Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, Rais Samia Leo amekiri kwa uwazi kuwa viatu alivyoacha Rais hayati Magufuli ni vikubwa sana kwake
Ameyasema hayo Dodoma wakati wa uzinduzi wa kampeni ya...
Hakika haiingi akilini kuona viongozi wa CCM ndio wako na vipaza sauti wakipinga Upatikanaji Wa Katiba Mpya kwa kisingizio cha tunajenga uchumi na eti Wananchi wanataka Elimu Maji na MaDawa
ujenzi...
Wakuu nimeshangaa saaaana, Chadema haina mgombea Ila chakushangaza, CCM walikuwa wanatuma makombora kwa Chadema hisiyo na mgombea [emoji1][emoji1][emoji1]
Juzi wabunge wa CCM wa mkoa wa Tabora...
Kama ilivyo kwenye sheria ya manunuzi matumizi ya Tshs.1.3 trillioni ya UVICO -19 zitangazwe kupitia Taneps ili watu wenye sifa waombe na jukumu la Serikali liweni kusimamia ubora.
Nchi...
Bashe amemshauri spika wa Bunge Mh.Job Ndugai Kugombea tena ubunge 2025.
Bado nashangazwa na hii tabia ambayo rasmi imeshajijenga kwenye serikali. Kwa nini mnawaza sana uchaguzi wa 2025? Ni miezi...
Haiingii akilini keki ya Zanzibar ni kwajili ya wazanzibari pekee ila keki ya huku bara Wazanzibari nao wana hila, yani chao ni chao peke yao ila chetu ni chao.
Yani huko Zanzibar uongozi kuanzia...
Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema Serikali itasimika mitambo mitano ya kufua Oksijeni katika Halmashauri za Karatu, Mlele, Bunda, Masasi na Nyasa ambapo kila moja itapata Milioni 600...
BY CORRESPONDENT
10th October 2011
Academicians have recommended that the country's new constitution should have a provision whereby ministers apply for the jobs, and only those with the...
Katika vita ya ufisadi, ni lazima tufanye auditing inayohusu ubinafsi hasa kwenye taasisi zetu na mashirika ya umma. Tuanzie pia huko chini kabisa kwenye mitaa. Tutapata picha ya kiwango cha...
Wamehama pale jengo la ushirika Lumumba, Wamehamia jengo la Magereza, Sokoine Drive.
Ukifika pale Reception unakutana na vidada viwili, wana kauli mbovu sana,Imewekwa beria wasisogelewe kwa ajili...
Jamaa ni jembe saaaaana roho nzuri mno anapiga kazi KWERI KWERI , huyu anatakiwa apewe u waziri mkuu kabisa ,hakika wana tarime mmepata jembe embu angalia hapa anavyoonyesha upendo kwa wana...
Kwenye Taifa hili mimi ni mtu mdogo sana, sina mamlaka yeyote yale. Hata kwenye familia yangu sina nguvu yeyote ya ushawishi, naonekana wa kawaida sana sina maajabu yeyote.
Lakini leo hapa...
Baada ya kuonaa Waziri Mkuu akitua katika kiwanja cha kimataifa cha Chato kufunga kongamano la vijana nimekumbuka ziara za Marais awamu aliyopita huko Chato
Bila shaka tunakumbuka kuwa awamu...
Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili amesema wazazi wote ambao hawatawapeleka watoto wa kike shule watachukuliwa hatua.
Akizungumza kwenye hafla ya kilele cha Maadhimisho ya Siku ya...
Wanajamvi. Ninawawekea particulars ya kesi iliyofunguliwa jana dhidi ya Opptertus Fwema.
Naweka na katuni iliyochorwa ili kuwa na idea ya nini anachoshtakiwa nacho.
Kesi imehairishwa hadi tarehe...
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Konde, Abdallah Said Hamad amemtangaza Mgombea wa ACT-Wazalendo, Mohamed Said Issa kuwa mshindi wa Ubunge kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo hilo uliofanyika leo 09...
Kauli hii kutoka kwa Waziri Mkuu akiwa kwenye uzinduzi wa mpango wa maendeleo na kampeni ya UVIKO ni ya kufikirisha sana sana, ametangaza kuwa Rais Samia atakuwa Rais wa Tanzania mpaka 2030...
Tafsiri isiyo rasmi;
Biden akihutubia mkutano wa Baraza kuu la Umoja wa mataifa, amesema;
"....Nyakati zijazo ni za viongozi ambao wanaheshimu uhuru wa watu wa kupumua (i.e kufurahia haki zao...
Milioni 251 zatengwa kulipana posho kuondoa machinga Jiji la Mwanza.
Wanaolipwa CD, DC na wenzao
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida jiji la Mwanza limetenga Sh. milioni 251 kwa ajili ya...
Rais sema tu kuwa kuanzia sasa hakuna Wanafunzi wa Vyuo Vikuu kukopeshwa Pesa na kwamba kuanzia sasa Wanafunzi wote wenye Sifa za kwenda Chuo Kikuu Serikali itawasomesha bure na kuwapa 100% ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.