Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia...
Kwenu Chama cha Mapinduzi.
Kumekuwa na malalamiko mengi dhidi ya wafuasi wenu:
Pichani kama hao ni wafuasi wenu na hawafanyi hivyo kwa ridhaa zenu, hamdhani kuwa ni wakati wa ku jitafakari...
Mnyonge anachangia Tsh ngapi kwenye fedha za Taifa ambayo huwa anatetewa nayo sana na wale wanaojiita wazalendo ambao mwenye fedha kwao ni fisadi?
Ukiachana na misaada:
Kodi imekuwa ikilipwa na...
RAIS SAMIA APONGEZA KUANZISHWA KWA KITUO JUMUISHI MAHUSUSI KWA KUSHUGULUKIA MASHAURI YA KIFAMILIA
Na Mwandishi Wetu
06/10/2021
🇹🇿🇹🇿
Mhe Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pongezi hizo leo Jijini...
Ni hali ya kawaida kumantain status kwenye siasa ya kimataifa kuwa taifa lenu linazingatia misingi ya vyama vingi ni lazima chama tawala kiwe na vyama kinavyovilea kama vyama vya upinzani. Hii...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema pamoja na ujenzi miundombinu ya utoaji Haki, mafanikio yanayotarajiwa hayawezi kupatikana endapo wadau wa mfumo huo hawatofanya kazi kwa kuzingatia Sheria...
Taarifa ya EWURA iliyopandisha bei ya mafuta kwa kiasi cha Shilingi 12 kwa lita eti inatufahamisha kuwa kuna punguzo la tozo katika bidhaa za mafuta!
Ninajiuliza sasa kama kweli tozo...
Wananchi wa Kijiji Cha Kilombero kata ya Chambarai wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara wametishia kuandamana Kwa mkuu wa wilaya hiyo kupinga kusimamishwa uongozi Kwa mwenyekiti wao Nguti Kirusu...
Mkapa`s memo that cost $2.5m
2009-04-19 14:01:15
By Staff Writer
The controversial decision taken by Benjamin Mkapa`s office to revoke a multibillion-shillings hotel tender has cost...
itabidi upangue wizara nyingi...siyo maliasili na utalii pekee ili kurudisha crebility yako kwa Watanzania.
JK akasirika
2007-11-19 17:18:18
Na Mwandishi Wetu, Jijini
Kuna habari kuwa...
Nimekua nikijizuia sana kutoa maoni kuhusu Kitendo Cha Prof.Lipumba kuondoka ndani ya CUF kwa sababu alizozitoa na yote aliyoendelea kusema na kutenda hadi kufikia siku za jana .Hii ni kwa sababu...
Dk. Dorothy Gwajima Waziri wa Afya amesema "Nizungmzie Chanjo ya UVIKO 19 ambapo mpaka sasa jumla ya wananchi 638,000 wameshapatiwa Chanjo ya Johnson-Johnson na Ijumaa wiki hii tunapokea Chanjo...
Nimekuwa naipinga sana CHADEMA kwa sababu ya uCCM wangu.
Lakini kwa hizi pilika zinazofanywa na serikali kukandamiza wapinzani kwa sababu ya kulinda uozo wetu zinanipa mashaka kuwa CCM ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.