Haikande Hichilema rais kipenzi cha watu wa Zambia akiwa njiani alisimama ghafla kusemezana na wapiga kura wake kwa bashasha:
Hakuna chopper juu, hakuna makomandoo wala wasiojulikana kumsuka...
Huyu bwana alipokuwa mfalme wa jijini kila mtu alilia kilio chake hasa matajiri wa mjini, tulisikia kuna waliolazimishwa kutoa sehemu ya mali zao ili waendelee ku-survive, kuna waliobishana naye...
Nimeshangazwa sana kwa kitendo ulichofanya jana mkoani Arusha kuugeuza mkutano wa hadhara wa Rais wa JMT kuwa mkutano wa kisiasa wa CCM.
Ninakukumbusha kwamba gharama zilizotumika jana ni kodi...
Tumemsikia Rais Samia akisema kwa lugha ya kujihami kuwa machinga wapangwe
Katumia lugha ya wapangwe badala ya waondolewe sababu anaogopa, anaogopa kuwa hawana mbadala wa sera ya kupunguza watu...
Wafanyabiashara wasiofuata sheria za nchi/jiji wadhibitiwe kwa CCTV baada ya Agizo la kuwaondoa kutolewa. Hakuna haja ya kutumia nguvu kazi kubwa kukimbizana daily. CCTV zisaidie kukusanya ushahid...
Nilimsikia Rais Samia akisema katika ujenzi unaofanyika watumie wataalamu na wakandarasi wazalendo. Haya ni maamuzi ya kizalendo sana na ya kupongeza sana.
Hizo ndizo njia pekee za kutengeneza...
Habari wanaJF,
Leo kuna jambo ambalo nimeona nilizungumzie. Wengi wetu nadhani tunamjua Ally Bananga, alikuwa diwani wa sombetini huko Arusha na pia kwenye uchaguzi wa mwaka huu alikuwa ni mmoja...
Demokrasia kustawi na kuwa imara inahitaji mazingira wezeshi nayo ni mambo mawili makubwa, ambayo ni kiwango kidogo cha umaskini/njaa na uwepo wa raia wengi wenye kiwango kizuri cha elimu...
Diwani wa Kata ya Ngarenaro kwa tiketi ya CHADEMA, Isaya Doita amemtuhumu Godbless Lema kuwa hajui kazi na majukumu yake kama kiongozi wa juu wa CHADEMA na pia kama Mbunge.
Isaya Doita ametoa...
Leo ni Kumbukumbu ya Kufa ( Kututoka ) Kwake cha Kushangaza badala ya Mtu kwenda kumuweka Shada Kaburini Kwake anawekewa Shada Mtu mwingine tena aliyekufa mwaka huu.
Naona taratibu sasa mnataka...
Moja ya fly-over mwonekano wake itakavyokuwa baada ya kukamilika
Baadhi ya taswira za fly-over zinazotazamiwa kujengwa Dar
Baadjo ya taswiras ambazo ni kivutio cha jiji la Dar...
Diwani wa Kata ya Sombetini Katika Jiji la Arusha kwa tiketi ya CHADEMA, Ally Bananga amejitokeza kwenye chombo cha habari na kudai Godbless Lema na kundi lake waache mambo ya kijinga ya kumpangia...
Wakuu nawasalimu,
Naushauri uongozi wa CHADEMA wampe kazi ya usemaji wa chama taifa ndugu Binamu Bananga, eneo hili ni muhimu kujibu propaganda na kutengeneza propaganda za kisiasa. Kitengo hiki...
Habari,
Mimi ni miongoni mwa watu wachache tuliokuwa tukiuchukia uongozi wa Magufuli.
Matendo maovu na viburi kutoka kwa wateule wa Magufuli akiwemo Sabaya na Makonda ndivyo vilichochea zaidi...
Kwa mujibu wa Mkurugenzi mkuu wa NSSF Prof.Godius Kahyarara NSSF itawekeza Bilioni 34 kwa viwanda vya NMC vilivyopo Kyela,Iringa,Dodoma na Mwanza.
Haya yalizungumzwa na Mkurugenzi huyo Mbele ya...
Mtu ambae ana mawazo mgando anaweza kuuliza huyu jamaa labda hana akili timamu! Amejua vipi akili za wanaChato?
Kwa ufupi nimekaa Chato kama wiki nzima ili nishuhudie tukio la kuzimwa mwenge...
Kwa mfululizo mzima wa kesi ya Sabaya imekuwa ikitajwa sabaya na wenzake watatu. Je, hao wenzake watatu ni akina nani? Na haiwezekani kutajwa majina yao? Naulizia tu.
Mfano:
Sabaya na wenzake...
USA RIVER, ARUSHA: Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Wananchi kutoacha kuwasema Viongozi ambao hawawajibiki akisisitiza, "Semeni na tuleteeni kwasababu tunawatuma wawatumikie wananchi"...