Maisha Yana pita haraka Sana, Niki muangalia mtu Kama Humphrey polepole Mara baada ya kupata madaraka alibadilika na kujiona Kama vile yuko kwenye sayari nyingine tofauti na yetu hii,akazidi...
Iwe ni kiongozi wa kisiasa au wa namna yeyote unaetambulika ima wa jamii au wa mtaa jaribu kuomba hii ukapate exposure na maarifa.
kama una mda jaribu kuomba, ukienda huko hupewi pesa ila mambo...
Habari zenu wakuu
Sijajua namna bora ya kuwasilisha jambo hili ambalo kimsingi ilianza taratibu na sasa imekuwa kama tabia na imeshazoeleka.
Ningependa kufahamu kutoka kwa ndugu zetu mliokula...
MIEZI SABA BILA JPM;NOTI MPYA ILIYOPAKWA DHAHABU,ALMASI, TANZANITE INGEILETA TANZANIA MPYA KATIKA USO WA DUNIA.
Leo 10:15hrs 17/10/2021
Nianze na maswali matatu yatakayotuongoza katika kujiuliza...
Ndilo jani litakalovunja mgongo wa ngamia.
Yule Sabaya ni prince of the nation. Mtu yeyote anayekuwa na cheo Kama kile anaitwa "prince".
CCM imetisha watu imeshinda Uchaguzi na Sabaya alikuwa...
Mwaka huu mwanzoni kabisa niliwaambia kuwa Jimbo la Hai ni mojawapo ya Jimbo ambalo litavuta hisia za Siasa za Tanzania, hapa hakuna kulala, ni mwendo wa mahuburi, ngumi na jino kwa jino. Hii Ni...
Si kweli eti utawala huu unatenda haki na kufata Misingi ya kisheria ndio maana Sabaya kafungwa. La hasha.
Kuna Wabunge wapo bungeni Leo bila kuwa na chama. Na wameingia kimizengwe mizengwe...
Mnataka kusema hamjui kuwa ametumika kama mpira wa kutunzia uchafu na kisha kutupwa jalalani?
Ninyi mnaotumika kama green guard kupiga watu, kuiba kura ipo siku na ninyi mtakiona cha moto. Ccm ni...
Kama sheria na taratibu zinaruhusu wafungwa kuandika kitabu, nakushauri utumie muda wako wa kuwa kifungoni uandike kitabu kitachoeleza kila kitu yakiwemo yale ambayo hukuyasema mahakamani (kama...
UZALENDO ni Pamoja na Kuwa na Msimamo kwa Yale Unayoyaamini Ni Mazuri kwa Taifa bila Kujali kwamba nani anakupuuza na kwa nini Anakupuuza.
Kwenye Vita vya Uzalendo, Hata Marafiki Huwa maadui. Na...
wenzetu wa CCM wanasema kuisha kwa uchaguzi ni mwanzo wa chaguzi nyingine.
Ila kuelekea 2025 namuona mheshimiwa Majaliwa akikitwaa kijiti cha kuiongoza nchi kutoka kwa rais Magufuli.
Namuona...
katika mjadala unaondelea wa mkuu wa wilaya Ole sabaya kuomba rushwa kwa wafanya biashara katika eneo lake inasemekana anatumia Makonda style. hatuwezi kujifanya hatujasikia hiyo kauli huku...
Mtu ambaye ni kapuku , mtu ambaye imethibitika kwamba umasikini wake umepelekea hadi kufoji nyaraka za Usalama wa Taifa ili atishe watu na kuwaomba rushwa ya kujikimu , mtu ambaye imethibitishwa...
Kuna tuhuma nzito sana alizotoa mfanyibiashara maarufu wa Hai, Cuthbert Swai, anayemiliki hoteli ya kitalii ya Wetu Weru River Lodge, kuwa DC huyo wa Hai, Lengeli Ole Sabaya, alimwomba rushwa ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 23 Januari, 2019 atazungumza na viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Dini, Ikulu Jijini Dar es Salaam, kuanzia saa...
Wadau hii hukumu sio ya kawaida. Narudia sio ya kawaida.
Hukumu hii yaweza kuibua kesi hata za kutengenezwa tu ili kuwakomoa wateule wa awamu ya Magufuli na hata wa Rais Samia. Ni suala la muda...
Malalamiko ya vifo vya watu ni mengi sana toka barabara hii ifunguliwe njia 6. Hii inatokana na barabara hii kubuniwa kwa kiwango ambacho hakiridhishi.
Barabara imekuwa ni majanga hasa kwa wapita...
Katika katiba yetu ya mwaka 77,ibara ya 46(1),46(2) na 46(3),ndio zinazungumzia kinga ya Raisi kutoshitakiwa.
Ibara ya 46(1) na 46(2), zinazungumzia kinga ya kutomshitaki Raisi alie madarakani...
Kwa vile kuna ushahidi wa kutosha wa uhalifu uliofanywa na DC duni wa zamani wa Hai aliyefahamika kwa jina la Ole Sabaya akishirikiana na OCD wa eneo hilo , sasa ni dhahiri atafunguliwa mashitaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.