Mark My Words: Serikali hii haina ujasiri wa kuhamisha machinga barabarani, inawaogopa sana

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,961
Tumemsikia Rais Samia akisema kwa lugha ya kujihami kuwa machinga wapangwe

Katumia lugha ya wapangwe badala ya waondolewe sababu anaogopa, anaogopa kuwa hawana mbadala wa sera ya kupunguza watu wasiwe machinga na pia aliyewaweka ni Magufuli ambaye naye alikuwa sehemu ya utawala wake ila akafeli kumshauri kuruhusu machinga ku operate freely

Pia Serikali inaogopa kwa kuwa haina sera za maana za kushawishi watu wala kujitetea kwa lolote kuhusu matatizo ya ajira na mengineyo na sana sana ipo madarakani kwa mabavu na ulaghai

So haitathubutu kwa kuwa itawapandisha hasira wananchi hawa, maana haina excuse yoyote ya kuwaambia na inahisi wataleta machafuko na kuwasogeza wananchi hao karibu na upinzani ambao inajaribu kila njia kuwazama

Tumesikia mbunge mmoja akithibitisha haya kwa kuishauri Serikali kuwa ikiwaondoa machinga watakuwa wanawaunga mkono upinzani na hivyo kuleta tishio kwa CCM

So CCM lazima iwaache machinga mtaani ili kuilinda, maana ikiwatoa haina cha kuwaeleza, itakuwa very unpopular

Mark my Thread..
 
Hivi hata ukiwahamisha unawapeleka wapi?

Poor management and leadership ya CCM kwa miaka 60 ndio imepelekea yote haya.

Hawa machinga unawatoa mjini uwapeleke wapi, hakuna maeneo ya wazi, yote ccm iliuza na kujigawia, mji hauna open space. Hii yote ni uongozi na utawala wa hovyo wa ccm.

Kwa mfano, unawatoa kariakoo unawapeleka wapi hapa mjini?

Mimi ningeunga mkono waondolewe kama kungekua na maeneo maalum ya wazi yametengwa kwa ajili yao, hakuna, hakuna kabisa.

Kwa hiyo tuwaache wauze wanapotaka maana haya ccm imeyataka yenyewe.
 
Maccm hawategemei kura za Wamachinga kushinda uchaguzi katika jimbo lolote lile nchini. Maccm WANAPORA chaguzi kupitia njia HARAMU, ila wanaogopa hawa Wamachinga wakiamua kuingia mtaani na kuanzisha vurugu katika mikoa mbali mbali dhidi ya ofisi za maccm na Serikali magari ya maccm na Serikali na Wananchi wengine kuungana nao kwa sababu Watanzania wengi tunayachukia maccm basi nchi itawaka moto.

Tumemsikia Rais Samia akisema kwa lugha ya kujihami kuwa machinga wapangwe
Katumia lugha ya wapangwe badala ya waondolewe sababu anaogopa, anaogopa kuwa hawana mbadala wa sera ya kupunguza watu wasiwe machinga na pia aliyewaweka ni Magufuli ambaye naye alikuwa sehemu ya utawala wake ila akafeli kumshauri kuruhusu machinga ku operate freely

Pia Serikali inaogopa kwa kuwa haina sera za maana za kushawishi watu wala kujitetea kwa lolote kuhusu matatizo ya ajira na mengineyo na sana sana ipo madarakani kwa mabavu na ulaghai

So haitathubutu kwa kuwa itawapandisha hasira wananchi hawa, maana haina excuse yoyote ya kuwaambia na inahisi wataleta machafuko na kuwasogeza wananchi hao karibu na upinzani ambao inajaribu kila njia kuwazama

Tumesikia mbunge mmoja akithibitisha haya kwa kuishauri Serikali kuwa ikiwaondoa machinga watakuwa wanawaunga mkono upinzani na hivyo kuleta tishio kwa CCM

So CCM lazima iwaache machinga mtaani ili kuilinda, maana ikiwatoa haina cha kuwaeleza, itakuwa very unpopular

Mark my Thread..
 
Haiwezekani kuhamisha kundi la watu ambao idadi yao inazidi kuongezeka kila siku, graduates nao wengi wao ni machinga siku hizi, wanamaliza vyuoni kila mwaka, wengine wanatoka vijijini kuja mijini kila siku; hakuna pakuwapeleka hawa watu, dawa ni kuangalia namna nzuri ya kuwafanya wafanye shughuli zao bila kuathiri watu wengine (wapita njia).
 
Hivi hata ukiwahamisha unawapeleka wapi?

Poor management and leadership ya CCM kwa miaka 60 ndio imepelekea yote haya.

Hawa machinga unawatoa mjini uwapeleke wapi, hakuna maeneo ya wazi, yote ccm iliuza na kujigawia, mji hauna open space. Hii yote ni uongozi na utawala wa hovyo wa ccm.

Kwa mfano, unawatoa kariakoo unawapeleka wapi hapa mjini?

Mimi ningeunga mkono waondolewe kama kungekua na maeneo maalum ya wazi yametengwa kwa ajili yao, hakuna, hakuna kabisa.

