Nimeamini matusi ,kejeri ,dhihaka na dharau zilizoporomoshwa kwa hayati Magufuli zilitoka kwa wana CCM wenyewe

Kwa Sasa jukwaa limejaa mapambio na sifa zisizostahili hata kidogo ,ili mradi kukomoa wafuasi na mashabiki wa late Magufuli.
Si Twitter, Facebook, matusi hayapo,kilichobaki ni kusifiana na kupongezana,haya nayo yana mwisho
Mbona hukuyasema awamu Ile?
 
Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu aliyeko motoni bila damu kumwagika.
Hata Libya ya Gaddafi walisema haya usemayo,kwa sasa wanaila pepo vizuri hapa duniani kabla ya akhera
 
Ni story za mateja tu mnapiga
Dah hii kitu inanichanganya sana. Nilikuwa na mzee flani juzkati yeye mwenyewe anadai yuko kwenye system hadi sasa hivi lakini anamakaz hapa Denmark simuelewielewi lakini yuko deep sana kwa maswala ya intelligence alinihakikishia kabisa mchizi walimu ondoa na walimlia timing alivyoumwa wa kachukua iyo fursa. Ila uwezekano wa kupona kwa mchizi ulikuwepo.

Huyu mzee kuna wakati alinionyaga aliponiskia nikiropokaropoka kuikanda serikali akanipa somo na tahadhari niwe muangalifu bado mimi ni kijana mdogo. Ila tunasikilizana sana kwasababu ya mjani kitu cha Arusha ndo maana ananisogezea nondo za hatari kutoka jikoni kijitonyama mengine siyo vizuri kuweka hadharani ni confidential
 
Back
Top Bottom