Katika report za majeshi na utendaji wake jeshi la wananchi la Tanzania limeonekana kuwa sawa na kujali haki za raia ukilinganisha na majeshi mengine,
Mambo ambayo yameangaziwa
1.Unyanyasaji wa...
Ndugu zangu wana-CCM na Watanzania wenzangu,
Hii ni siku muhimu kwangu na kwa nchi yetu. Leo nimeamua kuwaita ili kuwatangazia rasmi Watanzania wenzangu azma yangu ya kutaka kuomba ridhaa ya...
Leo hii ninaamini wapo watanzania wenye maono kama yangu,
Wanaopinga matumizi ya hela ya serikali bila idhini,
Kutaka kuabudiwa kwa kila kitu na kutaka sifa za kwamba ndo amefanya kila kitu...
Inawezekana kufika mwaka 2020 akawa ameibuka mtu mwingine akamtetemesha mkuu zaid ya Lissu, na wenda akaonekana anafaa zaidi kugombea urais kuliko Lissu.
Kwenye siasa lolote lawezekana.
Anaweza...
Leo uongozi wa juu wa Barrick Mines Tanzania umepata fursa ya kukutana na Mheshimiwa rais Magufuli na kueleza yaliyo moyoni mwao,
moja ya mambo ambayo wameeleza ni kumshukuru Magufuli kwa msimamo...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakitashiriki vikao vya majadiliano ya wadau wa vyama vya siasa, vilivyoitishwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, hadi...
Ummy Mwalimu umegawa kila chumba Cha darasa 20m, kwasasa ni ngumu kwa bajeti hio, vifaa vya Ujenzi juu Sana, naomba mutoe special offers yaani tax exemptions kwa Ujenzi juu wa madarasa vinginevyo...
WAZIRI UMMY ATOA MAELEKEZO KWA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA KUSIMAMIA MIRADI YA FEDHA ZILIZOTOLEWA NA IMF
WAZIRI wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Ummy...
Kuwaondoa wamachinga kwa utaratibu wa sasa hakuwezi kuisafisha Dar es salaam kwa sababu machinga hawataondoka.
Ni heri upekue mafaili hapo ofisini kwako ukilipata lile la " Operesheni Nguvu Kazi"...
Habari wadau..
Nimesoma habari kwenye gazeti la the Citizen kwamba kuna mvutano Kati ya Mkurugenzi wa TRC ndugu Kadogosa na Mamlaka ya Usimamizi wa Manunuzi ya Umma yaani PPRA Kuhusu kutoa...
NUKUU: BAADHI YA NUKUU ZA KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI WA CCM, SHAKA HAMDU SHAKA ALIPOKUA ANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO 12 OCTOBA 2021 DODOMA
"Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea...
12 October 2021
Rome, Italy
In an exclusive interview with Vatican News Liberata Mulamula Rutageruka Minister of Foreign Affairs and Cooperation in East Africa of the United Republic of...
Hali ya Ugaidi duniani NI Ajenda muhimu kwenye mkutano wa Baraza la ulinzi la umoja wa mataifa.
Naomba Raisi wetu atakapohutubia Baraza Hilo aelezee pia juu ya kundi hatari zaidi la kigaidi...
Serikali ya Tanzania leo Oktoba 08, 2021 imepokea dozi 576,558 za chanjo aina ya Sinopharm dhidi ya Virusi vya Corona kutoka Nchini China
Dozi hizo zimeletwa chini ya Mpango wa Shirika la Afya...
Clarity kwenye maelekezo ya kiongozi ni msingi mkubwa wa leadership.
Kwanini Waziri Ummy umetoa maelekezo tata kuhusu matumizi ya wakandarasi, force account,na bulk procurement?
Clarity kwenye...
Habari zenu watanzania,
Bodi ya mikopo elimu ya juu imekuwa ikifanya uzembe sehemu mbalimbali, unakuta mtumishi amebakiwa na 2.7 milioni linaloonekana kwenye salary slip ukipigiwa hesabu ili...
"CCM kinatoa pongezi kwa Chama Cha ACT - Wazalendo kwa kushinda katika jimbo la Konde Na hii ndiyo demokrasia kama ambayo Rais Samia mara baada ya kuingia madarakani aliahidi kwamba katika...
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, Rais Samia Leo amekiri kwa uwazi kuwa viatu alivyoacha Rais hayati Magufuli ni vikubwa sana kwake
Ameyasema hayo Dodoma wakati wa uzinduzi wa kampeni ya...
Hakika haiingi akilini kuona viongozi wa CCM ndio wako na vipaza sauti wakipinga Upatikanaji Wa Katiba Mpya kwa kisingizio cha tunajenga uchumi na eti Wananchi wanataka Elimu Maji na MaDawa
ujenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.