Jamhuri Vs Opptertus Fwema

Jamhuri Vs Opptertus Fwema

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
26,511
Reaction score
40,195
Wanajamvi. Ninawawekea particulars ya kesi iliyofunguliwa jana dhidi ya Opptertus Fwema.

Naweka na katuni iliyochorwa ili kuwa na idea ya nini anachoshtakiwa nacho.

Kesi imehairishwa hadi tarehe 16 Novemba 2021 atakaposomewa maelezo ya awali.
IMG-20211009-WA0031.jpg
2ojspt.jpg
 
Wanajamvi. Ninawawekea particulars ya kesi iliyofunguliwa jana dhidi ya Opptertus Fwema.

Naweka na katuni iliyochorwa ili kuwa na idea ya nini anachoshtakiwa nacho.

Kesi imehairishwa hadi tarehe 16 Novemba 2021 atakaposomewa maelezo ya awali. View attachment 1969570View attachment 1969571
Mbn sijaona mahali alipoandikwa hao waheshimiwa, huyo aliefungua mashtaka ndo anatakiwa kushtakiwa kwa kuafsiri kwa namna hyo. Hii kesi ikienda mahakamani itakua Kama Ile ya makomandoo tu.
 
"publications of false information" through a simple cartoon drawing is so ridiculous. Cartoons aren't meant as "publications of true information". In fact, in essence, cartoons only convey opinions and are not bearers of any factual information.
 
Wanajamvi. Ninawawekea particulars ya kesi iliyofunguliwa jana dhidi ya Opptertus Fwema.

Naweka na katuni iliyochorwa ili kuwa na idea ya nini anachoshtakiwa nacho.

Kesi imehairishwa hadi tarehe 16 Novemba 2021 atakaposomewa maelezo ya awali. View attachment 1969570View attachment 1969571
Mwisho wa siku mawakili wa serikali wanaonekana vilaza kwa mambo ya kijinga kama haya 😂😂😂😂
 
Wanajamvi. Ninawawekea particulars ya kesi iliyofunguliwa jana dhidi ya Opptertus Fwema.

Naweka na katuni iliyochorwa ili kuwa na idea ya nini anachoshtakiwa nacho.

Kesi imehairishwa hadi tarehe 16 Novemba 2021 atakaposomewa maelezo ya awali. View attachment 1969570View attachment 1969571
Swali la kwanza: "Kiwete" ni nani?

(Yani hapa itakua ni kama jinsi polisi wanavyo pelekeshwa na PGO).
 
Hayo maneno "anaongoza nchi vizur" ndio mabaya.

Kipanya katun zake ambazo hazina maneno zinawapa hadhira namna ya kuona maana mbalimbali.

Na yeye akihojiwa atajibu jibu kirahisi tu kuwa ni baba na mtoto.

Ila kuweka jina hilo kwa huyo baba , hata mtoto wa darasa la 7 atakuwa na tafsiri hiyo hiyo unayoifikiria ww

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Hawa lawyers wa serikali hawana kazi za kufanya, kilicho baki ni kuokoteza tu vitu vya kijinga kinga kama hizi kesi... hata kama ni kwenda kujifunza, basi leteni kesi serious ...
 
Kwani jina linasadifu nani kwa uhakika/bila shaka?
 
Hawa lawyers wa serikali hawana kazi za kufanya, kilicho baki ni kuokoteza tu vitu vya kijinga kinga kama hizi kesi... hata kama ni kwenda kujifunza, basi leteni kesi serious ...
Back then nilishawahi kufanya internship kwenye ofisi za DPP. Mkuu hizi kesi za ajabu ajabu huwa wanaletewa tu na kuambiwa wazipeleke mahakamani. Mara nyingi tu walikuwa wanaandika mapendekezo kwa zile kesi ambazo ni untenable kuwa there's no way they can secure conviction, lakini unakuta wanalazimishwa kupeleka mahakamani. So they just do it anyhow
 
Back
Top Bottom