Hangaya bhana😂.. eti wasaidizi wananambia mheshimiwa umeteua wote wa tanga 🙄. Jibu: '..sifuati kabila mimi nafuata uwezo tu...wakikosea nawatumbua'. Lakini si ndio ushateua?😂😂.. Halafu wenye uwezo...
Ukisikiliza mazungumzo ya mabishano kwa simu kati ya Mbunge wa Arusha Godbless Lema na mkuu wa wilaya ya Hai Ole Sabaya utagundua kuwa mheshimiwa Rais anawakilishwa katika ngazi mbalimbali na...
Kwa baadhi ya vitendo au maamuzi yanayofanywa na huyu kiongozi kwa kutumia cheo chake yananifanya niamini kumbe hata mimi naweza kuongoza vizuri na kwa busara kuliko huyu.
Kitendo cha kukamata...
Sabaya court decision is not news. The outcomes were known from the date he was arrested. More importantly, this matter has political backups and background. It isn't news and not a surprise. If...
Viongozi mbalimbali wa Chadema wametupa uwazi na kioo cha kuangalia jamii yetu ya Tanzania ilivyo, ilipo na inapokwenda. Chadema tumeona viongozi wasomi, wavumilivu, watukutu, wabishi...
Ukweli ni kwamba Wazanzibar Sasa wanaona the way ACT Wazalendo alivyo,, hana tofauti na CCM.
CHADEMA mkiwekeza Zanzibar,,mkaubiri haki,, na matatizo pamoja na suruhisho la muungano mta-win Sana...
Utetezi wa Sabaya ulizihusisha mamlaka za uteuzi. Mazingira yanaonesha kuwa Kuna ukweli fulani kwenye madai yake hayo ya utetezi.
Ushahidi wa madai yake kwamba alikuwa anatekeleza maagizo ya...
Kuna taarifa kwamba Spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai amefanya mabadiliko kwenye kamati za kudumu za bunge , na kumhamisha Mh Mbunge Humphrey Polepole kutoka kamati ya awali ya Utawala na...
In 4 years, Thomas Sankara
- Built 350 schools, roads, railways without foreign aid
- Increased literacy rate by 60%
- Banned forced marriages
- Gave poor people land
- Vaccinated 2.5 million...
Nimeona clip za video za baadhi ya watu wanaodai kuteswa na Sabaya. Zaidi ya madai yao hawaelezi wameteswa wapi na kwa sababu gani. Sabaya alikua Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya...
Wakuu kuhusu kilichotokea huko kwa kwa Sabaya ni kama mlivosikia, swali ni je hukumu hiyo imetolewa kama kuwafumba macho Watanzania ili itakapotolewa (mvua) hukumu kwa Mbowe ionekane kwamba...
Wakuu
Naombeni maelekezo zaidi hapa ili nielewe zaidi
Nakumbuka kuna siku Sabaya alikiri makosa ya unyanganyi na akasema kwamba alikuwa anatumika zaidi makamu wa rais Dr Mpango na Governor Luoga...
Hatimae kijana Jasiri, imara kweli kweli amehukumiwa 30yrs nyuma ya nondo, huu ni mzunguko wa kwanza, bado kuna mizunguko miwili nasikia....
Tumekua tukiwasihi hata kwa machozi, vijana...
Habari wakurugenzi..!
Binafsi nimekuwa nikimfatilia sana mkuu wa wilaya wa Hai aliyepita ndugu Sabaya.
Kiukweli nimefuatilia interview zake na pamoja na wale wanaomshutumu nyingi zinaonyesha...
Napendekeza sheria ichukuwe mkondo wake na wala asiwepo wa kupona. Kila mmoja wetu anafahamu what happened October 2020 ambapo watumishi Hawa wa umma waliharibu mfumo wa uongozi na misingi ya...
Ukiachilia mbali mfanano wa kabila, Sabaya ni Sokoine wa kipindi hiki cha utandawazi.
Hawa wote, ni wamasai, kama walivyo wasukuma, wamasai ni jamii ya watu jasiri sana, sijajua kwanini hawa watu...
Binafsi upenda kumuangalia sana Kenyatta na kupata wazo kuna aja ya kuwapa uongozi damu ya wapigania uhuru.
Uhuru Kenyatta anatakiwa kuwa kitabu shule na vikaoni tumsome.
Utu
Demokrasia
Haki...
Wakuu,hukumu ya DC aliyesimamishwa ndg.kada Ole Sabaya inatangulia mbele ya uporaji na uvunjaji wa sheria unaofanywa na CCM kwenye uchaguzi. Hata akitoka kwa rufaa au msamaha wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.