Picha - Barabara za juu kwa juu zitakavyobadili sura ya jiji Dar

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,896
6,910
__800x800_51c92c444e84a.jpg

Moja ya fly-over mwonekano wake itakavyokuwa baada ya kukamilika
35901_515343808483530_906244997_n.jpg download.jpg flyOv.jpg nj (24).JPG sitemgr_photo_172781.jpg images.jpg 02.jpg th.jpg xin_3931206211726765392710.jpg
Baadhi ya taswira za fly-over zinazotazamiwa kujengwa Dar
images (1).jpg 52_KigamboniBridge_01-640x480.jpg images (2).jpg 11.jpg View attachment 161988 unnamed (69).jpg
Baadjo ya taswiras ambazo ni kivutio cha jiji la Dar

Matarajio ni kupungua msongamano katika usafiri Dar ingawa si kwamba msongamano utatoweka. Ujenzi wa hizi fly-over zingeenda sambamba na ujenzi wa barabara ambayo ni beltway express (express park way) yenye lane zaidi ya tatu kila upande inayogawanywa na meridian cub katikati kuzunguka jiji kuanzia Mbezi beach, mbezi Juu, Pugu, Mbagala hadi Kigamboni. Hiyo ingesaidia kupunguza msongamano wa magari downtown sababu magari mengi yanayoingia katikati ya yanalazimika kufanya hivyo sababu ya kukosa njia mbadala.
 
naona ndoto tu, m[ango wa kuwa na flyover dar uliasisiwa tangu 1976
 
View attachment 161993

Walio nje ya Tanzania na wale wasiofika Dar muda mrefu, jengo hili lipo karibu na ofisi za wilaya ya Ilala kando ya bandari na karibu sana na St Joseph, Tatizo jengo limejengwa katikati ya majengo mengine marefu bila kulipa nafasi ya kupumua, kwangu naona ni kivuli tu. Ni jengo refu kabisa kuita yota Tanzania. Sina hakika kwa East Afrika.
 
Yaani [icha bhana, hadi sijaamini kama lipo tz
View attachment 161993

walio nje ya tanzania na wale wasiofika dar muda mrefu, jengo hili lipo karibu na ofisi za wilaya ya ilala kando ya bandari na karibu sana na st joseph, tatizo jengo limejengwa katikati ya majengo mengine marefu bila kulipa nafasi ya kupumua, kwangu naona ni kivuli tu. Ni jengo refu kabisa kuita yota tanzania. Sina hakika kwa east afrika.
 
View attachment 161993

Walio nje ya Tanzania na wale wasiofika Dar muda mrefu, jengo hili lipo karibu na ofisi za wilaya ya Ilala kando ya bandari na karibu sana na St Joseph, Tatizo jengo limejengwa katikati ya majengo mengine marefu bila kulipa nafasi ya kupumua, kwangu naona ni kivuli tu. Ni jengo refu kabisa kuita yota Tanzania. Sina hakika kwa East Afrika.

soon utasikia Lina ufa
 
hilo jengo ni babkubwa.lipo ktk mitaa yangu ya kujipatia rizki.huwa siishiwi hamu kulitazama.
 
Mwalimu si alishabadilisha mji mkuu kuwa Dodoma sasa wanachong'ang'ania hapo Dar ni nini au ndiyo mji was kitafunio kinapopatikana kwa urahisi au??
 
Mwalimu si alishabadilisha mji mkuu kuwa Dodoma sasa wanachong'ang'ania hapo Dar ni nini au ndiyo mji was kitafunio kinapopatikana kwa urahisi au??

Dodoma capital city na Dar ni business city
 
[/CENTER]
Ila Dar Mbaya!!!
Kama ranch ya ng'ombe hivi...

Mpiga picha alipata taswira hii akielekeza camera yake toka upande wa jiji kuelekea Kimara maana hapo ni Ubungo bila utata. Angeelekeza Camera yake kuelekea mjini kungekuwa na taswira ya mvuto zaidi, pale Ubungo pamechangamka siku hizi.
 
View attachment 161993

Walio nje ya Tanzania na wale wasiofika Dar muda mrefu, jengo hili lipo karibu na ofisi za wilaya ya Ilala kando ya bandari na karibu sana na St Joseph, Tatizo jengo limejengwa katikati ya majengo mengine marefu bila kulipa nafasi ya kupumua, kwangu naona ni kivuli tu. Ni jengo refu kabisa kuita yota Tanzania. Sina hakika kwa East Afrika.
Hili jengo limekamilika? Ni la ghorofa ngapi? Nani mmiliki?
 
Hili jengo limekamilika? Ni la ghorofa ngapi? Nani mmiliki?

Nilivyoona vyanzo fulani ni real estate fulani ndiyo wanaojenga jengo hili, yawezekana kuna wabia kadhaa. Ujenzi umeshakamilika na kinachofanyika sasa hivi ni finishing tu kadiri nilivyoshuhudia hivi karibuni. Idadi ya floors sijui ila ni refu sana ukilitazama kama umevaa kofia itaangukia nyuma maana ukiwa karibu na ukingo wa jengo unalitazama juu kanda kwamba jua utosini.
 
Mpiga picha alipata taswira hii akielekeza camera yake toka upande wa jiji kuelekea Kimara maana hapo ni Ubungo bila utata. Angeelekeza Camera yake kuelekea mjini kungekuwa na taswira ya mvuto zaidi, pale Ubungo pamechangamka siku hizi.

Mkuu hii picha imechukuliwa tokea ubungo kweli?!!! Nashindwa kupata kiashiria....
 
Mkuu hii picha imechukuliwa tokea ubungo kweli?!!! Nashindwa kupata kiashiria....

Samahani si picha ila mchoro taswira imekuwa toka mjini. Viashiria ni hapo makutano ya Mandela na Morogoro Road, na kuna round about pale chini ya madaraja. Tafsiri yangu kwa picha hii ni maeneo ya Ubungo kuelekea Kimara. Ila jengo la TANESCO silioni hapa, lakini kona ya pale juu inaashiria kuelekea Kimara
 
Back
Top Bottom