Kwa sisi wafanyabishara, siasa za awamu hii tunaziona kama fursa.
Pamoja na kwamba watu wanalalamika maisha ni mgumu lakini kama unajiamini unapiga pesa ndefu kwa kutumia siasa zenyewe, cha...
Katibu Tawala Msaidizi wa zamani wa Mkoa wa Kilimanjaro, Renatus Msangira (45), amepanda kizimbani akidai kwamba aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani humo, Lengai Ole Sabaya, hakupewa kibali...
Wahenga walisema ukistaajabu ya Farao utashangaa ya Musa. Najaribu kutafuta picha kama akina Mdee na wenzake kwa jinsi walivyokuwa kindakindaki na utii ndani ya chama na mwenyekiti, wadada wa...
Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, ameanza kujitetea kwenye kesi yake ya jinai yenye sura ya uporaji, kujeruhi na kutesa.
Soma hapa >> Utetezi wa Sabaya: Amwangushia zigo Hayati...
MSUKUMA ASHUKIWA NA MJUMBE WA MKUTANO MKUU CCM TAIFA
_____________________________________
Amwambia Lengo lake ni kugombanisha Machinga na Serikali.
Atajwa kuratibu kundi la Kumkwamisha Mhe...
Wakuu heshima sana,
Wakati wowote kuanzia Jumatatu Mfungwa wa kifungo cha Miaka 30 Bwana Lengai Ole Sabaya anatarajiwa kupandishwa kizimbani kujibu mashtaka ya wizi wa kuaminika na wenzake...
Moja ya Jambo ambalo linaitesa nchi ni hili la viongozi kuondolewa na kubaki na vinyongo na kuona aliyepo ni mtu mbaya.
Hili sasa ni tatizo kubwa sana kwa Sasa, kiongozi unakuta anataka kuwepo...
Kwa Sasa jukwaa limejaa mapambio na sifa zisizostahili hata kidogo ,ili mradi kukomoa wafuasi na mashabiki wa late Magufuli.
Si Twitter, Facebook, matusi hayapo,kilichobaki ni kusifiana na...
Askofu Severine Niwemugizi pasipo na kumung'unya maneno amefunguka:
“Mwalimu Nyerere alikuwa muumini wa uhuru wa mawazo, mijadala na kujenga hoja. Alipenda kuona jamii ya watu wanajadiliana kwa...
Ndugu Waandishi wa habari, sote tunafahamu ya kwamba zao la korosho ndio zao linaloongoza kwa kuingizia nchi yetu mapato ya fedha za kigeni kuliko mazao yote kwa ujumla. Na hili linasibitishwa...
Wanabodi
Leo ni Siku ya Kimataifa ya Chakula Duniani, huu ni uzi wa swali na wito, jee sisi Tanzania, tumeipa siku hii umuhimu stahiki?. Japo siku yenyewe kimataifa ni leo, ila kilele, kwa...
Jana dunia imeshuhudia hukumu ya haki iliyotolewa na mahakama dhidi ya kada mwandamizi wa CCM Lengai Ole Sabaya ambaye amehudumu nafasi mbalimbali ndani ya chama (UVCCM), na hata kuteuliwa na JPM...
Hii ndio taarifa ya sasa kutoka kwenye kambi yake ya kisheria ? Adai kutoridhishwa na Hukumu iliyotolewa leo na Mahakama kuu kanda ya Arusha iliyomtupa jela kwa miaka 30
Chanzo : Mwananchi.
Tukio la kuchomwa visu na kufa kwa mbunge mmoja wa Uingereza Sr David Amess kimefichua ubaguzi wa wazi wa kimfumo wa wazungu. Pamoja na muuaji kukamatwa, bado wanasema kitendo hiki si cha...
Sina chembe ya shaka na aliyoyayenda sabaya lakini kuna maswali mengi kichwani
Sabaya ni mwanaccm aliefikia hatua ya kua mwenyekiti wa uvccm ngazi ya mkoa, akawa diwani kwa miaka mitano hivyo ccm...
*
HUKUMU YA SABAYA
Tumefikaje Hapa?
Ilikuwaje? Kipi hakikufanya kazi yake sawasawa? Taifa lenye mihimili yote, taasisi mbalimbali, vyombo vya habari, vyombo vya ulinzi na jumuia za kimataifa...
Hii sasa ni mpya Katibu mkuu wa CHADEMA mh J J Mnyika amemtaka DPP kufuta kesi inayomkabili mwenyekiti Mbowe baada ya Ole sabaya kuhukumiwa kwa ujambazi.
Mnyika anasema Ole Sabaya ndiye aliyesuka...
Mambo ni Moto
Katika sakata linaloendelea linalomkabili Ndugu Lengai Ole Sabaya, utetezi wake unaacha watu midomo wazi.
Mimi sio mwanasheria lakini Kwa akili ndogo tuu niliyonayo namuona Ole...
Shujaa na Bora ni yule anaesimamia kwa haki Ulinzi na Usalama wa Raia na mali zao,pamoja na kuhakikisha umoja wa taifa.
kama hawahakikishii Raia wake wote Ulinzi,Usalama na umoja wao huyo kwangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.