Rais Samia, tafadhali usitumie kodi zetu kwa ajili ya CCM

Bobby

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
2,182
1,892
Nimeshangazwa sana kwa kitendo ulichofanya jana mkoani Arusha kuugeuza mkutano wa hadhara wa Rais wa JMT kuwa mkutano wa kisiasa wa CCM.

Ninakukumbusha kwamba gharama zilizotumika jana ni kodi zinazotolewa na Watanzania wote na yamkini waliokuwepo uwanjani ni watanzania wa vyama vyote na wasiokuwa na vyama waliokuja kumsikiliza Rais wao.

Kuugeuza mkutano ule kuwa ni wa CCM ni kinyume kabisa na haupaswi kurudia tena kwani ni kuisigina katiba yetu waziwazi jambo ambalo halipaswi kurudiwa.

Ikumbukwe huko nyuma mwendazake aliwahi kufanya hivyo mara kadhaa hapo hapo jijini Arusha.

Hata hivyo Mzee Dialo juzi ametueleza ni kwanini hayo yalikuwa yanafanyika hivyo.

Sina hakika kama una nia ya kuwekwa kwenye fungu hilo.

Ahsante.
 
Ninakukumbusha kwamba gharama zilizotumika jana ni kodi zinazotolewa na watanzania wote na yamkini waliokuwepo uwanjani ni watanzania wa vyama vyote na wasiokuwa na vyama waliokuja kumsikiliza Rais wao.

Kuugeuza mkutano ule kuwa ni wa CCM ni kinyume kbs na haupaswi kurudia tena kwani ni kuisigina katiba yetu waziwazi jambo ambalo halipaswi kurudiwa.

Ikumbukwe huko nyuma mwendazake aliwahi kufanya hivyo mara kadhaa hapo hapo jijini Arusha.

Hata hivyo Mzee Dialo juzi ametueleza ni kwanini hayo yalikuwa yanafanyika hivyo.

Sina hakika kama una nia ya kuwekwa kwenye fungu hilo.

Ahsante.
Pesa zote ni zake mama, za serikali kamuulize mbunge wako, CCM wanapoikataa katiba muwaelewe.
Samia ni Rais wa CCM ndiyo sababu alishangaa kuona wananchi wengi uwanjani akidhani wana Arusha hawatakwenda kumsikilizacRais wa CCM.
 
Nimeshangazwa sana kwa kitendo ulichofanya jana mkoani Arusha kuugeuza mkutano wa hadhara wa Rais wa JMT kuwa mkutano wa kisiasa wa CCM.

Ninakukumbusha kwamba gharama zilizotumika jana ni kodi zinazotolewa na Watanzania wote na yamkini waliokuwepo uwanjani ni watanzania wa vyama vyote na wasiokuwa na vyama waliokuja kumsikiliza Rais wao.

Kuugeuza mkutano ule kuwa ni wa CCM ni kinyume kabisa na haupaswi kurudia tena kwani ni kuisigina katiba yetu waziwazi jambo ambalo halipaswi kurudiwa.

Ikumbukwe huko nyuma mwendazake aliwahi kufanya hivyo mara kadhaa hapo hapo jijini Arusha.

Hata hivyo Mzee Dialo juzi ametueleza ni kwanini hayo yalikuwa yanafanyika hivyo.

Sina hakika kama una nia ya kuwekwa kwenye fungu hilo.

Ahsante.
Huyu bibi ni mbovu kupita kiasi yaani hajui hata anafanya nini?
 
Kampeni 2025 screen chengachenga tozotozo
 
Back
Top Bottom