Kifo cha mbunge wa Uingereza Sir David Amess na ubaguzi wa wazi wa wazungu wa kimfumo

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
4,855
2,000
Tukio la kuchomwa visu na kufa kwa mbunge mmoja wa Uingereza Sr David Amess kimefichua ubaguzi wa wazi wa kimfumo wa wazungu. Pamoja na muuaji kukamatwa, bado wanasema kitendo hiki si cha kigaidi. Kama muuaji angekuwa siyo mzungu polisi wangemmaliza kwa risasi. Wala wasingeendelea kushikilia kuwa hawajajua kama tukio hili ni la kigaidi ama la. Zaidi, wasingeficha jina la mhusika kama angekuwa siyo mzungu. Kwa wanaowaona wazungu kama watu wasio wabaguzi na watenda haki, hapa kuna somo kubwa tu. Kwa waliowahi kuishi au wanaoishi Ulaya na Marekani hata nchi nyingine kama vile za Asia au Amerika ya kusini hata Australia, watakubaliana na ukweli kuwa wazungu ni wabaguzi na wenye upendeleo wa wazi hata kufikia kulinda uhalifu kama huu aliofanyiwa huyu mbunge. Tukio jingine la la kijana mmoja nchini Norway ambapo kijana mmoja wa kizungu ametumia mishale kuwaua watu watano na kujeruhi wawili. Hakuuawa na polisi na bado wanasema eti alikuwa radicalized na siyo gaidi. Haki iko wapi hapa?
 
Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
4,855
2,000
Ww una matatizo,,the vice versa is true...Identity ya muuaji Unaijua au ni mihemuko...au ww ni polisi uko uingereza
Nimeweka makusudi ili kujua black masks white souls aka mbwa wa kujitakia wa wazungu. Hivyo, nakubaliana na ushauri wako. kuwa nina matatizo ya akili ya ukombozi wa weusi wasiojitambua ambao kwa mfano Tanzania wameachia wahindi wawabugue na kuwaibia bila kujitetea.
 
babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,049
2,000
..Balozi wetu Uingereza ahudhurie mahakamani kila siku kesi hiyo itakapotajwa. Pia amtie moyo mtuhumiwa kwa maneno, " never give up. "
Umeshasikia waingereza wakilia mbona Tanzania haijatoa tamko au Africa kwa ujumla.
Au umeshasikia Labour wakilalamika kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu uko Uingereza na kuomba ubalozi wa Tanzania uingilie.
Sisi wenyewe ndio tunawakimbilia na kuwashinikiza watusaidie!
Hata polisi wanapotuumiwa kubaka na kuwa huko kwao. Hawalalamiki kwa sababu wanaimani na vyombo vyao vya sheria!!
 
babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,049
2,000
Tukio la kuchomwa visu na kufa kwa mbunge mmoja wa Uingereza Sr David Amess kimefichua ubaguzi wa wazi wa kimfumo wa wazungu. Pamoja na muuaji kukamatwa, bado wanasema kitendo hiki si cha kigaidi. Kama muuaji angekuwa siyo mzungu polisi wangemmaliza kwa risasi. Wala wasingeendelea kushikilia kuwa hawajajua kama tukio hili ni la kigaidi ama la. Zaidi, wasingeficha jina la mhusika kama angekuwa siyo mzungu. Kwa wanaowaona wazungu kama watu wasio wabaguzi na watenda haki, hapa kuna somo kubwa tu. Kwa waliowahi kuishi au wanaoishi Ulaya na Marekani hata nchi nyingine kama vile za Asia au Amerika ya kusini hata Australia, watakubaliana na ukweli kuwa wazungu ni wabaguzi na wenye upendeleo wa wazi hata kufikia kulinda uhalifu kama huu aliofanyiwa huyu mbunge. Tukio jingine la la kijana mmoja nchini Norway ambapo kijana mmoja wa kizungu ametumia mishale kuwaua watu watano na kujeruhi wawili. Hakuuawa na polisi na bado wanasema eti alikuwa radicalized na siyo gaidi. Haki iko wapi hapa?
Mbona kuna matukio mengi ya kigaidi yamefanywa na watu ambao sio wazungu na sio wazaliwa wa UK lakini polisi hawakuwaua!!

Kama unaijua UK vizuri, mental health ni big issue. Kuna watu wanauliwa na watu kwa sababu ya matatizo ya akili.
Kuna wagonjwa wanakuwa discharge kwenye ma hospitali yao uko baada ya masaa anaenda kumchoma mtu kisu kwenye basi for no apparent reason!!

Huyu ni MP ndio sababu imekuwa big news. Kama angekuwa raia wa kawaida wala usingeisikia!!
 
Nguseroh

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
2,122
2,000
Tukio la kuchomwa visu na kufa kwa mbunge mmoja wa Uingereza Sr David Amess kimefichua ubaguzi wa wazi wa kimfumo wa wazungu. Pamoja na muuaji kukamatwa, bado wanasema kitendo hiki si cha kigaidi. Kama muuaji angekuwa siyo mzungu polisi wangemmaliza kwa risasi. Wala wasingeendelea kushikilia kuwa hawajajua kama tukio hili ni la kigaidi ama la. Zaidi, wasingeficha jina la mhusika kama angekuwa siyo mzungu. Kwa wanaowaona wazungu kama watu wasio wabaguzi na watenda haki, hapa kuna somo kubwa tu. Kwa waliowahi kuishi au wanaoishi Ulaya na Marekani hata nchi nyingine kama vile za Asia au Amerika ya kusini hata Australia, watakubaliana na ukweli kuwa wazungu ni wabaguzi na wenye upendeleo wa wazi hata kufikia kulinda uhalifu kama huu aliofanyiwa huyu mbunge. Tukio jingine la la kijana mmoja nchini Norway ambapo kijana mmoja wa kizungu ametumia mishale kuwaua watu watano na kujeruhi wawili. Hakuuawa na polisi na bado wanasema eti alikuwa radicalized na siyo gaidi. Haki iko wapi hapa?
MBONA MUUAJI NI MSOMALI? NI MSOMALI NDO AMEMCHOMA KISU.
 
las Casas

JF-Expert Member
Nov 22, 2015
545
1,000

Kitengo cha upelelezi wa matukio ya kigaidi unafanya uchunguzi kulingana na Sky news , Aljazeera English na CNN
 
babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,049
2,000
Tukio la kuchomwa visu na kufa kwa mbunge mmoja wa Uingereza Sr David Amess kimefichua ubaguzi wa wazi wa kimfumo wa wazungu. Pamoja na muuaji kukamatwa, bado wanasema kitendo hiki si cha kigaidi. Kama muuaji angekuwa siyo mzungu polisi wangemmaliza kwa risasi. Wala wasingeendelea kushikilia kuwa hawajajua kama tukio hili ni la kigaidi ama la. Zaidi, wasingeficha jina la mhusika kama angekuwa siyo mzungu. Kwa wanaowaona wazungu kama watu wasio wabaguzi na watenda haki, hapa kuna somo kubwa tu. Kwa waliowahi kuishi au wanaoishi Ulaya na Marekani hata nchi nyingine kama vile za Asia au Amerika ya kusini hata Australia, watakubaliana na ukweli kuwa wazungu ni wabaguzi na wenye upendeleo wa wazi hata kufikia kulinda uhalifu kama huu aliofanyiwa huyu mbunge. Tukio jingine la la kijana mmoja nchini Norway ambapo kijana mmoja wa kizungu ametumia mishale kuwaua watu watano na kujeruhi wawili. Hakuuawa na polisi na bado wanasema eti alikuwa radicalized na siyo gaidi. Haki iko wapi hapa?
5A2E3207-82E7-4476-90C9-55C091F0BF47.jpeg
 
babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,049
2,000
NI MSOMALI NDO AMEMCHOMA KISU CHA KIFUA NA KUMUUA.
Angalizo alichoandika kuwatuumu wazungu:
1)Pamoja na muuaji kukamatwa, bado wanasema kitendo hiki si cha kigaidi.

2)Kama muuaji angekuwa siyo mzungu polisi wangemmaliza kwa risasi.

3)wasingeficha jina la mhusika kama angekuwa siyo mzungu.

Mimi binafsi kuna mambo mbali mbali yamenifanya niwe na kinyongo. Lakini kuna wakati malalamiko yetu sio fair!!
 
ERICK EBYAGO

Member
Oct 10, 2021
7
45
Unachoongea ni ukweli, ila ujue TZ haina influence yoyote pale EU, UK, kwa hiyo kuna ulazima wa kukomaa na KUFAHAMU MGAO WA CHANJO YA UVIKO19 NA TRIL HIYO kuliko kesi ya Sir
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
14,600
2,000
Tukio la kuchomwa visu na kufa kwa mbunge mmoja wa Uingereza Sr David Amess kimefichua ubaguzi wa wazi wa kimfumo wa wazungu. Pamoja na muuaji kukamatwa, bado wanasema kitendo hiki si cha kigaidi. Kama muuaji angekuwa siyo mzungu polisi wangemmaliza kwa risasi. Wala wasingeendelea kushikilia kuwa hawajajua kama tukio hili ni la kigaidi ama la. Zaidi, wasingeficha jina la mhusika kama angekuwa siyo mzungu. Kwa wanaowaona wazungu kama watu wasio wabaguzi na watenda haki, hapa kuna somo kubwa tu. Kwa waliowahi kuishi au wanaoishi Ulaya na Marekani hata nchi nyingine kama vile za Asia au Amerika ya kusini hata Australia, watakubaliana na ukweli kuwa wazungu ni wabaguzi na wenye upendeleo wa wazi hata kufikia kulinda uhalifu kama huu aliofanyiwa huyu mbunge. Tukio jingine la la kijana mmoja nchini Norway ambapo kijana mmoja wa kizungu ametumia mishale kuwaua watu watano na kujeruhi wawili. Hakuuawa na polisi na bado wanasema eti alikuwa radicalized na siyo gaidi. Haki iko wapi hapa?
Kwani na nyinyi si muishi kwa taratibu zenu, tatizo liko wapi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom