Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Dar es Salaam. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imesisitiza kuwa fedha zilizochukuliwa kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow Sh306 bilioni ni za umma na waliohusika katika sakata hilo...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Maisha yanaenda kasi sana na yamebadilika sana, Leo vijana wanaosoma chuo wanaona aibu kubeba bahasha ya kaki barabarani. Enzi zetu kusoma chuo ilikuwa ni sifa kubwa sana, Haikuwa rahisi kufaulu...
17 Reactions
62 Replies
5K Views
Ikitokea la kutokea Rais Samia akaingia himaya ya BBC kipindi Cha maswali magumu "hard talk", unadhani katika kipengere Cha demokrasia majibu yatakuwaje? Stephen Sucker anavyojua kubana. Mara...
12 Reactions
52 Replies
5K Views
Dar es Salaam. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeishauri Chadema kuweka picha ya Rais katika ofisi za viongozi wa chama hicho kwa sababu hiyo ni taasisi ya umma. Ushauri huo umetolewa leo...
5 Reactions
65 Replies
6K Views
Leo nimempeleka wife kumfanyia vipimo na matibabu nikidhani labda kwa sababu ni dispensary ya serikali huduma itakuwa bure lakini cha kushangaza kila kitu unalipia. Kuanzia kumwona daktari...
3 Reactions
54 Replies
4K Views
TEMEKE GULIO KUTOA FURSA ADHIMU KWA WAFANYA BIASHARA WADOGO (WAMACHINGA) WILAYA YA TEMEKE - MHE.JOKATE MWEGELO Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.Jokate Mwegelo ,Leo Oktoba 13 ametangaza rasmi kuja na...
1 Reactions
2 Replies
926 Views
https://www.tba.go.tz/projects/5 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla akiwa na Menejimenti ya TBA katika kIbanda cha mbele ya Majengo ya Mradi wa Magomeni Kota katika zaira...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hasira hizi zinatokana na mambo mawili: Moja ni uamuzi wa kamati ya PAC kuwasweka ndani baadhi ya watendaji wa TPDC kwa kushindwa kutekeleza maamuzi ya Kamati yanayohusu uwazi wa mikataba ya Gesi...
12 Reactions
82 Replies
10K Views
Shirika la umeme Tanzania (Tanesco), limeomba kuongeza bei ya umeme kwa asilimia 67.87 ikiwa ni kutoka Sh197.8 kwa Unit mpaka Sh332.06. Kaimi Mkurugenzi wa Tanesco, Felchesmi Mramba aliyasema...
0 Reactions
347 Replies
36K Views
Ripoti ya CAG imebainisha kuwa Fedha zilizokuwa kwenye Akaunti ya Escrow ni za umma. Aidha, ripoti hiyo imezidi kuonyesha kuwa akaunti hiyo ilikuwa na Bilioni 306. Ripoti inazidi kuanika kuwa...
53 Reactions
349 Replies
47K Views
Jenerali Mabeyo amelitaka jeshi la polisi kuhakikisha linatumia mbinu na weledi wa hali ya juu katika kupambana na uhalifu nchini. Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Diwani Athuman amewataka askari...
6 Reactions
43 Replies
7K Views
Chama cha Mapinduzi kimemjibu aliyekuwa mgombea urais wa Act Wazalendo mwaka 2020 na baadae kutangaza kujitoa kwenye chama hicho, na sasa ametangaza safari ya kurudi CCM chama chake kilichomlea na...
3 Reactions
74 Replies
9K Views
Polisi, Uhamiaji, Magereza na Zimamoto. Wote ni wizara moja. Sayansi mliyotumia inashangaza. Hivi mnajua kwamba tunao-graduates wanauza chai kwenye vihoteli vidogo? Mnajua kwamba kuna graduates...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nikiwa kada wa siku nyingi niliyepitia JKT kwa mwaka mzima, nimesitushwa na majibu ya Mh Simbachawene katika ajira za wasomi Polisi. Nimelazimika kupitia CV yake iliyo ukurasa wa Bunge, hakuna...
6 Reactions
91 Replies
8K Views
Hii tarif 4 ambapo umeme unanunua unit 1 shilingi 100 ni hasara kwa shirika, kwani Bei ya umeme tanesco anauziwa 200 kwenda juu yeye anawapa watu kwa shilingi 100 kigezo ni umasikini na matumizi...
21 Reactions
74 Replies
9K Views
Kuna usemi unasema mwenzio akinyolewa zako tia maji. Kutokana na mwenendo wa kesi za kimataifa kuhusiana na mipaka inaonyesha mahakama na hata jumuiya ya kimataifa haina nguvu sana ya kulazimisha...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakati najiandaa kuandika waraka nilioupa jina "Msajili wa vyama vya siasa unataka nini tukusaidie" nikakutana na taarifa ya ofisi ya Chadema kuchomwa moto huko Tunduma. Naomba niyajadili yote kwa...
0 Reactions
3 Replies
560 Views
Kama ilivyo ada , ile Taasisi bora ya Vijana barani Africa inayoitwa BAVICHA ambayo imechukua jukumu la kuongoza makongamano ya Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi nchini Tanzania kwa gharama...
8 Reactions
25 Replies
3K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mustafa Hamisi Umande kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Chai Tanzania Anachukua nafasi ya Mhandisi Steven Mlote aliyemaliza muda wake. Uteuzi...
2 Reactions
122 Replies
13K Views
Rais bado ananua ndege cash wakati uchumi unapumlia mashine? Rais anakopa kujenga madarasa ambayo hayalipi Kodi Wala kulipia mikopo. Unakopa pesa ili kununua barakoa seriously pesa za kulipa huo...
47 Reactions
127 Replies
8K Views
Back
Top Bottom