Moshi yakataliwa kuwa jiji

Moshi yakataliwa kuwa jiji

Moshi bado kamji kadogo sana, hata Tanga sijui kwanini ilipewa hiyo hadhi ya kuwa jiji, Mbeya...... naona kuna haja ya kuyatazama upya majiji yetu kama kweli yana vigezo.
Miji inayofaa kuwa au kubaki majiji kwa mkakati maalumu ni
1. Dar Es Salaam
2. Mwanza
3. Mbeya
4. Arusha
5. Mtwara
6.Kigoma
7.Dodoma
8.Tanga (iongeze bidii kurejesha miundo mbinu iliyokuwa imejengwa na hayati Mwl Nyerere kama bandari, viwanda na kilimo cha mikonge)

Miji ya Kitalii iwe ni
1. Kilimanjaro
2. Arusha
3. Iringa
4. Kagera
5. Morogoro
6. Pwani
7. Lindi
8. Ruvuma
9. Mara
10.Manyara

Mikoa ya kilimo cha mazao ya chakula
1. Songwe
2. Rukwa
3. Katavi
4. Ruvuma
5. Morogoro
6. Iringa
7. Mbeya
8. Njombe

Mkioa ya kilimo cha mzao biashara
1. Mwanza
2. Simiyu
3.Shinyanga
4. Singida
5. Tanga
6. Mtwara
7. Morogoro

Miji ya viwanda
1. Dar Es Salaam
2. Pwani
3. Morogoro
4. Mtwara
5. Tanga
6. Moshi
7. Arusha
8. Mwanza
9. Kigoma
10. Mbeya
11. Dodoma
12. Iringa
 
Mh hangaya alipokuwa moshi leo ameikataa moshi kupandishwa kuwa mji akisema haina sifa

My take kaamua kubalance na chato

Minne inatosha

Hivi ninyi ndugu zangu wachagga sometimes uwa mnawaza nini!!!! Kamoshi kapewe jiji!!! Kwa lipi haswaa? Kuna singida, Shinyanga/khm, geita, kagera n.k na hakuna tetesi ya kuitwa jiji sembuse huko kijijini moshi ndiyo ipewe jiji!!!! Be serious mzee.
 
Hivi ninyi ndugu zangu wachagga sometimes uwa mnafikiria nini!!!! Kamoshi kapewe jiji!!! Kwa lipi haswaa? Kuna singida, Shinyanga/khm, geita, kagera n.k hakuna tetesi ya kuitwa jiji sembuse huko kuliko jaa walevi i mean Moshi ndiyo ipewe jiji!!!! Be serious mzee.
Mkuu umeandika kwa chuki sana, na sio uhalisia wa kile ulichotakiwa kuandika.
 
Back
Top Bottom