CCM kupiga kampeni Jimbo la Ushetu huku mnaiponda CHADEMA ambayo haina mgombea mumejidharirisha

Cathelin

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,071
3,992
Wakuu nimeshangaa saaaana, Chadema haina mgombea Ila chakushangaza, CCM walikuwa wanatuma makombora kwa Chadema hisiyo na mgombea

Juzi wabunge wa CCM wa mkoa wa Tabora walienda kutoa kampani Ushetu, wote walikuwa wanaiponda Chadema hisiyo na mgombea,,,mgombea wa ACT ata hawakuhangaika naye.

CCM Mara hamtaki upinzani, uku mnawatajataja kila muda badilika
 
Umejidhalilisha ww usiejua kuandika hata kichwa cha habari kinachoeleweka. Eti na ww ushajiona mwana Chadema tayari!
 
Wakuu nimeshangaa saaaana, Chadema haina mgombea Ila chakushangaza, CCM walikuwa wanatuma makombora kwa Chadema hisiyo na mgombea

Juzi wabunge wa CCM wa mkoa wa Tabora walienda kutoa kampani Ushetu, wote walikuwa wanaiponda Chadema hisiyo na mgombea,,,mgombea wa ACT ata hawakuhangaika naye.

CCM Mara hamtaki upinzani, uku mnawatajataja kila muda badilika
ACT ni tawi lao, sasa wamseme nani?
 
Ukipita kila wilaya utakuta kuna maduka ya CCM tena katikati ya mji. Pesa inaingia kwenye mfuko wa CCM Kwahiyo hapa CCM lazima iwe kichaa ndiyo maana inafanya kila njia kisiwepo na chama chenye nguvu Tanzania maana watapoteza mali zao. Hizo ghorofa za CCM zitataifishwa na kuwa mali za serikali.
Usifikiri CCM inawapenda sana wanyonge ila inalinda mali zake
 
Ccm wanajua wananchi wengi wameupuuza huo uchaguzi maana Cdm wamejitoa. Hivyo wanawaponda Cdm kutokana na hasira ya huo uchaguzi kukosa hamasa, kwani inadhihirisha Cdm ndio inayokubalika. ACT sio kitisho kwao labda huko pemba, hivyo hawana hofu nayo.
 
Mimi bado Sana kwakweli ishu ni hamasa au ushindi kwa CCM!?CHADEMA ime hit mno kwenye hizi Kampeni..Chanzo ni nini?
 
Nilipita pale kijiji cha bulungwa ccm walikuwa wanafunga mkutano wao pale..hawa jamaa wanatumia sana watu wa vijijin kama ngazi yaaaan wilaya ya ushetu ipo to scattered sehem kubwa ya wilaya ya ushetu haina maj ya bomba but jamaa wanajikita kwa vitu vya kingesee tu....
 
Umasikini ni mtaji wa CCM, Watu hawana Maji na huduma nyingine za Jamii, lakini wanaambiwa Ndege zenu tano zinakuja..
Kha!
 
Wakuu nimeshangaa saaaana, Chadema haina mgombea Ila chakushangaza, CCM walikuwa wanatuma makombora kwa Chadema hisiyo na mgombea

Juzi wabunge wa CCM wa mkoa wa Tabora walienda kutoa kampani Ushetu, wote walikuwa wanaiponda Chadema hisiyo na mgombea,,,mgombea wa ACT ata hawakuhangaika naye.

CCM Mara hamtaki upinzani, uku mnawatajataja kila muda badilika
1. Vyama shindani [upinzani] dhidi ya kinachoongoza serikali [CCM] ni MUHIMU na LAZIMA whether CCM wanataka ama hawataki...

2. CHADEMA whether iwe na mgombea ama la ktk uchaguzi wowote, bado wanabaki kuwa ndiyo tishio na mbadala wa CCM kuiongoza nchi hii...

3. Ushahidi wa hili ni hiki unachoripoti hapa kuonesha kuwa kivuli cha CHADEMA kipo kila mahali i.e mahakamani, polisi, kwenye vikao vya baraza la mawaziri, ofisi za TISS zote, ofisi za CCM zote mpaka za kwenye matawi nk nk

4. More over, kipo kwenye mioyo na vichwa vya watanzania wote. Hili ndilo TISHIO HALISI ambalo serikali hii ya CCM inaogopa kupita kiasi. Ndiyo maana ya hii desperation inayoendelea ya kamata kamata, bambika kesi CHADEMA wote zuia jogging nk nk

WOGA WOGA WOGA NA HOFU HOFU HOFU YA CCM KUPOTEZA DOLA...!!
 
Ukipita kila wilaya utakuta kuna maduka ya CCM tena katikati ya mji. Pesa inaingia kwenye mfuko wa CCM Kwahiyo hapa CCM lazima iwe kichaa ndiyo maana inafanya kila njia kisiwepo na chama chenye nguvu Tanzania maana watapoteza mali zao. Hizo ghorofa za CCM zitataifishwa na kuwa mali za serikali.
Usifikiri CCM inawapenda sana wanyonge ila inalinda mali zake
Ndo hivyo Ila ukweli na wenyewe wanajua kuwa Wana Hali mbaya
 
Wakuu nimeshangaa saaaana, Chadema haina mgombea Ila chakushangaza, CCM walikuwa wanatuma makombora kwa Chadema hisiyo na mgombea

Juzi wabunge wa CCM wa mkoa wa Tabora walienda kutoa kampani Ushetu, wote walikuwa wanaiponda Chadema hisiyo na mgombea,,,mgombea wa ACT ata hawakuhangaika naye.

CCM Mara hamtaki upinzani, uku mnawatajataja kila muda badilika
Wewe mwenyewe umeshindwa kufanya yako umekalia unafiki..unaolewa lini?
 
Watu wamekoswa pa kuvulia Gamba wakavaa Gwanda!?,hasira dhidi ya Chama kisicho na mgombea Binafsi zimenishangaza mno ...Wanazuoni wabobezi wa Siasa mje kwenye huu Uzi mtushibishe ...
Pata picha Chadema wasusie uchaguzi 2025 ,,uchaguzi utapoa sana
 
Wakuu nimeshangaa saaaana, Chadema haina mgombea Ila chakushangaza, CCM walikuwa wanatuma makombora kwa Chadema hisiyo na mgombea

Juzi wabunge wa CCM wa mkoa wa Tabora walienda kutoa kampani Ushetu, wote walikuwa wanaiponda Chadema hisiyo na mgombea,,,mgombea wa ACT ata hawakuhangaika naye.

CCM Mara hamtaki upinzani, uku mnawatajataja kila muda badilika
Wanaitangaza na kuifanyia kampeni cdm bila kujua
 
Back
Top Bottom