Kwa hiyo tuwaache wauze wanapotaka maana haya ccm imeyataka yenyewe.
Mimi pia najiuliza wanawapeleka wapi
 
Kwani CCM inategemea kura za wamachinga kushinda uchaguzi? Usijidanganye hao wachuuzi wanaweza kuhamishwa na CCM ikajitangaza kushinda kwa asilimia miamoja 100% na hakuna kima yeyote ataongea. Hii nchi bado tuna safari ndefu.
Mkuu, hawa watu hawatahamishwa..wanaogopa ni kundi kubwa sana na ikitokea wamechochewa kidogo na mtu basi itakiwa hatihati

Acha muda uwe hakimu
 
Tumemsikia Rais Samia akisema kwa lugha ya kujihami kuwa machinga wapangwe

Katumia lugha ya wapangwe badala ya waondolewe sababu anaogopa, anaogopa kuwa hawana mbadala wa sera ya kupunguza watu wasiwe machinga na pia aliyewaweka ni Magufuli ambaye naye alikuwa sehemu ya utawala wake ila akafeli kumshauri kuruhusu machinga ku operate freely

Pia Serikali inaogopa kwa kuwa haina sera za maana za kushawishi watu wala kujitetea kwa lolote kuhusu matatizo ya ajira na mengineyo na sana sana ipo madarakani kwa mabavu na ulaghai

So haitathubutu kwa kuwa itawapandisha hasira wananchi hawa, maana haina excuse yoyote ya kuwaambia na inahisi wataleta machafuko na kuwasogeza wananchi hao karibu na upinzani ambao inajaribu kila njia kuwazama

Tumesikia mbunge mmoja akithibitisha haya kwa kuishauri Serikali kuwa ikiwaondoa machinga watakuwa wanawaunga mkono upinzani na hivyo kuleta tishio kwa CCM

So CCM lazima iwaache machinga mtaani ili kuilinda, maana ikiwatoa haina cha kuwaeleza, itakuwa very unpopular

Mark my Thread..
Kwani ccm inashinda kwa kura za wamachinga?? Acha uongo
 
Haiwezekani kuhamisha kundi la watu ambao idadi yao inazidi kuongezeka kila siku, graduates nao wengi wao ni machinga siku hizi, wanamaliza vyuoni kila mwaka, wengine nao wanatoka vijijini kuja mijini kila siku; hakuna pakuwapeleka hawa watu, dawa ni kuangalia namna nzuri ya kuwafanya wafanye shughuli zao bila kuathiri watu wengine (wapita njia).
Hakuna machinga mwenye degree auze Machungwa kwenye mtaro wa maji taka. Hayupo acheni kujipa mambo yasiokuwepo
 
Haiwezekani kuhamisha kundi la watu ambao idadi yao inazidi kuongezeka kila siku, graduates nao wengi wao ni machinga siku hizi, wanamaliza vyuoni kila mwaka, wengine nao wanatoka vijijini kuja mijini kila siku; hakuna pakuwapeleka hawa watu, dawa ni kuangalia namna nzuri ya kuwafanya wafanye shughuli zao bila kuathiri watu wengine (wapita njia).
Ni mtihani mkubwa sana
 
Kwani ccm inashinda kwa kura za wamachinga?? Acha uongo
Hapana, lakini machinga ni muhimu kwa stability yao sababu wakikasirika ni kama hawana cha kupoteza, sasa ku deal na mtu ambaye hana cha kupoteza ni hatari kuliko ku deal na mfanyabiashara mkubwa au mfanyakazi
 
Kauli ya kusema wapangwe ni kujihami, na kiongozi anayejihami asiefanya bold decisions si kiongozi mzuri, wapangwe wamekua nyanya? Lol si watu wazima wale hawajui huu ni mtaro nisiweke biashara hapa??,, I agree hawatafanywa lolote kama Rais haonyeshi u serious
 
Tumemsikia Rais Samia akisema kwa lugha ya kujihami kuwa machinga wapangwe

Katumia lugha ya wapangwe badala ya waondolewe sababu anaogopa, anaogopa kuwa hawana mbadala wa sera ya kupunguza watu wasiwe machinga na pia aliyewaweka ni Magufuli ambaye naye alikuwa sehemu ya utawala wake ila akafeli kumshauri kuruhusu machinga ku operate freely

Pia Serikali inaogopa kwa kuwa haina sera za maana za kushawishi watu wala kujitetea kwa lolote kuhusu matatizo ya ajira na mengineyo na sana sana ipo madarakani kwa mabavu na ulaghai

So haitathubutu kwa kuwa itawapandisha hasira wananchi hawa, maana haina excuse yoyote ya kuwaambia na inahisi wataleta machafuko na kuwasogeza wananchi hao karibu na upinzani ambao inajaribu kila njia kuwazama

Tumesikia mbunge mmoja akithibitisha haya kwa kuishauri Serikali kuwa ikiwaondoa machinga watakuwa wanawaunga mkono upinzani na hivyo kuleta tishio kwa CCM

So CCM lazima iwaache machinga mtaani ili kuilinda, maana ikiwatoa haina cha kuwaeleza, itakuwa very unpopular

Mark my Thread..
Inawaondoa kwa heshima na kwa mipango nyie subirini

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom