Bashe: Spika Ndugai gombea tena ubunge 2025

Memento

JF-Expert Member
Jun 13, 2021
1,498
2,000
Bashe amemshauri spika wa Bunge Mh.Job Ndugai Kugombea tena ubunge 2025.

Bado nashangazwa na hii tabia ambayo rasmi imeshajijenga kwenye serikali. Kwa nini mnawaza sana uchaguzi wa 2025? Ni miezi michache tu tumetoka kwenye uchaguzi wa 2020.

Sasa badala ya kuanza kuleta Maendeleo kwa wananchi,nabaki kushauriana kugombea 2025. Tatizo nini hasa?
Wenyewe Mara kadhaa mmekiri kuwa uchumi umeshuka sana, kwa nini msitumie nguvu kubwa kupandisha huo uchumi hadi hiyo 2025 kuliko kuwaza kugombea tu?

Tumewakosea wapi? Kwa nini hizi mambo msianze mwishoni mwa 2024 au mwanzoni mwa 2025. Chama ni chenu mtaamua kwa kwa kadri mnavyoweza kupitishana huko chamani. Ila kwa Sasa tunataka Maendeleo tu
Kuna tatizo kubwa sana CCM.

Na yoye haya yameasisiwa na mwenyekiti wao aliyeanza kutangaza kugombea mapema.

----
Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amemwomba Spika wa Bunge, Job Ndugai kubadili uamuzi wake wa kutogombea tena ubunge wa Kongwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Bashe ametoa kauli hiyo jana jioni Oktoba 11, 2021 wakati akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa korosho wa wilaya za Mpwapwa, Kongwa na Manyoni.

Mkutano huo ulifanyika katika Chuo cha Veta Kongwa na Spika Ndugai alikuwa Mwenyekiti aliyeongoza majadiliano ambayo yalianza saa 4 asubuhi- hadi saa 12 jioni.

Bashe amesema mipango mizuri ambayo imeanzishwa na Ndugai haipaswi kubezwa na kuwa akija mwingine huenda asiendeleze kwani kila mmoja ana mipango yake.

"Nilisoma kwenye mitandao kuwa ukitaka kustaafu na Rais John Magufuli, lakini Mungu ana mipango na makusudi yake, leo tuko na Samia Suluhu Hassan ambaye tunakwenda naye hadi 2030, naomba ufikiri namna ya kubadili uamuzi wako," amesema Bashe.

Naibu Waziri amesema itakuwa na maana kama Ndugai atakubaliana na wazo hilo ambalo litampeleka kukamilisha ndoto za watu wa Kongwa hasa kwenye dhahabu ya kijani ambayo ni korosho.
Kauli ya Bashe iliibua shangwe kutoka kwa washiriki wa kongamano hilo ingawa Ndugai mwenyewe hakujibu kitu wakati watu walipokuwa wanapiga makofi.

Katika hatua nyingine, Bashe amesema serikali itahakikisha inakamilisha mipango yake ili wakulima wa Kongwa, Mpwapwa na Manyoni wanufaike na Kilimo hicho.

Ameahidi serikali inakwenda kujenga kiwanda cha kubangulis korosho katika kijiji cha Mbande ili wakulima wavune na kubangua korosho zao hapo.
 
mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
1,064
2,000
Kongwa. Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amemwomba Spika wa Bunge, Job Ndugai kubadili uamuzi wake wa kutogombea tena ubunge wa Kongwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Bashe ametoa kauli hiyo jana jioni Oktoba 11, 2021 wakati akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa korosho wa wilaya za Mpwapwa, Kongwa na Manyoni.

Mkutano huo ulifanyika katika Chuo cha Veta Kongwa na Spika Ndugai alikuwa Mwenyekiti aliyeongoza majadiliano ambayo yalianza saa 4 asubuhi- hadi saa 12 jioni.

Bashe amesema mipango mizuri ambayo imeanzishwa na Ndugai haipaswi kubezwa na kuwa akija mwingine huenda asiendeleze kwani kila mmoja ana mipango yake.

"Nilisoma kwenye mitandao kuwa ukitaka kustaafu na Rais John Magufuli, lakini Mungu ana mipango na makusudi yake, leo tuko na Samia Suluhu Hassan ambaye tunakwenda naye hadi 2030, naomba ufikiri namna ya kubadili uamuzi wako," amesema Bashe.

Naibu Waziri amesema itakuwa na maana kama Ndugai atakubaliana na wazo hilo ambalo litampeleka kukamilisha ndoto za watu wa Kongwa hasa kwenye dhahabu ya kijani ambayo ni korosho.
Kauli ya Bashe iliibua shangwe kutoka kwa washiriki wa kongamano hilo ingawa Ndugai mwenyewe hakujibu kitu wakati watu walipokuwa wanapiga makofi.

Katika hatua nyingine, Bashe amesema serikali itahakikisha inakamilisha mipango yake ili wakulima wa Kongwa, Mpwapwa na Manyoni wanufaike na Kilimo hicho.

Ameahidi serikali inakwenda kujenga kiwanda cha kubangulis korosho katika kijiji cha Mbande ili wakulima wavune na kubangua korosho zao hapo.
 
JOHNGERVAS

JF-Expert Member
Mar 22, 2016
293
250
Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amemwomba Spika wa Bunge, Job Ndugai kubadili uamuzi wake wa kutogombea tena ubunge wa Kongwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Bashe ametoa kauli hiyo jana jioni Oktoba 11, 2021 wakati akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa korosho wa wilaya za Mpwapwa, Kongwa na Manyoni.

Bashe amesema mipango mizuri ambayo imeanzishwa na Ndugai haipaswi kubezwa na kuwa akija mwingine huenda asiendeleze kwani kila mmoja ana mipango yake.

"Nilisoma kwenye mitandao kuwa ukitaka kustaafu na Rais John Magufuli, lakini Mungu ana mipango na makusudi yake, leo tuko na Samia Suluhu Hassan ambaye tunakwenda naye hadi 2030, naomba ufikiri namna ya kubadili uamuzi wako," amesema Bashe.

MYTAKE

Hivi ndivyo viongozi wetu wanawaza kila Muda kushauriana kutawala wao tu as if hakuna watanzania wengine wenye sifa za Kugombea hizo nafasi.

Bashe wa 2017 na huyu Bashe wa sasa hivi ni Kama hawana maelewano mazuri,wakutanishwe wamalize tofauti zao
 
Autodidacts

JF-Expert Member
Jun 9, 2021
702
1,000
Hi
Bashe amemshauri spika wa Bunge Mh.Job Ndugai Kugombea tena ubunge 2025.

Bado nashangazwa na hii tabia ambayo rasmi imeshajijenga kwenye serikali. Kwa nini mnawaza sana uchaguzi wa 2025? Ni miezi michache tu tumetoka kwenye uchaguzi wa 2020.

Sasa badala ya kuanza kuleta Maendeleo kwa wananchi,nabaki kushauriana kugombea 2025. Tatizo nini hasa?
Wenyewe Mara kadhaa mmekiri kuwa uchumi umeshuka sana, kwa nini msitumie nguvu kubwa kupandisha huo uchumi hadi hiyo 2025 kuliko kuwaza kugombea tu?

Tumewakosea wapi? Kwa nini hizi mambo msianze mwishoni mwa 2024 au mwanzoni mwa 2025. Chama ni chenu mtaamua kwa kwa kadri mnavyoweza kupitishana huko chamani. Ila kwa Sasa tunataka Maendeleo tu
Kuna tatizo kubwa sana CCM.

Na yoye haya yameasisiwa na mwenyekiti wao aliyeanza kutangaza kugombea mapema.

----
Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amemwomba Spika wa Bunge, Job Ndugai kubadili uamuzi wake wa kutogombea tena ubunge wa Kongwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Bashe ametoa kauli hiyo jana jioni Oktoba 11, 2021 wakati akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa korosho wa wilaya za Mpwapwa, Kongwa na Manyoni.

Mkutano huo ulifanyika katika Chuo cha Veta Kongwa na Spika Ndugai alikuwa Mwenyekiti aliyeongoza majadiliano ambayo yalianza saa 4 asubuhi- hadi saa 12 jioni.

Bashe amesema mipango mizuri ambayo imeanzishwa na Ndugai haipaswi kubezwa na kuwa akija mwingine huenda asiendeleze kwani kila mmoja ana mipango yake.

"Nilisoma kwenye mitandao kuwa ukitaka kustaafu na Rais John Magufuli, lakini Mungu ana mipango na makusudi yake, leo tuko na Samia Suluhu Hassan ambaye tunakwenda naye hadi 2030, naomba ufikiri namna ya kubadili uamuzi wako," amesema Bashe.

Naibu Waziri amesema itakuwa na maana kama Ndugai atakubaliana na wazo hilo ambalo litampeleka kukamilisha ndoto za watu wa Kongwa hasa kwenye dhahabu ya kijani ambayo ni korosho.
Kauli ya Bashe iliibua shangwe kutoka kwa washiriki wa kongamano hilo ingawa Ndugai mwenyewe hakujibu kitu wakati watu walipokuwa wanapiga makofi.

Katika hatua nyingine, Bashe amesema serikali itahakikisha inakamilisha mipango yake ili wakulima wa Kongwa, Mpwapwa na Manyoni wanufaike na Kilimo hicho.

Ameahidi serikali inakwenda kujenga kiwanda cha kubangulis korosho katika kijiji cha Mbande ili wakulima wavune na kubangua korosho zao hapo.
Hili ni dongo kwa Ndugai maana Bashe anajua Ndugai 2020 hakushinda ivyo 2025 hatoshinda!
 
residentura

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
4,563
2,000
Hakuna upumbavu kama huu wa kuona kuwa ndani ya nchi yenye idadi ya watu zaidi ya milioni 60,ni kakundi ka watu wachache tu wenye uwezo na maono ya kuwa viongozi.
Huu ni ujuha.
Huu ni ulafi
Huu ni ulimbukeni.
Huu ni ubinafsi.
Huu ni uroho wa madaraka.
Huu ni roho mbaya.
Huu ni uchawi.
 
May Day

JF-Expert Member
May 18, 2018
4,836
2,000
Usitegemee kauli tofauti kwa Mtu yeyote aliyepo mezani anakula....wanawaza mlo tu muda wote mpaka watakapotolewa hapo.
 
Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
5,372
2,000
Bashe amemshauri spika wa Bunge Mh.Job Ndugai Kugombea tena ubunge 2025.

Bado nashangazwa na hii tabia ambayo rasmi imeshajijenga kwenye serikali. Kwa nini mnawaza sana uchaguzi wa 2025? Ni miezi michache tu tumetoka kwenye uchaguzi wa 2020.

Sasa badala ya kuanza kuleta Maendeleo kwa wananchi,nabaki kushauriana kugombea 2025. Tatizo nini hasa?
Wenyewe Mara kadhaa mmekiri kuwa uchumi umeshuka sana, kwa nini msitumie nguvu kubwa kupandisha huo uchumi hadi hiyo 2025 kuliko kuwaza kugombea tu?

Tumewakosea wapi? Kwa nini hizi mambo msianze mwishoni mwa 2024 au mwanzoni mwa 2025. Chama ni chenu mtaamua kwa kwa kadri mnavyoweza kupitishana huko chamani. Ila kwa Sasa tunataka Maendeleo tu
Kuna tatizo kubwa sana CCM.

Na yoye haya yameasisiwa na mwenyekiti wao aliyeanza kutangaza kugombea mapema.

----
Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amemwomba Spika wa Bunge, Job Ndugai kubadili uamuzi wake wa kutogombea tena ubunge wa Kongwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Bashe ametoa kauli hiyo jana jioni Oktoba 11, 2021 wakati akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa korosho wa wilaya za Mpwapwa, Kongwa na Manyoni.

Mkutano huo ulifanyika katika Chuo cha Veta Kongwa na Spika Ndugai alikuwa Mwenyekiti aliyeongoza majadiliano ambayo yalianza saa 4 asubuhi- hadi saa 12 jioni.

Bashe amesema mipango mizuri ambayo imeanzishwa na Ndugai haipaswi kubezwa na kuwa akija mwingine huenda asiendeleze kwani kila mmoja ana mipango yake.

"Nilisoma kwenye mitandao kuwa ukitaka kustaafu na Rais John Magufuli, lakini Mungu ana mipango na makusudi yake, leo tuko na Samia Suluhu Hassan ambaye tunakwenda naye hadi 2030, naomba ufikiri namna ya kubadili uamuzi wako," amesema Bashe.

Naibu Waziri amesema itakuwa na maana kama Ndugai atakubaliana na wazo hilo ambalo litampeleka kukamilisha ndoto za watu wa Kongwa hasa kwenye dhahabu ya kijani ambayo ni korosho.
Kauli ya Bashe iliibua shangwe kutoka kwa washiriki wa kongamano hilo ingawa Ndugai mwenyewe hakujibu kitu wakati watu walipokuwa wanapiga makofi.

Katika hatua nyingine, Bashe amesema serikali itahakikisha inakamilisha mipango yake ili wakulima wa Kongwa, Mpwapwa na Manyoni wanufaike na Kilimo hicho.

Ameahidi serikali inakwenda kujenga kiwanda cha kubangulis korosho katika kijiji cha Mbande ili wakulima wavune na kubangua korosho zao hapo.
Usishangae
Hata SSH kabla hajatangaza kuna ka gazeti kalikuja kupima upepo kwanza . Kakafungiwa baadae mama akajitangaza kugombea na wote wakaanza kampeni. Si msajili wala kidudu gani kilichobweka juu ya kampeni hizo.
Hata Bashe hajasema kwa bahati mbaya wala!
Ni mipango inapangwa inapangika.
Utasikia ndugai anakwambia ameombwa agombee Naye ameridhia
 
Aisee
\
 
Hamatan

JF-Expert Member
Nov 10, 2020
2,720
2,000
Bashe amemshauri spika wa Bunge Mh.Job Ndugai Kugombea tena ubunge 2025.

Bado nashangazwa na hii tabia ambayo rasmi imeshajijenga kwenye serikali. Kwa nini mnawaza sana uchaguzi wa 2025? Ni miezi michache tu tumetoka kwenye uchaguzi wa 2020.

Sasa badala ya kuanza kuleta Maendeleo kwa wananchi,nabaki kushauriana kugombea 2025. Tatizo nini hasa?
Wenyewe Mara kadhaa mmekiri kuwa uchumi umeshuka sana, kwa nini msitumie nguvu kubwa kupandisha huo uchumi hadi hiyo 2025 kuliko kuwaza kugombea tu?

Tumewakosea wapi? Kwa nini hizi mambo msianze mwishoni mwa 2024 au mwanzoni mwa 2025. Chama ni chenu mtaamua kwa kwa kadri mnavyoweza kupitishana huko chamani. Ila kwa Sasa tunataka Maendeleo tu
Kuna tatizo kubwa sana CCM.

Na yoye haya yameasisiwa na mwenyekiti wao aliyeanza kutangaza kugombea mapema.

----
Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amemwomba Spika wa Bunge, Job Ndugai kubadili uamuzi wake wa kutogombea tena ubunge wa Kongwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Bashe ametoa kauli hiyo jana jioni Oktoba 11, 2021 wakati akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa korosho wa wilaya za Mpwapwa, Kongwa na Manyoni.

Mkutano huo ulifanyika katika Chuo cha Veta Kongwa na Spika Ndugai alikuwa Mwenyekiti aliyeongoza majadiliano ambayo yalianza saa 4 asubuhi- hadi saa 12 jioni.

Bashe amesema mipango mizuri ambayo imeanzishwa na Ndugai haipaswi kubezwa na kuwa akija mwingine huenda asiendeleze kwani kila mmoja ana mipango yake.

"Nilisoma kwenye mitandao kuwa ukitaka kustaafu na Rais John Magufuli, lakini Mungu ana mipango na makusudi yake, leo tuko na Samia Suluhu Hassan ambaye tunakwenda naye hadi 2030, naomba ufikiri namna ya kubadili uamuzi wako," amesema Bashe.

Naibu Waziri amesema itakuwa na maana kama Ndugai atakubaliana na wazo hilo ambalo litampeleka kukamilisha ndoto za watu wa Kongwa hasa kwenye dhahabu ya kijani ambayo ni korosho.
Kauli ya Bashe iliibua shangwe kutoka kwa washiriki wa kongamano hilo ingawa Ndugai mwenyewe hakujibu kitu wakati watu walipokuwa wanapiga makofi.

Katika hatua nyingine, Bashe amesema serikali itahakikisha inakamilisha mipango yake ili wakulima wa Kongwa, Mpwapwa na Manyoni wanufaike na Kilimo hicho.

Ameahidi serikali inakwenda kujenga kiwanda cha kubangulis korosho katika kijiji cha Mbande ili wakulima wavune na kubangua korosho zao hapo.
Bashe, hata kabla ya kuwa Naibu Waziri, alionekana kuwa mtu wa kuutaka upngozi kwa njia yoyote ile. Watu wa namna hiyo mara hawafai kuwa viongozi kwa sababu huwa hawana wanachokisimamia zaidi ya ile tamaa yao. Na katika hiyo tamaa huwa wapo tayari kufanya chochote alimradi tu wayapate madaraka.

Maneno yote hayo ya Bashe yanasukumwa na tamaa ya ama kubakia kwenye nafasi aliyopo au kutaka kupandishwa.
 
Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
18,346
2,000
asa badala ya kuanza kuleta Maendeleo kwa wananchi,nabaki kushauriana kugombea 2025. Tatizo nini hasa?
Wenyewe Mara kadhaa mmekiri kuwa uchumi umeshuka sana, kwa nini msitumie nguvu kubwa kupandisha huo uchumi hadi hiyo 2025 kuliko kuwaza kugombea tu?
Jah People na Juma Nkamia hawakuyasema waliyosema kwa ridhaa yao, hata huyu msikilize kwa sikio la nne
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom