Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari za leo ndugu zangu wa chama cha CHADEMA. Leo nataka niwaibie siri ila siwalazimishi kuifuata ni juu yenu. Ni hivi, "CHADEMA mkimwomba msamaha Magufuli na kuamua kufuata sera na maono...
23 Reactions
134 Replies
8K Views
Heshima kwenu wakuu, Jana Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe Freeman Mbowe alifanyiwa Vurugu kwenye Mkutano uliokuwa ukifanyika katika kijiji cha Kikafu Chini, Kata ya...
73 Reactions
360 Replies
38K Views
Hii picha naanza kuielewa anyway ...mwamba arudishiwe mahari ama mahari hairudishwi [emoji23]
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimefuatilia Sana nyendo za Rais Samia Suluhu Hasan,anajua siasa Sana Ila anajua namna ya kuwa mtulivu na anajua kuwasoma wapinzani ndani na nje ya chama chake,subirini muone
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Hukumu ya kifungo cha miaka 30 kwa Sabaya, ni zaidi ya nilivyotarajia. Nimeumia kiasi, siyo kwa sababu ameonewa bali naiona ni kama kifungo cha maisha. Hii imekuwa sawa na msiba wa Rais Magufuli...
2 Reactions
6 Replies
830 Views
Kutoka kwa Malisa Gj Aliyevamia nyumbani kwa diwani wa Narumu, Nicodemus Mbowe, akampiga na kumvunja mguu, akamkata mwanae sikio, akavunjavunja TV na samani nyingine za ndani leo anasomewa...
8 Reactions
11 Replies
994 Views
Yaani hata darasani mwalimu hata ungefundishaji kuna wabafunzi vilaza ambao ukisema tisa wanasema sita yaani hawa huwa ni wanafunzi mbumbumbu wasiojielewa. Kuna kikundi kimeibuka kutunga uongo...
1 Reactions
115 Replies
10K Views
Lengai Ole Sabaya mara baada ya hukumu amesema na kuwataka ndugu zake kuwa wasiogope kwani Mungu yupo kazini muda wote kwa ajili ya maisha yake...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa ufupi ni kwamba wanaomchukia Samia sasa, ndio watakaompenda zaidi. Samia amechukua uongozi katika muda ambao hakutegemea lakini akiwa na uelewa mkubwa wa mabaya yote ya awamu iliyopita ambayo...
8 Reactions
10 Replies
861 Views
Waziri wa elimu Prof Ndalichako amesema Jeshi la Wananchi wa Tanzania litasambaza vitabu vya kiada na rejea vilivyochapishwa na Taasisi ya Elimu nchi nzima. Msemaji wa jeshi amesema malori yote...
2 Reactions
41 Replies
3K Views
Nimesikitika sana kusikia BAVICHA ati wameenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere kumuenzi. Naomba niwakumbeshe dhihaka zao kwa Nyerere. BAVICHA-Mwenge upelekwe makumbusho Lissu- wakati wa bunge...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Kwa wale tunaotumia barabara ya Dar Bagamoyo kila siku mtakubaliana na kero hapo Bunju B. Hapa vibanda vya machinga vipo hadi shoulder za barabara, na wapita kwa miguu, baiskeli, mikokoteni na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Tujiulize kwa kutumia akili za kawaida tu. Mkuu wa wilaya atoke wilaya nyingine alafu aende kufanya uhalifu wilaya nyingine? Hii ni ngumu. Kwanini Kenan Kihongosi aliyekuwa mkuu wa wilaya Arusha...
16 Reactions
154 Replies
13K Views
Sabaya akiwawakilisha vijana wengi ambao hawajakomaa kimwili, kiakili na kihisia, amepatwa na janga la uchanga wake katika kufanya mambo (mema + mabaya) bila ya busara na hekima. Hivyo nashauri...
0 Reactions
0 Replies
415 Views
Moshi. Baadhi ya wananchi wamejitokeza kwenye ziara ya Rais Samia Hassani Suluhu, wakiwa na mabango yenye jumbe mbalimbali, ikiwamo migogoro ya ardhi na kuomba msitu wa nusu maili urejeshwe kwa...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Mimi nasema Tanzania haitakiwi kuwa na viongozi wa tabia za JPM. Wewe je?
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Hakuna watoto walikuwa na kibri na jeuli kama watoto wa Gaddafi Hakuna mwanamke alikuwa na kibri na jeuri kama mke wa Robert Mugabe. Kama familia au washirika wa Al-Bashir wanapekuliwa...
10 Reactions
33 Replies
48K Views
Wakati Viongozi wote wa kitaifa pamoja na wale wa ccm wakijazana Chato kumuenzi Nyerere lakini kwa kupamba kaburi la Magufuli , kiasi cha Kusababisha Mshangao duniani , Ile Taasisi bora ya vijana...
43 Reactions
171 Replies
11K Views
Bahati mbaya vijana wengi humu JF hawakuwahi kumwona wala kumwelewa Mwalimu Nyerere. Mimi nilibahatika nyakati hizo nikiwa shule ya msingi, kiongozi wa chipukizi, nilipeana mkono naye kara moja...
8 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom