Uchaguzi 2020 Kumekucha Arusha Mjini: Kura za maoni za ubunge moto wawaka, Lema aibuka kidedea dhidi ya Bananga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,237
Mkutano maalumu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kwa ajili ya kumpat ( 335 X 640 ).jpg


- Kaskazini ( 581 X 640 ).jpg

Mwitikio si haba kama mnavyojionea wenyewe .

UPDATES:
Mshindi kura za Maoni Jimbo la Arusha Mjini ( 667 X 640 ).jpg
 
Aisee nampenda Lema.. ila ikipendeza amuachie Binamu Bananga

Kama mkazi niliyozaliwa Arusha, napenda kuona kuna mabadiliko fulani ya kuachiana vijiti, mimi sio muumini wa 'umimi', nadhani ni wakati Lema akamuachia Bananga, Lema apumzike tu kama Mnyika.

Mchuano wa Binamu Bananga (CHADEMA) na Mrisho Gambo (CCM) utatupatia watu bora sana kwa Arusha maana wote nimewapima kwa mizani yangu, ni viongozi wanaofaa, wana mitizamo fulani ya kimaendeleo na kupiga hatua.

Arusha msifanye makosa CHADEMA na CCM ni either Bananga au Mrisho Gambo
 
Back
Top Bottom