Hivi Rais wa Zanzibar anaweza kumteua kiongozi Yoyote kutoka Bara na Kuwa Kiongozi Kwenye Serikali ya Mapinduzi Zanzibar?
Au Kumteua kiongozi ambaye yuko kwenye serikali ya JMT kisheria na Kwenda...
Zipo taasisi za serikali ni kero sana hapa nchini,huwa hazifanyi kazi mpaka zisukumwe,
Wapo watanzania kwa mamilioni tumepewa no za NIDA pale awali lakini kupatiwa vitambulisho sasa ni zaidi ya...
CCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele.
Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwaapisha Viongozi Wateule watatu walioteuliwa Oktoba 08, 2021.
Jaji Mustapha Siyani ameteuliwa kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania na...
Viongozi wa Bavicha waliokuwa wanaelekea Ukerewe wameshindwa kupata huduma ya kivuko kwa sababu za uongo kwamba kivuko ni kibovu .
Jambo hili la kishamba ni marudio ya ukakasi uliofanyika wakati...
Ndugu yetu Simbachawene, inaonekana majukumu yako yamekushinda, sasa hivi umerukia utoaji wa maoni ya wananchi mitandaoni.
Ungetuonyesha kwanza ukamilikaji wa vitambulisho vya taifa kwa...
Taarifa yao iliyosambazwa hii hapa
=============================================
"Ili [CHADEMA] tuweze kushiriki kikao chochote cha Msajili [wa Vyama vya Siasa] lazima zuio la vyama kufanya...
Serikali imepokea mkopo wa Tsh. Trilioni 1.3 kutoka IMF ili kupambamana athari za Covid19 iliyoondoshwa kwa maombi mwaka jana wa 2020.
inasemekana, fedha hizo zitatumika kujenga madarasa...
Napendekeza hii salamu ifutwe tumurudie Mungu. Sababu nyingine ni hizi hapa.
1. Salamu ya Mungu inaliinua taifa. Mungu anakuwa karibu nasi siku zote hata kipindi cha Corona.
2. Salamu ya Jamhuri...
Hakuna matokeo yaliyotangazwa
Madaktari waahidi kuzungumza leo
Mgomo waendelea hospitali nyingi
Rais Jakaya Kikwete
Rais Jakaya Kikwete jana alikutana na madaktari Ikulu, jijini Dar es...
Tusiyopenda kuyasikia kwenye Elimu ya Uraia.
Kimsingi madai ya Katiba mpya kwa minajili ya kushika nafasi ya urais naamini ni ndoto isiyotimia kwa vizazi vingi vijavyo. Uki-study historia mahala...
TUNDU LISSU NI SOMO KWA VIJANA TUNAOJIFUNZA SIASA
Vijana wenzangu mnaodhani kuwa siasa ni nyepesi leo naomba tuweke itikadi zetu pembeni tujamjadili Lissu kwa angle nyingine. Kama wewe ni mfia...
Habari ndugu wanaJF,
Jana kwenye mkutano wa rais na wanahabari nilimsikia akiongea confidently kuhusu kuagiza na kuanza kutumia chanjo za covid. Ieleweke kwamba hizo chanjo zilitolewa kwa dharura...
Nimetafuta Mantiki ( Logic ) ya Ujenzi wa Daraja hilo mpaka sasa sijaipata sana sana naona 'Maluweluwe' tupu tu.
Nimejaribu Kuzungumza na Wakandarasi na Wahandisi Waandamizi wamesema hilo Daraja...
Katibu mwenezi wa CCM Taifa ndugu Shaka A. Shaka na siku chache baadaye mwanamama Ditopile waliutangazia umma kuwa Jumapili hii tutege macho na masikio Ikulu, maana Mhe Rais atakuja na jambo zito...
RC MAKALLA AWAELEZA MAKAMANDA WA CHUO CHA KIJESHI KUWA DSM INA VIWANDA VINGI NA SHUGHULI ZA KIUCHUMI.
- Ampongeza Rais Samia Suluhu Hasan kwa hatua alizochukua katika kipindi Cha miezi 6 kukuza...
1:Patrice Lumumba,
Julai 2, 1925 katika ardhi ya Congo alizaliwa mtoto wa kiume katika viuno vya Mzee François Tolenga Otetshima na tumbo la Bi Julienne Wamato Lomendja, akaitwa jina lake Elias...
Kila jambo linalotokea ktk mazingira yako huwa ni somo ukiwa na akili. Wakati Aliyekua RC wa Dar es Salaam Paul Makonda alipoondolewa watu ktk mitandao ya kijamii walilipuka kwa shangwe na...
Leo nimesikia maneno mazuri kutoka kwako ambayo nilihitaji kutasikia kwa muda mrefu sana, nakushukuru sana sasa naona umeamua kazi kazi
Tafadhali Rais wangu usicheke na kima hapa tutavuna mabua...
Inasikitisha! Usiku wa kuamkia leo gari la mbunge wa jimbo la Songwe Mhe. George Mwenisongole aina ya Brevis limechomwa moto na watu wasiojulikana.
Imehisiwa kuwa hizo ni siasa za chuki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.